Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Ukiwa unajitambua, unajiamini, mstaarabu, mwenye upendo wa kweli, unaweza kujimudu kimaisha na kumudu kumtunza, kumlinda na kumjali mwanamke, unaweza kumpata na kumwoa mwanamke wa aina yeyote wa taifa lolote duniani, ni wewe tu kuamua unataka mwanamke wa aina gani. Kulalamika na kutumia kichaka cha kubaguliwa kwa rangi au uarabu ni dalili ya kufilisika kiakili. Usipokuwa na vigezo hivyo hutaweza kupata mwanamke yeyote wa maana. Hata mzazi wa binti wa kawaida hapa Bongo hatakubali uwe na binti yake.
 
Pale unapokuta mleta mada kaoa mthungu[emoji16]
 
Wewe kwann utake kuoa kwao? Hawakutaki ivo usijipendekeze...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabaguzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…