Naamini binadamu wengi tunauana tena sana na si waarabu au waisilamu pekee. Naiheshimu sana dini ya Kiislam na Kikiristo. Lakini ni ukweli usiyopingika kwa Waislamu kuna tatizo tena kubwa sana. Waislam wenzetu wanaongoza sana kwa kuua wanadamu wenzao. Nimekuwa nikitafakari sana lakini siku moja baada ya kumaliza shule nilibahatika kupata nafasi ya kufundisha shule moja ya kiislam. Pale waislamu walikuwa wengi sana hivyo nilikuwa karibu sana na hawa waislam. Kiukweli niliwapenda sana lakini nilibaini kuwa hata kuna baadhi ya mafunzo ya dini yanawashawishi kufanya kitu hiki. Lakini tukirejea kwenye nchi kama iran. Iraq, afaghanistan, pakistan, somalia, nigeria, libya mauaji ni mengi sana lakini watekelezaji wakubwa ni wenzetu waislam. Lakini mbali na hayo mataifa kuna watu mmojammoja katika sehemu nyingi duniani wanaojitoa mhanga karibia wote ni waislam na hata kama alikuwa mkristo basi lazima kwanza abadili dini na abobee kisha ndo anaweza kutekeleza unyama huo. Rea Aljazeer tv mara nyingi wanajitahidi kuchambua taarifa kwa kina ukitaka kujua unyama wa waislam basi fuatilia hapo. Si maanishi wakristo hawauani au kuua, la ! Ila kwa wenzetu waislamu wamezidi. Matukio mengi ya mauaji duniani hutekelezwa na hawa wenzetu. Kama ni agizo la Mungu basi lakini wanaitesa sana dunia.