Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Haya hata km msomaji mzuri no chuki za kikabila ,uchu wa madaraka na kogombanishwa na wazungu .waarabu ni udin unawasumbua maaana sunni hampendi shia na roho mbaya ya asili wanayo
Mauaji ya kikabila yana tofauti gani na ya kidini? Issue hapa ni chuki inasabisha hayo mauaji...iwe ya kikabila au kidini...nani amekwambia waarabu hawagombanishwi?
 
Yale makanisa yaliyochomwa Zanzibar siyo tatizo? Hilo tu kwanza. Hao popote walipo ni shida. Ugomvi na mauaji ndo wimbo. Kama Zanzibar isingekuwa ktk muungano ingekuwa kama somalia tu. Umesahau migogoro ya Mombasa ?
Uganda kwa LRA napo walikuwa waislamu? Myanmar wanapoua Rohingya Muslims je? Acheni generalization
 
sio kila aliyeko mashariki ya kati ni mwarabu,nani aliyesema watu wa iraq au afghanistani ni waarabu ?
 
Hitler alikuwa Mwaraabu eeenh !!!
Mussollini alikuwa Mwaraabu eeh??
George Bush alikuwa Mwaraabu eeh??
Tony Blair alikuwa Mwaraabubeeenh??

kifupi sikia ukweli huu wanaAdamu wote tunamapungufu ya aina fulani... tena ni wepesi kushawishika iwe kwa Mali au matananio ya Nafsi !!!! period
Sure ila waarabu wamezidi,na wametuambukiza sana hasa kupitia Quran,hadithi nk! Kuna kitu hakipo swa
 
Imani hiyo ulio nayo ni sawa na imani za watu kuamini kua Yesu ni muumba.

Sipo tyari kulumbana na uzushi ulioaminika.

Waislam wapo Zanzibar kwa asilimia 98 lakin hakuna huo upuuzi unaoamini.

Waislam wapo nchi nyingi sana lakin huo upuuz unaoamini hakuna.

Jiulize swali la msingi kwanini Iraq kwanini Siria Kwann Libya. TUMIA AKILI USITUMIE FUVU KUFIKIRI
Yesu hajawahi kuumba,Yupo Mungu aliekuumba wewe na Mimi kwa mfano wake! Acheni kudanganyana
 
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.

ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.

sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.

swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?

ndo watu wanaojielewa wameshajua kua waarabu waliopandikizwa ndo wanafanya ivo sio wao wenyewe kama kweli mbna wanajifichaga sula zao iyo kazi ya USA na british
 
Waafrika na waarabu ndiyo watu wenye low IQ hapa duniani. Mzungu ni kiumbe mwenye IQ kubwa ila mshenzi na mlafi kwa kuharibu na kufitinisha wengine. Kwa upeo mdogo wa waafrika na waarabu, wameweza kutuchambua kama karanga na kutufanya atakavyo. Ila ukifanya ranking, muafrika ni kiumbe mwenye low IQ akifuatiwa na mwarabu akiwa nafasi ya pili. Ukweli lazima usemwe hata kama mchungu.
 
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.

ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.

sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.

swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?

Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi ukimalizana na mmagharibi utakuja kwa mkristo ukimaliza kwa mkristo utakuja kwa muislamu mwenzio misingi yao ya dini ********** ndio imezaa matunda ya ubaguzi huu
 
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.

ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.

sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.

swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?
Kwanza ujuwe Afghanistani na Pakistani sio nchi za kiarabu,ni nchi za kihindi.Halafu pia ujuwe ziko nchi za kiarabu nyingi tu,hakuna vita wala vurugu yoyote,kwa mfano
Dubai
Abudhab
Qatar
Bahrain
Oman
Kuwait
Yemen ya Sana'a
Jordan nk
 
Dini ya Uislam ndio tatizo.Kipo kitu nyuma ya pazia ambacho hata wao wenyewe inawezekana hawakijui.Ngoja niishie hapo nisije nikasingiziwa islamophobia bure.
Hapa Sudan ya kusini tatizo ni Uislam? Je na hapo Uganda? Kama vipi hebu tueleze kuhusu Kongo.
Na kule Angola miaka 20 ya vita vya Savimbi? Na Kule Sri Lanka kwa Tamil Tigers,Na kule Kolombia kwa ETA na kule Northern Ireland nako ilikuwa tatizo Dini gani? etc.
List ni ndefu mno tena inaweza kuzidi ya Nchi za kiarabu
 
[/QUOTE] swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii? [/QUOTE]
Mbona waafrika wanauana kama inzi au simimizi Congo, Sudani Kusini, Sahara, Afrika ya Kati, Equatorial Guinea, South Africa na mengineo , mbona hamsemi?!
 
Watoto wa vichaa mmaAmini CNN,BBC Foxnews na wendawazimu wa media mongers
nendeni kwenye viwanja vya mpambano mkaone maRijali wanavyojitetea na kutetea rasilimali zao na ardhi zao!!!!! na mafuta yatarudi bei yake asili $200 per barrel kwenye mikono ya midume!!
wewe habari zako unaangalia wapi? ulishawahi kua kwenye huo uwanja wa mapambano???? haya hebu tusimulie
 
Kaka bila kusema najidharau waAfrika ninkweli tunastahili position number moja kwenye race ah jamii yenye IQ ndogo siku moja nenda hata buguruni kaa sehemu alafu uwe unaangalia matendo yao utagundua sisi ni mitambo.We angalia tuna ardhi inayolimika,tuna ardhi yenye utajiri sana ila wafaidika ni watu weupe sisi bado tupo bize na umbea ,uchawi, majungu ,ulevi ulikithiri wasomi ambao watendaji wakuu wa kuipush inchi wote wanakimbilia kwenye siasa.YAANI WAKATI MZUNGU YUPO BIZE KUTENGENEZA ROBOTI LIMSAIDIE KAZI SISI TUPO BIZE KUWEKANA MISUKULE.Damn it kujitetea kuwa sisi tuna akili kazi sana aisee.
ni kitu gani kizuri ulishawahi kufanya ww na kikabadili jamii na ukawa mfano wa kuigwa??
 
Miaka na miaka ni vita tu wao amani wataiona lini? Libya walikuwa na ustawi leo kula yao shida tupu. Watu wazima na akili wanashindwaje kupima jema na baya hadi wachonganichwe. Waarabu wana laana na ujuaji.
 
ni kitu gani kizuri ulishawahi kufanya ww na kikabadili jamii na ukawa mfano wa kuigwa??
Kwani amekwambia yeye ni mzungu? Na yeye yupo katika jamii hii hii yetu ya kipumbavu! So hapana kumwuliza kama kuna cha maana kafanya kwa jamii!
 
Hapa Sudan ya kusini tatizo ni Uislam? Je na hapo Uganda? Kama vipi hebu tueleze kuhusu Kongo.
Na kule Angola miaka 20 ya vita vya Savimbi? Na Kule Sri Lanka kwa Tamil Tigers,Na kule Kolombia kwa ETA na kule Northern Ireland nako ilikuwa tatizo Dini gani? etc.
List ni ndefu mno tena inaweza kuzidi ya Nchi za kiarabu
Waislamu mnajichanganya kama Quran yenu.Tofautisha vita vya kisiasa na vya kidini. Vita kama vya Sudan na Congo siyo vita vinavyo jumuisha au kuhusisha dunia nzima.
Vita vya waislamu ni vita vya wenyewe kwa wenyewe na vita against non-muslim worldwide.
Kwahiyo unakosea kulinganisha vita vya Sudan au Congo ambavyo ni vya kisiasa au kikabila na vya waislamu ambao ni against the whole of none Muslims and moderate Muslims.
 
Back
Top Bottom