Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wewe ni mbishi by nature kama Matola naona niache hapo.
Mimi wala siyo mbishi kama unavyodhani.
Ila kama kitu si sahihi siwezi tu kukubali.
Napenda kusimamia uhalisia na ukweli.
Mtu huwezi kushiriki tendo la kishoga halafu wewe usiwe shoga.