Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

Attachments

  • Screenshot_20240118-112130.png
    1.1 MB · Views: 4
Kila kabila lina Madon wenye Mkwanja, ila wachaga wamekuwa maarufu kwa Biashara za Maduka ya Rejareja.

WACHAGA WENYE PESA SIO WENGI KAMA UNAVYOFIKIRIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Katika makibila ya Tanzania kutoa ngozi nyeupe nani anae wagusa wachanga?
 
wachaga ambao ni madon kweli wengi wao ni wa kimya na wapo na mambo yao na hawana dharau labda uingie kwenye 18 zao,,,shida ni kwa wale kajambanane ndo dharau kibao na maneno mengi ya kejeli ila ukija kucheki maisha yao ni ya kawaida saaana
Wachagga wenye sio washamba wa hela kama yalivyo makabila mengine
 
Mbona kama mnaumia?? Wameshawazidi mbali mkubali tuu...kama hawajajenga kwao wamejenga huko makwenu mi mansion na mabiashara makubwa makubwa ni yao....
 
Unaposema wa Kaskazini unamaanisha nini ? Kwamba wapare, wasambaa, Wachagga, wamasai, wameru, wairaq, wafyomi wote Wana Hali nzuri kuliko wengine ?
 
Mbona kama mnaumia?? Wameshawazidi mbali mkubali tuu...kama hawajajenga kwao wamejenga huko makwenu mi mansion na mabiashara makubwa makubwa ni yao....
Mi niko Mwanza na Kahama huku sijaona hao Wachaga matajiri wanao wazidi wengine huku! Nitajie wapi huko wachaga wanabiashara kubwa kuzidi wengine? Maana Kariakoo kuna Wakinga,Waha ,Wapemba na Wasukuma wanafanya vizuri kama nyinyi!
 
Endeleeni na mabishano yenu..am out
Watu waache waendelee kupiga pesa..nyie pigeni midomo....
 
Yote kwa yote wachaga wapo vizuri, hawana ubinafsi ktk kuinuana acha wachaga wa saiv waliozaliwa na kukulia dar
 
wachaga ambao ni madon kweli wengi wao ni wa kimya na wapo na mambo yao na hawana dharau labda uingie kwenye 18 zao,,,shida ni kwa wale kajambanane ndo dharau kibao na maneno mengi ya kejeli ila ukija kucheki maisha yao ni ya kawaida saaana
Kina Dotto Magari na chief godlove
 
Hivi tofauti ya Mmeru na Muarusha ni nini?

Kuna kabila la muarusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…