Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

Point ni kuwa kama wana pesa nyingi wanazodai basi Moshi ifanane na Tokyo sisi ndo tunachotaka sio sifa ambazo hatuoni
 
Point ni kuwa kama wana pesa nyingi wanazodai basi Moshi ifanane na Tokyo sisi ndo tunachotaka sio sifa ambazo hatuoni
Hivi kuna watu wana sifa na majigambo kama wasukuma, waha, wahaya aiseee vipi kuhusu hayo makabila.......????
Cheki chifu godlove ni mchagga.
Mwijaku ni mchagga..
Dotto magari...
Machawa wengi wanasifa waangalie ni kabila gani?

Wachagga huwa wanamajigambo ya wenyewe kwa wenyewe huwa hawapendi kujigamba kwa kabila zingine....

Tangu lini ukasikia mchagga anamtambia mkinga???? Wala hawana mazoea.

Nilichogundua kanda ya ziwa mmeshakaririshwa kuwachukia wachagga...poor you....yule jamaa wenu wa chtooo aliwafundisha.

Wasukuma nawapenda badilikeni nyie ni majembe ujue πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wajinga sana hao jamaa.
 
Kila kabila lina Madon wenye Mkwanja, ila wachaga wamekuwa maarufu kwa Biashara za Maduka ya Rejareja.

WACHAGA WENYE PESA SIO WENGI KAMA UNAVYOFIKIRIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wachaga ambao ni madon kweli wengi wao ni wa kimya na wapo na mambo yao na hawana dharau labda uingie kwenye 18 zao,,,shida ni kwa wale kajambanane ndo dharau kibao na maneno mengi ya kejeli ila ukija kucheki maisha yao ni ya kawaida saaana
kuna mzee mmoja anaitwa ernert masawe, sijui kama bado yupo hai, yule mzee ana hela chafu, niliwai kutana naye miaka ya nyuma, huwezi dhani hata ana m10, ila mantra ilipouzwa mzee alikunja usd 15m, nikaja kufahamu mengi juu yake, ila mwamba low key balaa.
 
Kwa hiyo nyiyi vita yenu ni wasukuma sio? Ndo manaa wengi wenu hamkumpenda Magufuli na hamumpendi Makonda pia!
Unajiwasha na kujikuna mnyewe, subiri ukunwe.....wachagga ni kama maji msipo yanywa mtayaoga.
 
Njoo huku kwenu upareni MWANGA NA SAME DC. Ndio utajua where there is a water the dumb is thirsty. Nyumba ya mungu dam ipo lakini mjini hakuna maji. Mzee Msuya cleopa ndio Don wa kila kitu
 
+ WAHAYA....ni watu waoga kweli....ukimpakia kwenye gari ukae kimya usiseme gari ina tatizo kidogo.....ANASHUKA HAPOHAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…