Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

Hivyo kwa ufupi unataka kusema wachaga ni matapeli sana au?
 
wachaga pia hatuoi wajinga wajinga kama wewe usijitilize huruma kwa hadithi za kujifariji.
 
Bac kilaa mtu anawajua watu kulingana na walivyokutana nakuishii ,mm wakingaa hapana 🙏 n nooma Kwa ndumba,wachaga wengi janja janja na akili mingi mjini na ppt walipo,japo cjakataa hawapo ambao c walonzi mkuu wanguu😅😅
maduka yote ya wachaga yale ameenda kwa mganga, bahati nzuri ni kwamba mganga mwenyewe sio mchaga. yaani wachaga wanaenda sana kwa waganga ila uwezi kukuta mganga mchaga. uliza mganga yeyote kabila wateja wakubwa kwake ni nani atakwambia wachagga. kwa sababu ya biashara.
 
kitu ninachoweza kukubaliana na wewe ambacho makabila mengine yanaweza kuiga, ni accountability kila mwisho wa mwaka. sina uhakika kama wachaga wote tunafanya hivyo, ila ile December ukirudi home familia nyingi zinakaa na kueleza wamefanya nini cha maendeleo mwaka mzima na wanategemea kufanya nini, ndio maana wakirudi toka chrismass wanakuwa na hasira sana ya kutafuta maisha kwa sababu wamesimangwa kule wakati wa likizo. ukijumlisha na mambo kadhaa ya kienyeji na kurenew kwa waganga pia, hilo lipo wala tusifiche, na wanatakiwa kuacha mara moja, mali bila Mungu ni takataka, mali za kichawi ni takataka.
 
Sawaaa 😅😅😅😅😅 ,ilaa c wt tukubalianeee
 
i had a friend ambaye alidunda sana mtaani, mamake alimfokea siku moja kwamba nataka ukatafute hela, uje hapa umefanikiwa mwisho wa mwaka, hata ikiwa kutoa roho mbona wenzio wanatoa roho na wanapata pesa. dah, nilijiuliza sana. ingekuwa huko kusini, hiyo kutoa roho angemtoa huyohuyo mamake, jambo ambalo wachaga hawana nadhani. mali nyingi za ndugu zani ni dhulma, na madawa pia, wachache wana wanaenda hivihivi. kama huna Mungu utauza duka mbele ya mkinga, mpare na muha wewe? tusiteteane hata kama kweli tunachukiwa. (i am trying to be neutral)
 
Hizi ndio fikra zinafanya watu wanawasema vibaya. Kwamba makabila wengine ndio wanaoa wajinga nyinyi ni smart saaana.kwakipi hasa

Hizi ndio fikra zinafanya watu wanawasema vibaya. Kwamba makabila wengine ndio wanaoa wajinga nyinyi ni smart saaana.kwakipi hasa
kama umejiunga jf 2012 na hujaolewa na sisi uchagan hatukutaki umejipa guarantee as if wachaga walitaka kukuoa na upo above 40
 
Eti waasisi wa taifa waliweka mwiko,ni kaisome katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania vizuri,upate kuzijuwa sifa zinazomfanya mtu kuwa kiongozi wa nchi. Miaka michache mtayafuta hayo mawazo yenu mtake msitake.
Haitakaa itokee hii nchi iongozwe na mchaga, futa hizo ndoto kama unazo. Huo ni mwiko hatuwezi uvunja.
 
Hilo halijaanza leo, ilianza zamani sana na walianza na Chief MAREALE

Wakaja na SOKOINE alipokuwa Prime Minister, akaja DAVID CLEOPA MSUYA na baadae EDWARD LOWASSA.

Na hakuanza Magufuli, walianza wengine....

Hiyo kasumba ipo mpaka leo

Uliza vizuri wakubwa wakueleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…