Wameru wa Kenya ni tofauti hata Lugha na Wameru wa TanzaniaKwanza lafudhi yao ni ya kenye mpaka kesho mpaka tabia , majina yao ndiyo kabisa huku kenya yapo.
Ukija kwa wameru hao ni wakenya pure 100%>
Alafu huyo Tom Mboya ni mjaluo na sio mchaggaHao wachaga wakenya au wakamba sijuii wakisii au kikuyu? Kumbuka Uganda Kuna wakina onyango, okello, bila kusahau majina ya kibantu unaweza yasikia DRC, Nigeria nk yenye ufanano na TZ
Jibu swali bwasheeUnajua kusoma na kufikiria
Of course kwa mfanano ni hatare sema tuu wachaga wanazidi kwenye rangiWanafanana mno , nakumbuka kuna kipindi mkikuyu na mchaga walishirikiana kwenye matukio ilikua hatari sana😁😁
Ni nani alikwambia mwanadamu anaweza fahamu kila kitu wewe kum@?? Si ndio maana nimekuja humu kujifunza??Burundi kuna wahutu, watutsi na watwa. Hao waha labda umewapeleka wewe Burundi.
Sometimes kabla ya kuandika thread hapa JF unatakiwa uwe na ujuzi pamoja na uelewa wa kile unachoandika, bila hivyo utadhalilika kama hivi.
Wanaitwaje?? Lugha na utamaduni vinafanana??Actualy wapo tanzania na kenya , ila upande wa kenya hawaitwi wachaga
Wamakonde - Tanzania na MsumbijiWamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi ndiye sina uelewa wa kutosha??
Kihaya na Kiganda vinafanana kwa 80% kumbuka.Wahaya Tz pekee
Wadigo Tz pekee
Wanyakyusa Tz pekee
Wanyiha Tz pekee etc.
Warombo ni kabila?? Wanafanana lugha Kenya na Tanzania??Kuanzia leo ujue kuna Warombo wa Tz na Warombo wa Kenya.
Tom Mboya ni mjaluo. Duuh Lyimo Mkenya?? Huyo labda alihamia baada ya uhuru.Hata Lyimo wapo.
I asked the same questionwanaongea lugha moja?
Hapa ndio nilipokuwa ninapataka mimi mkuu. Kwa hiyo Tanzania wanaitwa wachagga ila Kenya ni wataita?? Au sio mkuu??Wataita wa taveta na wachaga wa Rombo wana shahabiana kwenye lugha zao, kwa sehemu kubwa tuu,
Mfanano wa muonekano au lugha??Wakamba na hata wakikuyu wana ufanano fulani la wachaga.
GoodIla kuna Wadigo huko Kenya.
Vp kuhusiana na lugha?? Wamachame na Kikuyu wanafanana??Ndiyo ndiyo mkuu jamii hiyo yote iliingiliana na ndo maana wanakuwa na kufanana fulani......
Tabia wanawake wa Kikuyu ni zaidi ya machame wanaoimbwa 😂
Duuuh hii mpya tenaHao ni wagunya.
Huko wanajulikana kama Wakamba.Mantiki ya swali ni kuwa wachaga huko Kenya wanajulikana kama wachaga? Au wanafahamika kwa kabila lingine au hawapo kabisa yani wao ni kama wagogo au warugulu wapo Tz pekee ila historia ndio ya kuungaunga mpaka palestina