Kwanini wachawi hutupia watu majini?

Biblia yenywe kuna mahali imesema usimuache mchawi aishi..huyo jamaa either anajifariji au hataki watu wajue kinachoendelea upande wa pili wa shilingi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii falsafa ilifanya vizuri sana Ulaya waliwaua wachawi waganga washirikina wote Ili wasiharibu jamii zao.
Ushirikina upunguza uwezo wa kufikiri.
Jamii zinazoamini ushirikina thinking capacity zao zipo chini sana zaidi ya kuku huku umasikini dhoofu hali ufukara ukitawala.
 
Dawa ni jini, chale ni password chapa ya kuzimu
 
Naomba ithibati yake kwamba shetani alikuwa jini..! Then what happened!?[emoji15][emoji848] akabadilika na kuwa nani...?
Please no jini ni jini habadiliki na shetani ni shetani habadiliki.. Kama vile wewe usivyoweza kubadilika na kuwa mwingine au paka umgeuze kuwa mbwa
 
Mmmh unataka ithibati OK nitakupa ithbati iliyofunzwa kwa njia ya mungu.
first of all naamini dini zote lengo ni kumuabudu muumba wa ardhi na mbingu sio madhebu wa kiislamu au madhehebu ya kikiristo.

Nakupa homework kupitia verse ya mmoja wa vitabu vya mungu. Quran 7:12 inayosema hivi....

"[Allah] said, "What prevented you from prostrating when I commanded you?" [Satan] said, "I am better than him. You created me from fire and created him from clay.""

Unadhani kama shetan ni fallen angles kwanini alijinasibu kuwa ameumbwa kwa moto yaani smokeless fire ? Kwanini asingesema nimeumbwa kwa nuru kama malaika wotee....?
Over
NB: nitarudi baada ya kuupata mkate wangu wa leo.
 
Nakupa homework kupitia verse ya mmoja wa vitabu vya mungu. Quran 7:12 inayosema hivi....

Case closed!
 
Kwahiyo uchawi ni issue ya majini tu mwanzo mwisho?
 
Ibilisi alikuwa malaika mkuu kabla ya kuasi na kutupwa jehanum
Majini ni viumbe roho vilivyoumbwa kwa moto na havijawahi kuwa sehemu ya ufalme wa Mungu kama alivyowahi kuwa shetani ibilisi
Hivi Ibilisi alipoasi akabadilika asili yake ya umalaika aliyoumbwa nayo na kuwa jini au bado hadi leo asili yake ni malaika?
 
Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani thus ufanya mambo ya kipumbavu yasiyo na faida hata kwake
Kwenye uchawi kuna biashara zao kama mafuta sijui ya watoto wachanga na baadhi ya vitu na waganga huwa ni wateja wao,labda wale wanga wanao rogaroga watu hovyo ndio hawapati faida.
 
True majini ndio waliwafunza uchawi binadamu,lengo kuu ni kuupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu aache kutumia akili zake alizopewa na Mwenyezi Mungu na awe tegemezi wa fikra
Mkuu uchawi hautumiki kwenye kuwanga tu usiku, huo uchawi wa kiafrika.
 
Ibliis / Satan/ Devil / Lucifer has never been an Angel, He was actually one amongst the jinn offspring who raised to heaven after the jinn universe been doomed. He was living in the midst of angels congregations and was best in worship especially
sujood( Prostration).
The problem risen when the whole congregation asked to prostrate before our fore Father Adam (Peace be upon him) whence created. As we all know They all did it expect him. And when asked why ?
He arrogantly mentioned he was better creation than Adam (ie mentioning he was created by Fire/the smoke which actually tells it he was amongst the jinn and never claimed he was an angel)….
 
Huwezi kufunga case kati we sio ulieanzisha
Case is still open ili wanaJF wapate kuelimika kama umeshindwa kaa pembeni
Sawa asante nakaa pembeni kwakuwa huwezi kunelielimisha kupitia Quran.. Niliposema case closed niliamaanisha kati yangu mimi na wewe.. Kama sentence rahisi kama hii hukuielewa ni wazi kuna vingi huvielewi
 
Sawa asante nakaa pembeni kwakuwa huwezi kunelielimisha kupitia Quran.. Niliposema case closed niliamaanisha kati yangu mimi na wewe.. Kama sentence rahisi kama hii hukuielewa ni wazi kuna vingi huvielewi
Unataka nitumie vilinge au biblia chagua ww nitakuelimisha ila ukiwa mgumu kuelewa hicho ni kichwa chako sitakuwa na mamlaka juu yake. Kama unataka hata zaburi na torati Niko vizuri....
Na mimi sio muislam sawa nimekupa kipande cha verse za mungu kupitia moja ya vitabu vyake.
NB:kabla mtu hajawa Mchawi kuna mkataba wa damu unawekwa kwa kuufungua mlango wa kuzimu je huo mkataba unawekwa mbele ya nani? Kwanini biblia na vitabu vingine vya mungu vipo kwenye mitalo michafu yaani sewage system na Vyooni....πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…