Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hii falsafa ilifanya vizuri sana Ulaya waliwaua wachawi waganga washirikina wote Ili wasiharibu jamii zao.Biblia yenywe kuna mahali imesema usimuache mchawi aishi..huyo jamaa either anajifariji au hataki watu wajue kinachoendelea upande wa pili wa shilingi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushirikina upunguza uwezo wa kufikiri.
Jamii zinazoamini ushirikina thinking capacity zao zipo chini sana zaidi ya kuku huku umasikini dhoofu hali ufukara ukitawala.