Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Uko sahihi
 
Sasa hapo huwezi mpangia mwenyezi mungu, sababu anaweza toka copy ya baba yake.
Itakuwa sio mbaya babake sinime mpenda jamani, sana ataniharibia sura ya mtoto wa kike ndio hufanana na baba
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila we jamaa story za pole pole na nape
 
Bro, usisikilize stories zao kuwa ulivyo halafu unda mbinu zako za hivyo hivyo ulivyo utawanasa wengi tuu, hata hawaeleweki hawa..... we kuwa kama mshambuliaji, utampiga chenga beki kadri anavyokuja.....

Hii ni ngumu sana kutoboa!!! Unless amalizane na hao hao wa church
 
Mimi nikiwa na binti yangu huwezi niletea mpuuzi kama huyo kuwa mkwe.

Watu wenye aina hizo za tabia malizaneni wenyewe huko huko mnakotinduana ila kwangu hawezi leta.

Uku ndo wanapoanzia watoto jamaa akija kwako anakuwa smart β€œ izo ni issues zao wa2 ...... na hawa jamaa usiombe wamteke binti yako mkuu ni kizaa zaa kumnasua hapo
 
Uku ndo wanapoanzia watoto jamaa alija kwako anakuwa smart β€œ izo ni issues zao wa2 ...... na hawa jamaa usiombe wamteke binti yako mkuu ni kizaa zaa kumnasua hapo
Nitawatimua mapema kwa sababu pia nitamueleza binti kabisa kwamba sitaki watu sampuli fulani ila ukiona wanakufaa kwangu usikanyage.
 
Hao ni sehemu ya wadada sio wote, tumegawayika katika makundi makundi ndio mana wanasema kila mtu na mtuwe..
Mwanaume anaevaa hereni ptuuu!!!! wanaume kama akina Brown sijui watu wanawapendea nini wakaka wa Tabata

Daslamu apo ni hatari!!
 

Wewe hupendi ngono mkuu?
 
A Pimp Named Slickback πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitawatimua mapema kwa sababu pia nitamueleza binti kabisa kwamba sitaki watu sampuli fulani ila ukiona wanakufaa kwangu usikanyage.

Utakuwa humtendei haki binti mkuu!! muache akija om wafate utaratibu wa mahari then ndoa hayo mengine ni yao ila sio avae hereni na marasta hii me mwenyewe nakukimbiza
 
Pumbavu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
A Pimp Named Slickback πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahahahah

Pimp: "Uh, Mr. Dubuois my name is A Pimp Named Slickback and this, sir, is an intervention."

Tom: "An intervention?"

Pimp: "Your friends have reason to believe that you are suffering from Chronic Bitch Dependency, Mr. Dubuois. May I call you Tom?"

Tom: "Is this some kind of joke?"

Pimp: "Tom... Bitch Dependency is no laughing matter. Addiction to a bitch can fuc with your friends, your health, and scary enough, even your money. It's a disease, Tom."

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili ndio tatizo la nice guys!
 
Hahaha asee A Pimp Named Slickback ni kweru dingilai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…