kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

Nimekuuliza military force ngapi unaandika mgawanyiko state ziundazo Russa
 
Yoda umeishi Kenya na kwa muda gani? living cost in Kenya is very higher than in Tanzania. Kwa miezi zaidi ya 6 niliyoishi Nairobi na viunga vyake nakuthibitishia hilo
Living cost haihusiani na kiwango cha umaskini, nchi zenye highest living cost duniani ni pamoja na Switzerland, Norway, Japan, Singapore, Israel,
 
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
Vita vya hapa na pale vipo Sana huko Ethiopia mfano kule Tigray mpakani na Eritrea na Ogaden mpakani na Somalia.

Ila umasikini na ugumu wa maisha huwakimbiza Waethiopia kutoka makwao.
 
Nimekuuliza military force ngapi unaandika mgawanyiko state ziundazo Russa
Nadhani hutaki kusoma siyo. Kabla ya comment yangu hii nilikujibu #116

Kila Republic ndani ya Russia ipo na jeshi.

Mfano hawa ni Chechen Army
 
Wanaandamana kwa sababu wana katiba bora.
Stupid. The most worst constitution ni ya Kenya. Unaongea hivyo kwa sababu wewe ni Mkenya.

Hebu tuambie ubora wa Katiba ya kenya tucheke πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwanza Ethiopia aipo Africa mashark mkuu kule kuna njaa majanga ya kiasili kama ukame mara kwa mara vta ya wenywe kwa wnyw
 
Living cost haihusiani na kiwango cha umaskini, nchi zenye highest living cost duniani ni pamoja na Switzerland, Norway, Japan, Singapore, Israel,
Kwani tumeongelea umasikini mkuu Yoda? Unaweza ukawa masikini lakini bado ukawa na uwezo wa kuafford garama za maisha. Kwaninibunasema Kenya kuna maisha maraisi sana?
 
Ili maendeleo yasiyo na ufisadi yapatikane ni lazima kupitia mateso. Acha wakimbie tu ili GDP ya taifa iongezeke.
 
Nadhani hutaki kusoma siyo. Kabla ya comment yangu hii nilikujibu #116

Kila Republic ndani ya Russia ipo na jeshi.

Mfano hawa ni Chechen Army
View attachment 3055171
Iko chini ya Russian military forces. Hawana maamuzi yoyote bila Russian military headquarters. Hiyo ndo ilikuwa maana yangu Kule. Mikoa ya Kule Ethiopia yenye jeshi Ina maamuzi yake yenyewe bila ushawishi wa Ethiopian military headquarters.
Ndo maana hupigana na Ethiopian military
 
Siyo kweli unachokiongea. Ethiopia ipo na Ethiopian National Defense Force

Unachokiongea hakina ukweli. Hebu taja majeshi yanayojitegemea ndani ya Ethiopia
 
Kwani tumeongelea umasikini mkuu Yoda? Unaweza ukawa masikini lakini bado ukawa na uwezo wa kuafford garama za maisha. Kwaninibunasema Kenya kuna maisha maraisi sana?
Kama unaongelea gharama za maisha tu, gharama za maisha Kenya ziko kuliko Tanzania,
Kama unaongelea umaskini, kiwango cha umaskini kwa asilimia na idadi ya watu ni kikubwa sana kuliko Kenya.
Tukizungumzia kiwanga cha kimataifa cha umaskini cha $2 kwa siku hiyo ni sawa na Tsh 5,000 kwa maana kwamba kwa hapa Tanzania unaonekana una afadhali kwa sababu ya gharama za maisha ila ukiwa Kenya huna afadhali sana lakini kumbuka watu walio katika kiwango hicho cha umaskini chini ya $2 kwa Tanzania wako milioni 26(42%) wakati Kenya wako milioni 7(16%) na Russia wako milioni 12(9%)

Hapa bado hatajuzangumzia hali ya maisha kwa makundi mengi yaliyo nje ya umaskini katika kipato na huduma nyingine za kijamii.
 
Maandiko kwa mujibu wa bible yanadai enendeni ulimwenguni mkaujaze ulimwengu, hakusema ni lazima muwe sehemu moja!
 
+ haikutawaliwa na wakoloni. Sijui wanafeli wapi. Wangekuwa mbali sana hawa jamaa
Hiyo sio hoja eti kutawaliwa na wakoloni hata Marekani ilitawaliwa na Uingereza na Canada na Australia vilevile ni makoloni ya Uingereza lakini wako vizuri tu.

Tatizo kubwa la Afrika ni kukosa uongozi na mifumo mibovu kwani lengo la kiongozi wa kiafrika ni kwamba yuko madarakani anatawala basi, hayo mengine hayamuhusu.
 
Hayo maandamano wanayofanya kila kukicha ni ya nini Kama kweli hawana maisha magumu wacha chuki zako kwenye nchi yetu pendwa ya tz su hamia kenya πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜ŽπŸ˜Ž
Marehemu Kenyatta wakati akiwa madarakani aliwahi kusema yeye alikuwa akitawala wagonjwa nchini kwake Kenya wakati Nyerere alikuwa akitawala maiti nchini kwake Tanzania.

Leo tunashuhudia ukweli wa kile alichokisema marehemu Kenyatta.
 
Na wewe ukamwamini πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Stupid Kundustan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…