Mzee wa Dawa
Member
- Mar 20, 2023
- 9
- 10
Kwamba mizigo inaingia kwa magendo hizo ni finger pointing na blame culture! Mpaka mizigo hiyo inaingia mamlaka nyingine ziko wapi? Zinafanya nini? Mbona TRA wanataka kuonesha wao ndo wako so perfect??Jiulize kwanza ni kwanini wanarisk kuingiza mizigo yao kwa njia za magendo?
Pili jiulize kwanini mizigo haikamatwi kabla ya kufika kwenye hizo store?
Umeliweka vizuri sanaView attachment 2622676
Ukisikiliza malalamiko mengine ya wafanyabiashara utadhani wanaonewa kweli, wakati utaratibu upo kwenye sheria.
TRA awana mamlaka yeyote nje ya hiyo sheria na mipaka yao ya kazi inaishia hapo; utegemei mfanyabiashara ajue hayo mambo (but it’s good idea to understand) ila kwa ushauri tu wa muhasibu aliesomea kodi ni rahisi kumuelezea jinsi ya kujilinda.
The only logical explanation ya mfanyabiashara kulalamika TRA kutaka access ya storage kuangalia inventory; ni kwamba yeye mwenyewe ajifanyii ata internal audit.
Mamlaka ya kodi ikitaka kuona uwadhulumu kodi yao watataka hiyo access ndio maana kwenye sheria hiyo hiyo kuna section inataka utunze sales receipts and purchases invoices.
Shida kubwa ni uelewa wa maswala ya uhasibu, na haya ni mambo basic tu ya bookkeeping unaweza jifunza ata kwa miezi sita tu.
Yaani huu upuuzi kabisa wa kusimamisha shughuli za bunge kwa uzembe wa wafanyabiashara kutoelewa sheria ya majukumu na kazi za TRA.
Ila hilo la kukamata wateja kwakweli ni ushamba.
Banana republic na wafanyabiashara wenye uelewa mdogo.
Hiyo sheria ya tax administration act; nadhani karibu nchi zote duniani utakuta zina elements hizo hizo. Ni muhimu kwenye sio kwenye kukagua kodi tu ata kwenye materiality in auditing,
Mfanyabiashara anayo haki ya kuclaim Input tax aliyolipia wakati akifanya importation kama amefanya taxable supplies na amesajiliwa VAT. Sheria inatoa haki kwa pande zote mbili.. ila Wafanyabiashara wengi ni wabinafsi wanataka mapato yote yabaki kwao.. Sheria haimkandamizi mfanyabiashara.. inampa uhuru wa kuandaa vitabu vyake mwenyewe na kujikadiria kodi mwenyewe... kufile for VAT mwenyewe ila They are not faithfully.Nataman nikutukane pumbavu zako. Wew unadhan watu hawapendi kulipa kodi?
Unadhan watu wanapenda kuingiza mizigo kimagendo?
Ni sawa ila mfanyabiashara hana muda na uhasibu ana muda na hesabu za kawaida. Nimenunua m10, nimesafirisha m5 Jumla m15, nimelipa kodi m3 Jumla 18 huu mzigo ili unipe faida unatakiwa usitoke chini ya M20. Hawezi kuona umuhimu wa kwenda shule wakati ni hesabu nyepesi tu.View attachment 2622676
Ukisikiliza malalamiko mengine ya wafanyabiashara utadhani wanaonewa kweli, wakati utaratibu upo kwenye sheria.
TRA awana mamlaka yeyote nje ya hiyo sheria na mipaka yao ya kazi inaishia hapo; utegemei mfanyabiashara ajue hayo mambo (but it’s good idea to understand) ila kwa ushauri tu wa muhasibu aliesomea kodi ni rahisi kumuelezea jinsi ya kujilinda.
The only logical explanation ya mfanyabiashara kulalamika TRA kutaka access ya storage kuangalia inventory; ni kwamba yeye mwenyewe ajifanyii ata internal audit.
Mamlaka ya kodi ikitaka kuona uwadhulumu kodi yao watataka hiyo access ndio maana kwenye sheria hiyo hiyo kuna section inataka utunze sales receipts and purchases invoices.
Shida kubwa ni uelewa wa maswala ya uhasibu, na haya ni mambo basic tu ya bookkeeping unaweza jifunza ata kwa miezi sita tu.
Yaani huu upuuzi kabisa wa kusimamisha shughuli za bunge kwa uzembe wa wafanyabiashara kutoelewa sheria ya majukumu na kazi za TRA.
Ila hilo la kukamata wateja kwakweli ni ushamba.
Banana republic na wafanyabiashara wenye uelewa mdogo.
Hiyo sheria ya tax administration act; nadhani karibu nchi zote duniani utakuta zina elements hizo hizo. Ni muhimu kwenye sio kwenye kukagua kodi tu ata kwenye materiality in auditing,
Kinachothibitisha wafanyabiashara hawajui mbaya wao ni pale wanapomlalamikia mtekelezaji wa sheria wakamuacha mtunzi wa sheria.View attachment 2622676
Ukisikiliza malalamiko mengine ya wafanyabiashara utadhani wanaonewa kweli, wakati utaratibu upo kwenye sheria.
TRA awana mamlaka yeyote nje ya hiyo sheria na mipaka yao ya kazi inaishia hapo; utegemei mfanyabiashara ajue hayo mambo (but it’s good idea to understand) ila kwa ushauri tu wa muhasibu aliesomea kodi ni rahisi kumuelezea jinsi ya kujilinda.
The only logical explanation ya mfanyabiashara kulalamika TRA kutaka access ya storage kuangalia inventory; ni kwamba yeye mwenyewe ajifanyii ata internal audit.
Mamlaka ya kodi ikitaka kuona uwadhulumu kodi yao watataka hiyo access ndio maana kwenye sheria hiyo hiyo kuna section inataka utunze sales receipts and purchases invoices.
Shida kubwa ni uelewa wa maswala ya uhasibu, na haya ni mambo basic tu ya bookkeeping unaweza jifunza ata kwa miezi sita tu.
Yaani huu upuuzi kabisa wa kusimamisha shughuli za bunge kwa uzembe wa wafanyabiashara kutoelewa sheria ya majukumu na kazi za TRA.
Ila hilo la kukamata wateja kwakweli ni ushamba.
Banana republic na wafanyabiashara wenye uelewa mdogo.
Hiyo sheria ya tax administration act; nadhani karibu nchi zote duniani utakuta zina elements hizo hizo. Ni muhimu kwenye sio kwenye kukagua kodi tu ata kwenye materiality in auditing,
Point muhimu hapo ni hiyo ya TRA kuwafahamu wafanyabiashara wao na kutoa elimu zaidi.Ni sawa ila mfanyabiashara hana muda na uhasibu ana muda na hesabu za kawaida. Nimenunua m10, nimesafirisha m5 Jumla m15, nimelipa kodi m3 Jumla 18 huu mzigo ili unipe faida unatakiwa usitoke chini ya M20. Hawezi kuona umuhimu wa kwenda shule wakati ni hesabu nyepesi tu.
TRA wanapaswa kuwafahamu wafanya biashara wao kisha waje na mfumo ambao wataongea lugha moja nyepesi.
Hiyo sheria ya tax administration aina shida vile. Wewe taja nchi moja duniani of your choice ambayo sheria zao zipo kwa lugha ya kizungu nitakuletea inasema vivo ivyo na hiyo ya Tanzania.Kinachothibitisha wafanyabiashara hawajui mbaya wao ni pale wanapomlalamikia mtekelezaji wa sheria wakamuacha mtunzi wa sheria.
Kibaya zaid hakuna sheria mbaya mpaka itamkwe na mamlaka husika kuwa ni sheria mbaya. (There is no badlaw because it is no law)
Na tukubaliane tu kwa sheria tulizonazo za kodi(kama zilivyotungwa na bunge yan wananchi wenyewe) afisa wa TRA wakizisimamia hakuna mfanyabiashara atatoboa.
Ndo kusema afsa wa TRA wana uchungu wa mama hadi wanakuwa laissez-faire ili kumnufaisha mfanyabiashara!
Upo sawa mkuu mfumo bora unahitajika, mfanyabiashara haiangalii biashara kwa jicho la kiasibu, anaiangalia kwa jicho la kibiashara na hana matumizi na hesabu sababu yeye anatazama faida kwa jicho tofauti na accounting profit ila analazimika kuwa na hesabu sababu ya TRA na Banks.Point muhimu hapo ni hiyo ya TRA kuwafahamu wafanyabiashara wao na kutoa elimu zaidi.
Another alternative inayoleta shida ni kukosekana kwa accounting services Tanzania. Nchi nyingi duniani biashara ambazo hazina uwezo wa kuajili accountant full time. Unaweza pata huduma za kihasibu periodically kwa sababu ya hesabu kodi na ushauri wa maswala ya kodi.
Vinginevyo umenunua mzigo 10 elewa kodi ya kwanza hapo ni VAT hiyo ipo unapouza tu, pili kuna kodi ya faida (income tax) hiyo sasa kabla ujalipa ndio unatoa gharama za kusafirisha migo unaweza kuwa ata umetengeneza hasara usidaiwe. Kwenye hasara unaruhusiwa kupata tax rebate (kurudishiwa baadhi ya hela ulizolipia income tax miaka ya nyuma na TRA).
Ni hivi swala la kodi ni uelewa wa taratibu za kiuhasibu na upo kundi gani; vinginevyo viwango vya kodi ni sheria ambayo baadhi vinaweza badilika kila mwaka kutokana na budget.
Na administration ya kodi (jinsi hiyo kodi) itakavyodaiwa TRA pia wanasheria yao ya mwongozo; awawezi fanya kinyume na hapo.
Wajibu wa mlipa kodi kwenye sheria ni kuelewa hasa
View attachment 2623103
View attachment 2623105
Muhimu kwa mfanyabiashara ni kuelewa ‘section V’ yote ya tax administration nimeweka baadhi ya mambo humo yanayoelezea nini cha kutunza kwenye vitabu na power of access waliyo nayo TRA.
Shida zaidi ni maafisa hao maafisa wa TRA na wengine ni vigogo ata wao hiyo sheria sijui awajailewa. Kuna wasaa unawasikia wanawaambia watu sio lazima kutunza vitabu kwa sababu mauzo yao ayajafika 100 million. Hakuna sehemu sheria inasema hivyo. Ata kama viwango vya kodi ni tofauti na malipo yako ni tofauti, swala la kutunza hesabu sahihi ni la kisheria na kwa usalama wako.
Hao wanaokwapua kodi zetu huko maofisini kwa kutumia kalamu wao wanapenda nini? mdebwedo?
Tra ni wezi wa mchanaHao wanaokwapua kodi zetu huko maofisini kwa kutumia kalamu wao wanapenda nini? mdebwedo?
Hao Tra kwenda kukagua stoo ni janja ya kujiongezea Wigo WA Rushwa, Hii HapanaHawawezi kuingiza mali za magendo bila kushirikiana na waajiriwq wa umma
Afu wewe Sukuma Gang ujue umejaa sana siasa za majitaka? Wachaga ndio wafanyabiashara pekee katika nchi hii? Una akili ndogo kama mbegu ya hardali.