Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

Haipo CCM ya Samia Wala CCM ya MAGUFULI.

CCM ni Moja.

Pia Tanzania ni Moja imara, Nchi nzuri.

Aaaamen.
 

Kwa nini watu hawa tusiwatangaze maadui wa taifa?

Ukiona mtoto ana msema vibaya mzazi kwa majirani mpaka anafikia hatua ya kutoa Siri za familia kwama jirani

Basi huyo mtoto tuna mwita haramu
 
Siumeachia uhuru wa Vyombo vya Habari kinacho kuwasha Nini hasa? Tubishane kwa hoja.
 
Kama tungefuata principles za Machivelli, hawa wafuasi koko wa Magufuli wote wangeondoka duniani.
 
Haipo CCM ya Samia Wala CCM ya MAGUFULI.

CCM ni Moja.

Pia Tanzania ni Moja imara, Nchi nzuri.

Aaaamen.
Kuna watu mamluki ndani ya CCM hawataki kukubali Samia ndio Rais sasa na mgombea wetu 2025
 
Waliaminishwa Jiwe akifa hakuna wa kumaliza miradi, Sasa Samia anamaliza na anaongeza mingine
 
Huna akili, just simply like that.

Bandikolako umelitia chumvi mbaka limekosa maana kwa watu makini. Hujui hata ulicho andika mkuu.
 
WAFUASI WA MAGUFULI NI VICHAA kwa SASA
 
Magufuli na wafuasi wake ni maadui wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…