johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama alivyo mwenyekiti, ndivyo walivyo wanachama na washabiki.Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa mkuu.I think ni Malezi ndani ya CHAMA.
Au ile hali ya kumfuata role model wao wakiamini wapo juu ya sheria.
Kipimo kidogo: Angalia replies zao kwenye hii thread ndio utatambua hiki chama hasa CHADEMA ni watu wenye ethics gani!
Wanaongoza kukiuka sheria na kanuni za uchaguzi kwasababu wamewekewa kanuni,lakini upande wapili wapo salama kwasababu hamna sheria wala kanuni inayowaongoza wakitaka kutokana wanawake sawa,wakitaka kuongea kisukuma sawa na hata rushwa wanatoa maana sheria hakunaNimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Ofcourse ni malezi mabovu kutoka CHADEMANimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
I think ni Malezi ndani ya CHAMA.
Au ile hali ya kumfuata role model wao wakiamini wapo juu ya sheria.
Kipimo kidogo: Angalia replies zao kwenye hii thread ndio utatambua hiki chama hasa CHADEMA ni watu wenye ethics gani!
Kama alivyo mwenyekiti, ndivyo walivyo wanachama na washabiki.
Wanajiona wako sahihi kwa kila kitu.. Bado siku 11 tuwakomeshe
Hizi ni dalili za wazi dhidi ya upinzani. Haiwezekani tangu mchakato wa uchaguzi uanze chama tawala hawajahi kufanya makosa. Tunajidanganya tu kwani wananchi sio wajinga na wanaona unyanyasaji wa wazi dhidi ya vyama vya upinzani.
Ofcourse ni malezi mabovu kutoka CHADEMA
Chama kiko rafu, kimekaa kikanjanja
Ukweli inajulikana wazi upinzani wana minywa haswaaa.Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa mkuu!Ofcourse ni malezi mabovu kutoka CHADEMA
Chama kiko rafu, kimekaa kikanjanja