Uchaguzi 2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

Uchaguzi 2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je, ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni wa kupuuzwa tu
 
Wanaongoza kukiuka sheria na kanuni za uchaguzi kwasababu wamewekewa kanuni,lakini upande wapili wapo salama kwasababu hamna sheria wala kanuni inayowaongoza wakitaka kutokana wanawake sawa,wakitaka kuongea kisukuma sawa na hata rushwa wanatoa maana sheria hakuna
Umenikumbusha takukuru waliambiwa Chama dola wanapeana rushwa wakati wa kugombea nafasi za ubunge jibu lao ni "mambo ya chama tawala watamalizana wenyewe"
Nchi bhana ina shangaza sana kwenye baadhi ya taasisi ambazo zinatakiwa kutenda haki.
 
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.

Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.

Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?

Je, ni malezi ndani ya vyama?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Iyo sabato unayotutakia ikipokelewa labda uyo yesu anaishi LUMUMBA floor ya 1
 
Back
Top Bottom