Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

Naona umezunguka tu..
Jibu mbona liko straight. Alipoteza damu nyingi wakati wa operation
 
Aisee! Huu ugonjwa kumbe ni balaa namna hii, kushindwa kupiga mashine tena? Watu wa mitishamba tafadhali, hakuna njia mbadala ya tiba huko kwenu?
 
Aisee! Huu ugonjwa kumbe ni balaa namna hii, kushindwa kupiga mashine tena? Watu wa mitishamba tafadhali, hakuna njia mbadala ya tiba huko kwenu?
Hahaha wewe umewaza hilo tu.
 
Asante kwa somo ufafanuzi mzuri mkuu.
 
Somo murua.
 

Huenda suala la kupoteza damu au athari za ki saikolojia zinapelekea hawa watu kukata tamaa na kufariki, nna kesi za watu watatu ambao walikua na kisukari, walifariki baada ya kukatwa miguu.

Nimependa sana jibu lako kwamba siku inakua tu imefika, lakini nimependa zaidi maelezo yako juu ya ugonjwa wa kisukari.

Barikiwa sana na Mungu akuzidishie maarifa na ufahamu ukaendelee kuwa msaada kwa wengine.
 
Shukrani sana mkuu.
 
 
Mkuu hakuna dawa ya sukar..?
Mkuu kwa nijuavyo mimi kisukari hakina tiba. Bali unaweza kupunguza madhara yake kwa ku manage kiwango cha sukari katika damu kiwe notmal.

Njia nzuri za kuweza ku manage kiwango cha sukari kwenye damu ni pamoja na kupunguza kula vyakupa vya wanga, kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi (fibers), kufanya mazoeazi mara kwa mara, ku monitor kiwango cha sukari mara kwa mara na nyingine nyingi siwezi kutaja zote.

Nadhani ukitembelea hospital utapata maelekezo na ushauri zaidi kwa wataalam.
 
Niulize tu sasa kwa wale wanaopata ulabu- ni basi wasipate ulabu kabisa katika maisha yao yote au kuna aina ya ulabu utawafaa? Au kuna aina ya ulabu hauna sukari? Au hata glasi ya red wine basi? Yaani kazi kweli kweli!

Shukrani nyingi Mkuu!
 
Mfano tu akiwa ameipata sukar akifanya hivyo vitu atapona kbsaa?
 
Mfano tu akiwa ameipata sukar akifanya hivyo vitu atapona kbsaa?
Mkuu issue ya kisukari ni somo kubwa kidogo. Maana kuna aina toauti tofauti za kisukari. Ndio maana nimekuambia mimi sio doctor bali nimefanikiwa kupata elimu kidogo tu kuhusu huu ugonjwa na mambo mengine.

Hivyo ili upate majibu ya uhakika kabisa na ushauri mkuu nakushauri ungeenda hospital ukaonana na wataalam wenyewe.
 
Kuna madoctor hopeless kabisa hawawezi kutoa ufafanuzi kama huu unao utoa hapa, hongera sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…