Mhumapatali
Member
- Jul 23, 2017
- 29
- 37
Shida ya huu ugonjwa unajijenga taratibu kwa miaka mingi. Ukiona dalili ujue magnitude ya tatizo ni kubwa. Watu wengi wanaviashiria vya kisukari lakini hawajui. Jambo la msingi ni kuepuka maisha ya kivivu (Sedentary life style) na ulaji wahovyo.Bora nipate nhoma kuliko kisukari
Ukienda hospitali ubahatike kukutana na daktari aliyebobea (specialist) kwenye magonjwa ya kisukari. UkimkutΓ generalist anaweza asiwe msaada. Wengi huwa wanamuandikia mgonjwa dawa za kisukari bila kumshauri mgonjwa aanze na diet na mazoezi kwa muda fulani kwanza. Wengi wanashauri wagonjwa wale sana matunda bila kuspecify ni matunda ya aina gani, kwani glycemic index ya matunda inatofautiana kwa kila tunda.Kuna madoctor hopeless kabisa hawawezi kutoa ufafanuzi kama huu unao utoa hapa, hongera sana mkuu
Alifariki baada ya muda gani toka afanyiwe operation, na cause of death ilikuwa nini? Nimekuuliza hivyo maana nami nina ndugu yangu amefanyiwa hiyo operation mwaka huu na tatizo ni hilo hilo la sukari.Babu yangu alikatwa mguu. Alifariki mwaka jana. Daah huu ugonjwa si mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna matunda ambayo yanaongeza sukari mwilini ?Ukienda hospitali ubahatike kukutana na daktari aliyebobea (specialist) kwenye magonjwa ya kisukari. UkimkutΓ generalist anaweza asiwe msaada. Wengi huwa wanamuandikia mgonjwa dawa za kisukari bila kumshauri mgonjwa aanze na diet na mazoezi kwa muda fulani kwanza. Wengi wanashauri wagonjwa wale sana matunda bila kuspecify ni matunda ya aina gani, kwani glycemic index ya matunda inatofautiana kwa kila tunda.
Hiyo siyo kitaalamu bali kwa Kiingereza. Nyie ndio huwaga mnasema ujenzi wa barabara au kwa kitaalamu road construction....- kitaalamu inaitwa "gangrene"...
Gangrene ni technical word (neno la kitaalamu) ambalo kwa kiingereza maana yake ni "putrefaction of tissues".Hiyo siyo kitaalamu bali kwa Kiingereza. Nyie ndio huwaga mnasema ujenzi wa barabara au kwa kitaalamu road construction.
Ndiyo mkuu, matunda Kama mananasi, machungwa, matikiti na ndizi mbivu yanaongeza sukari kwa wingi na kwa harakaMkuu kuna matunda ambayo yanaongeza sukari mwilini ?
Mgonjwa wa kisukari anashauriwa ale zaidi matango na parachichi kwa sababu yana glycemic index ndogo( kiwango kidogo Cha carbohydrate)Ndiyo mkuu, matunda Kama mananasi, machungwa, matikiti na ndizi mbivu yanaongeza sukari kwa wingi na kwa haraka
Vipi kwa mtu ambaye hana kisukari akipendelea kula hayo matunda anaweza kupata kisukari ?Ndiyo mkuu, matunda Kama mananasi, machungwa, matikiti na ndizi mbivu yanaongeza sukari kwa wingi na kwa haraka
Matunda Ni mazuri kwa afya kwani yana vitamins nyingi ambazo hazipatikani kwenye vyakula vingine! Kama huna tatizo la kisukari unaweza kula matunda ya aina zote . Ila kwa mtu mwenye kisukari anapaswa kula matunda yasiyo na sukari nyingi ilikuepuka kupandisha sukari kwa haraka ( spiking of blood sugar)Vipi kwa mtu ambaye hana kisukari akipendelea kula hayo matunda anaweza kupata kisukari ?
Au kwa kitaalamu donda ndugu.Gangrene ni technical word (neno la kitaalamu) ambalo kwa kiingereza maana yake ni "putrefaction of tissues".
Kwahiyo pamoja na kwamba linatumika kwenye lugha ya kiingereza ni neno la kitaalamu maana kama ingekuwa ni kiingereza tu tungesema tissues putrefaction.
Either way. Mada iliyopo sio hiyo unayotaka kuanzisha.
CCM bwana. ππ
Hii thread haiitaji wavuta bangi tafadhari, soma kimyakimya, pita hivi kakatie viuno mbele huko.Hiyo siyo kitaalamu bali kwa Kiingereza. Nyie ndio huwaga mnasema ujenzi wa barabara au kwa kitaalamu road construction.
Hamna cha kuvuta bangi wala nini, ni kuweka mambo sawa tu wewe kamanda uchwara.Hii thread haiitaji wavuta bangi tafadhari, soma kimyakimya, pita hivi kakatie viuno mbele huko.
Watu wana shida serious wewe unaleta tabia zako za kishoga na kimalaya hapa koma.
Alikaa sana. Alifanyiwa mwaka 2009..ila mwaka jana akaenda katwa mguu mwengine, alifia hukohuko hospital alivyokatwa kwa mara ya pili, alikaa kama 2 weeks hospitalin akafariki.Alifariki baada ya muda gani toka afanyiwe operation, na cause of death ilikuwa nini? Nimekuuliza hivyo maana nami nina ndugu yangu amefanyiwa hiyo operation mwaka huu na tatizo ni hilo hilo la sukari.
Kwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?Matunda Ni mazuri kwa afya kwani yana vitamins nyingi ambazo hazipatikani kwenye vyakula vingine! Kama huna tatizo la kisukari unaweza kula matunda ya aina zote . Ila kwa mtu mwenye kisukari anapaswa kula matunda yasiyo na sukari nyingi ilikuepuka kupandisha sukari kwa haraka ( spiking of blood sugar)
Pole kwa msiba na shukrani kwa kunipa elimu!πAlikaa sana. Alifanyiwa mwaka 2009..ila mwaka jana akaenda katwa mguu mwengine, alifia hukohuko hospital alivyokatwa kwa mara ya pili, alikaa kama 2 weeks hospitalin akafariki.
Sent using Jamii Forums mobile app