Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #61
Nimeongelea taaluma ya ENGINEERING na sio kitu kingine mkuu@1Pia shangaa na kujiuliza kwanini German is good at Engineering but there are not any German universities in the top 20 World rankings
duuuh ina maana watu wengi walikuwa wanakimbilia kwenye kazi za mikono (ufundi)?Wajerumani wanathamini sana kazi za mikono ndio siri yao kubwa kuna kipindi walihitaji watu wa kufanya kazi za maofisini kutokana na uhaba wa wafanyakazi wa maofisini
umefafanua kitaalamKuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya ujenzi wa barabara. Naamini katika njia ulizozitaja hapo kuna either makazi ya watu au viwanja. Inahitaji kulipa fidia kama unahitaj kuestablish new route. Kwahiyo katika hilo ni suala pesa. Unaweza lipa fidia ikazidi gharama za ujenzi
mmhhh. Mkuu I didn't know this beforeTatizo tunawekeza heavily katika non productive sector inayoitwa "ulinzi na usalama". Inawezekana kwa kila watanzania watano mmoja ni "mlinzi na msalama" akiwa kwenye payroll hiyohoyo inayotokana na ka keki kadogo ka nchi. Vijana wenye afya njema na akili safi badala kuendelezwa ki elimu na teknolojia wengi wanakazi za kukusanya taarifa za watu na kufatilia mienendo ya maisha ya wengine! What a waste!!!
Ukiachana na kwa Mpalange pia kuna sehemu wanapaita kwa mama kibonge huko huko BuzaNimefika sana tu
Ndio hapo sasa...!!!!!Unasema vipi huo ndiyo ukweli halafu unashindwa kututhibitishia ?
Dam ya muisrael ndio Siri ya germanShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa?
View attachment 1517904
Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;
(1) Siku ya Ijumaa ilee ya wiki iliyopita nilimsindikiza mjomba wangu mmoja kule kariakoo kwenda kununua kipuri (spare) moja ya mshine ya kusagia unga kwa ajili ya kupeleka kijijini kwao kwa maana hii ndio biashara yake miaka nenda rudi.
Sasa baada ya kufika katika duka la baba mmoja mtanzani mwenye asili ya bara la asia (al maaruf kama mhindi) tukakuta ni kweli anayo spare ile ila zipo za aina tatu. Moja ni kitoka nchini Singapore, nyingine nchini China na ya tatu ni kutoka nchini Ujerumani. Sasa yeye akawa anamsisitiza mjomba wangu kwa lafudhi ya Kiswahili cha kihindi "chukua hii baba ipo genuine kabisa fresh from german" basi uncle akanunua, akalipa kisha sisi haoooo tukarudi zetu home.
(2) Vile vile inasemekana kwamba, mtu akianza kuendesha gari za Kijerumani kama vile Mercedes Benz, BMW, Audi au VolksWagen kwa maana zinatulia sana barabarani na kamwe mtu huyo hatotamani tena maishani mwake kuendesha gari za Kijapan kama vile Toyota na Nissan.
(3) Bila kuishia hapo, huku mitaani pia mara nyingi kumekuwepo na msemo maarufu kwa mfano utamsikia mtu akijigamba kwa rafiki yake kwamba "daaah mwanangu hii pasi tangia niinunue huu ni mwaka wa 8 sasa na sijawahi kuipeleka kwa fundi, chuma cha mjerumani hiki mzee baba"
(4) Msafari wa Rais wa Russia ndugu Vladmir Putin umejaa BMW motorcycles; and Mercedes G-Class, Mercedes E-Class, S-Class, BMW 5 Series. Tazama picha ya msafara wa Putin hapo chini.
View attachment 1517923
Sasa kwa kuzingatia scenario hizo zote nne (4) ndio nikajawa na maswali mengi sana akilini mwangu kwamba WHY ARE GERMANS SO GOOD AT ENGINEERING?
Kuna baadhi ya watu hapa watakuja kusema ninaisifia sana Ujerumani kwa maana ninauza vitabu vyao hahahahaaaaaa
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Naishi hapa Buza CCM kwa wajumbe[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiachana na kwa Mpalange pia kuna sehemu wanapaita kwa mama kibonge huko huko Buza
Nakujaga sana huko kuna ndugu zangu wanakaa maeneo hayoNaishi hapa Buza CCM kwa wajumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee. basi serikali inapaswa kulifanyia sana kazi suala hiliKwetu bongo mtu anaonekana kabisa anakipaji lakin serikali inampotezea ad anarudi shamba kuishia kulima
sijawahi kuwa katika kikosi chochote tangia nizaliweUko kikosi gani skuizi
Mkuu, nimezungumzia suala la engineering ya Ujerumani ila wewe unaongelea issues za Tanzania@1I am also wondering why Tanzania engineers are of the poorest quality.
Vijana wana matatizo huwa wananaandika wanavyojisikia.Ndio hapo sasa...!!!!!
Karibu sanaNakujaga sana huko kuna ndugu zangu wanakaa maeneo hayo
Kiufupi jamaa walijengewa uwezo wa kuwa jinsi walivyoKuna baadhi ya watu wanadai ya kwamba labda ni kutokana na ukali wa Adolf Hitler ndio umewajengea umakini pamoja na nidhamu katika kazi zao. Sasa sijui ni kweli ama ni uongo?