Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Pia shangaa na kujiuliza kwanini German is good at Engineering but there are not any German universities in the top 20 World rankings
emoji848.png
Nimeongelea taaluma ya ENGINEERING na sio kitu kingine mkuu@1
 
Kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya ujenzi wa barabara. Naamini katika njia ulizozitaja hapo kuna either makazi ya watu au viwanja. Inahitaji kulipa fidia kama unahitaj kuestablish new route. Kwahiyo katika hilo ni suala pesa. Unaweza lipa fidia ikazidi gharama za ujenzi
umefafanua kitaalam
 
Tatizo tunawekeza heavily katika non productive sector inayoitwa "ulinzi na usalama". Inawezekana kwa kila watanzania watano mmoja ni "mlinzi na msalama" akiwa kwenye payroll hiyohoyo inayotokana na ka keki kadogo ka nchi. Vijana wenye afya njema na akili safi badala kuendelezwa ki elimu na teknolojia wengi wanakazi za kukusanya taarifa za watu na kufatilia mienendo ya maisha ya wengine! What a waste!!!
mmhhh. Mkuu I didn't know this before
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa?

View attachment 1517904

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;

(1) Siku ya Ijumaa ilee ya wiki iliyopita nilimsindikiza mjomba wangu mmoja kule kariakoo kwenda kununua kipuri (spare) moja ya mshine ya kusagia unga kwa ajili ya kupeleka kijijini kwao kwa maana hii ndio biashara yake miaka nenda rudi.

Sasa baada ya kufika katika duka la baba mmoja mtanzani mwenye asili ya bara la asia (al maaruf kama mhindi) tukakuta ni kweli anayo spare ile ila zipo za aina tatu. Moja ni kitoka nchini Singapore, nyingine nchini China na ya tatu ni kutoka nchini Ujerumani. Sasa yeye akawa anamsisitiza mjomba wangu kwa lafudhi ya Kiswahili cha kihindi "chukua hii baba ipo genuine kabisa fresh from german" basi uncle akanunua, akalipa kisha sisi haoooo tukarudi zetu home.

(2) Vile vile inasemekana kwamba, mtu akianza kuendesha gari za Kijerumani kama vile Mercedes Benz, BMW, Audi au VolksWagen kwa maana zinatulia sana barabarani na kamwe mtu huyo hatotamani tena maishani mwake kuendesha gari za Kijapan kama vile Toyota na Nissan.

(3) Bila kuishia hapo, huku mitaani pia mara nyingi kumekuwepo na msemo maarufu kwa mfano utamsikia mtu akijigamba kwa rafiki yake kwamba "daaah mwanangu hii pasi tangia niinunue huu ni mwaka wa 8 sasa na sijawahi kuipeleka kwa fundi, chuma cha mjerumani hiki mzee baba"

(4) Msafari wa Rais wa Russia ndugu Vladmir Putin umejaa BMW motorcycles; and Mercedes G-Class, Mercedes E-Class, S-Class, BMW 5 Series. Tazama picha ya msafara wa Putin hapo chini.

View attachment 1517923

Sasa kwa kuzingatia scenario hizo zote nne (4) ndio nikajawa na maswali mengi sana akilini mwangu kwamba WHY ARE GERMANS SO GOOD AT ENGINEERING?

Kuna baadhi ya watu hapa watakuja kusema ninaisifia sana Ujerumani kwa maana ninauza vitabu vyao hahahahaaaaaa

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Dam ya muisrael ndio Siri ya german
 
Kuna msemo nimewahi kuusikia unasema "Germany is the World workshop". Inawezekana ni kutokana na ujuzi wao ktk kuunda Magari na Mitambo iliyoenda shule.
 
The masters of quantum physics duniani ni wajerumani, baba yao anaitwa Schrödinger .Hii inakupa jibu kwa nin iwe na teknolojia ya juu.
 
Back
Top Bottom