Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?


Listi ya watu wa kanda ya Ziwa wenye Akili nyingi sababu ya kula samaki ni kama ifuatavyo;
1. Kangi Lugola
2. Daudi Bashite
3. Palmagamba Kabudi

Ongezeeni wakuu hiyo list

PS. Najiuliza kwa sauti...kama kula samaki ndiyo kuwa na akili nyingi mbona wenyewe hawana akili wanavuliwa kiboya sana?
 

Kwa uelewa wangu nilotes ambao tuko nao East Africa ambao inasemekana walitokea huko Misri na Sudan tukumbuke kabla ya wakoloni kuja Misri na Sudan ilikuwa nchi moja, nilotes ni wamasai, kalenjins, wajaluo, turkana, pokots etc kuna wengine hata ukiangalia phyiscal features zao hazifanani kabisa na wabantu na lugha zao pia hazifanani sema siku hizi tumeingiliana sana kwa hiyo wanapotezw ile asili na lugha zao na hata genes zao zishachanganywa vya kutosha
 
Lakini siyo wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nauliza.
1. Kwanini wahaya walio wengi wananuka midomo?
2. Kwanini wanawake wa kihaya wanatoaga maji torfauti na makabila mengine? Ni uhayani tu unakokuta magodoro ya gesti yanatolewa nje kuanikwa.
Jaribu kumwuliza mama yako mzazi anaweza kuwa na jibu sahii kuliko sis wachangia mada mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu umenikumbusha kitu muhimu sana, ebu nisaidie sisi wabantu sasa tulitokea wapi?
mbali na hayo yangu kwa sababu Historia ya Africa imepindishwa sana
 
Wanawake wote wana maji ila wanaume wa Kagera ndo wana teknolojia ya kuyachimba yakafumuka.
Mkuu usikate simu shikilia hapo hapo. Hebu nipe kwa ufupi tu. Je ni lazima ulimi utumike au vidole au ni nini
 
Mkuu usikate simu shikilia hapo hapo. Hebu nipe kwa ufupi tu. Je ni lazima ulimi utumike au vidole au ni nini
Hapana, ukiona mhaya anatumia ulimi ujue kazaliwa nje ya Kagera na wala huwezi kulowanisha shuka. Technology inahitaji namna nzuri ya kushika kichwa cha rungu na kucheza na antena ya K..alolina. ukipata muda nenda Bk utapewa training na warembo.
 
Hiv unajua vigezo vya mtu kwenda seminary? Kumbuka kuna mchujo mkubwa kabla ya kwenda seminary.


Ukubali Tu asilimia kubwa ya wahaya Wana akili.

Tazama maTO kila mwaka,mabest students hasa UDSM nk na idadi ya wahaya vyuoni ndo uje uongee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin ukifuatulia historia ya wahaya na hata ukiwauliza mabibi inasemekana walitoka misri .

Na walifika kagera Kwa kufuata mto Nile kupitia bunyoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unaongelea wasukuma sio wahaya.


Tukitaja wahaya waliofanya makubwa utakimbia tukianza na maxence melo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…