Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Mikoa hiyo ndio iliyopo nyuma zaidi kimaendeleo ikiongozwa na Kagera, Geita na Simiyu. Akili za ushirikina? Jiwe au bashite?
Hawa watu wa kanda ya nyonyo huwa wanachekesha mno hapa wametokwa mate na jinsi kaskazini hasa kilimanjaro walivyo na akili kubwa hasa kivitendo
Kwahyo wanatafuta ahueni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi 100% nakupa zote kwasababu nimesoma kanda ya ziwa

nimeona matokeo ya wanafunzi wa kanda zile,ki ukweli they are Genious

si kwamba wajinga hawapo La hasha! ila ile mijitu ya kule sio poa asee
 
Akili zao ni za Darasani tu ila sio kwenye mambo mengine

na hii nadhani ni sababu bongo zao zinahifadhi sana kuliko sisi

inapokuja swala la mtihani ni wana copy n paste toka kichwani to pepa

Samaki ndio msingi wa mafanikio yao hamna njia nyingine ya uchawi.
 
Wewe umelewa rubisi,tuliwadidimiza kivipi? Kwan Kuna rais aliyewah toka mkoa wa kilimanjaro ? Pambanen na umaskini wenu huko katerero msitafute mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samaki kunaOmega3-6
 
Pamoja na hayo yote mhaya Ni mwanafunz wa mchaga ktk nyanja zote sio elimu,sio uchumi,sio maendeleo,sio ujanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mabumbumbu wengi tu na wanashinda na samaki kanda ya ziwa
 
Lakin ukifuatulia historia ya wahaya na hata ukiwauliza mabibi inasemekana walitoka misri .

Na walifika kagera Kwa kufuata mto Nile kupitia bunyoro

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliotoka misri/Israel Ni wachaga
Sii wahaya hii haihitaji hata PhD
Huoni jinsi wachaga ni weupe kama wazungu? Ukiona mhaya mweupe ujue huyo ni chotara wahaya Ni weusi kama kiwi,sasa misri kuna watu weusi?[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…