Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.MIMI NILIENDAJE HUKO NA WADOGO ZANGU WOTE!! SIKIA STORI TU KUHUSU MCHUJO ! POINTI SABA LAINI NA INGEKUWA KATA NI FOUR KAMA YENU HE HE
Sidhan kama unaelewa ulichoandika[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu elimu elimu.

Mkuu Nyaru-sare rudi darasani, kasome historia ya wa-Bantu na historia ya wanilotics. Ndio uje uandike tena
 
Watanzania wote sisi ni vilazaaaaa

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda ya nyonyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema mikoa ya watu wanaokula ndizi kwa wingi ingekuwa sahihi siyo samaki,rejea mikoa ya pwani na visiwani linganisha na Kilimanjaro,Arusha,Kagera,Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
si kweli kuwa watu wa pwani hawana akili bali kilichotokea hawakutilia mkazo elimu hiyo haifanyi kutokuwa na akili sisi wa kuja tulipokelewa na watu wenye akili na utu na ustaraabu na tunaishi kwa amani hiyo nayo ni akili tusiwabeze miaka
 
ukisema kanda ya ziwa, unamaanisha wasukuma pia? na wakurya/wajaluo? mbona vilaza wengi tu? kuna maeneo hayo kuna watu they cannot even afford kununua samaki mmoja, na baba akiwa mvuvi anaona bora auze. wasukuma wengi hawali ndizi, utasemaje hapo? wanakula ugali ambao hauna chochote.

nijuavyo, wakati ya development ya ubongo viini muhimu vinavyohitajika huwa ni Omega3, ambayo ipo kwa sana kwenye mafuta ya samaki na kwenye ndizi. mtoto akiwa anakula (0 age to 23) development ya ubongo wake inakua vizuri hivyo atakuwa na IQ kubwa. huo ndio ukweli. hata hivyo, omega3 haipatikani kwenye vyakula hivyo tu, jaribu kusearch aina za vyakula vyeney omega3 utapata jibu. lishe bora na pesa za kusomeshea watoto ndio hufanya mtu awe na akili...

hata hivyo wakati mwingine hii dhana huwa inajipinga yenyewe......angalia people around lake Nyasa, lake Tanganyika, and all those Zaramos along the coast hadi watu wa Tanga, Lindi Mtwara na Zanzibar, ambao hushika mkia. linganisha na watu wa kilimanjaro, iringa, na mbeya (mbeya ondoa wanyakyusa wa tukuyu kwenye ndizi), ambako ndio wameongoza shule, utasema hawana akili?

wahaya na wasukuma si tumesoma nao? mbona tulikuwa tunaona wagumu sana kuelewa wanavuta mkia?

wazungu wote wanatoka along costs kweney samaki? maswali ni mengi.
 
Sio uhaya tafiti kwann panapolimwa ndizi au jirani na ziwa vichwa huwa vingi
uhayani ni kwasababu ya ukristo, shule zilianza mapema kuliko kwingine ndo maana muamko wa elimu upo juu na kuna vichwa vingi. the same applies to Tukuyu Mbeya and kilimanjaro
 
si kweli kuwa watu wa pwani hawana akili bali kilichotokea hawakutilia mkazo elimu hiyo haifanyi kutokuwa na akili sisi wa kuja tulipokelewa na watu wenye akili na utu na ustaraabu na tunaishi kwa amani hiyo nayo ni akili tusiwabeze miaka
Hakuna aliyesema hawana akili,tunaongelea uhusiano wa kula samaki na wingi wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ndiyo tulitoka huko waliko .
 
Nadhani kwa sisi waafrika kuanza kusema tunazidiana akili ni ujinga, hata whites wenye elimu yao wanatucheka kwa huu ujinga.

Kama afrika kungekuwa na jamii yenye akili basi tungekuwa tunashindana na marekani kwa tech na uchumi, lakini Africa ndio bara lenye umasikini wa kutisha na kushangaza.

Yaani bara ni tajiri lakini
hapohapo ni masikini hii haingii akilini na bado Kuna watu wanasema wao wana akili kuliko wengine, kwa vigezo vipi?

Umeajiuliza kwanini gunduzi zote zinafanywa na whites?
Hakuna muafrika hata mmoja?
Genius wote ni Whites hakuna mweusi hata mmoja?

Elon musk amezaliwa afrika na anafanya makubwa, lakini bado ni mweupe at least angekuwa mweusi ningejaribu kuamini kwamba weusi tuna akili.

Naomba tupunguze ujinga waafrika wenzangu.
 
wamisri wa kale
 
Kasome historia vzr,
Unaujua mji wa timbuktu?!watu walitoka bara ulaya wakaenda kujifunza Afrika,karne nyingi sana kabla ya mkutano wa berlin ulioigawa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…