Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

1: tupe uthibitisho

2: sio kila ibada ni ya kujionyesha ili tujue we ni wa kuabudu.

3: unajua maana ya mtu kuwa mkristo au kisa tu tajiri ana jina la kizungu eti ndio mkristo

4: Wanaabudu nini haswa?
Akikujibu swali namba 4 ..nijuze
 
Basi wewe haujui chxhote kuhusu ibada

Wewe sema unataka wale wanaojionesha wakienda nyumba za ibada

Tofauti na hapo unalako binafsi au uko misinformed
were
 
Waislamu akisha fanya ufisadi serikali na kuwa na utajiri hua wanajiona watukufu watakatifu wachamungu
 
Mungu ameahidi kuwapa nguvu ya utajiri watu wake. Torati 8:18
Ahadi za kuwa mtii wa maagizo yake ni utajiri wa kutupwa. Torati 28.
Mungu ni tajiri, na mkristo ni mtoto wa Mungu kwa hiyo kuwa tajiri wa mali za dunia lilipaswa liwe jambo la kawaida kabisa. Ndio maana Yesu alipozaliwa aliletewa zawadi za madini ya thamani.

Ila Mungu anawapokea wote masikini na matajiri wa mali. Maana hampangii mtoto wake maisha ya kuchagua kikubwa atoboe tu mwisho wa yote.
 
Utajiri ni mtazamo tu.

Bakheresa na Bill Gate, nani tajiri na nani masikini.

Chief Godlove na Lugumi nani tajiri na nani masikini?


Masai mwenye ng'ombe 600 na Hadzabe nani masikini na nani tajiri?
 
Weka mifano ya hao uliowataja
Nimetoa kwenye Biblia.
Jamaa walikuwa wafia Mungu na walikuwa matajiri Ibrahim, Isaka, Yakobo, Ayubu, Nikodemu, Yusuph wa Armathaya etc.

Kwa sasa tajiri anayeongoza kwa networth ndani ya kanisa kwa asilimia kubwa huwezi kumkuta ni mfia dini mwenye consistency ya kiibada kuzidi masikini kuliko upande wa pili. Labda kwa sababu wao ni nguzo (Swala 5) na sisi ibada inaweza kufanywa siri au hadharani.
 
Utajiri ni mtazamo tu.

Bakheresa na Bill Gate, nani tajiri na nani masikini.

Chief Godlove na Lugumi nani tajiri na nani masikini?
P

Masai mwenye ng'ombe 600 na Hadzabe nani masikini na nani tajiri?
Kwa kuzingatia huohuo mtazamo. Katika kila level kuna anayezidi wahusika. Hata kama ni kijijini. Kwa jamii yetu katika level ya mtaa hadi taifa kuna mtu ataheshimiwa kama tajiri kwa matokeo anayoonyesha. Hii ndio scope ya ninachosema. Kama ni dunia utawalinganisha wakina Gates na Azim Premji au angalau Dangote.
Chief ni masikini maana hata hatujui analipa kodi sh Ngapi, sio sawa kumlinganisha na Lugumi😁😁
 
Wapo matajiri wengi tu wanaomtolea Mungu, wengi wamejenga hata makanisa, sema hawataki kutajwa
 
Ili uitwe tajiri, unatakiwa uwe na Bei Gani bank?
Utajiri ni kulingana na mazingira. Maana hakuna mali nyingi mpaka uwe na kilinganishio chenye uwiiano unaoendana. Mfano tajiri mkubwa kuliko waumini wote au nchi nzima au mkoa mzima.
 
Wapo matajiri wengi tu wanaomtolea Mungu, wengi wamejenga hata makanisa, sema hawataki kutajwa
Kwa nini kwenye mavuguvugu ya kufunga, kukesha kukomaa sana na mambo ya dini hawamo kama wale wa upande mwingine. Prayer warriers au wafia dini wengi masikini
 
Basi kwenye nyumba za ibada jakunaga tajiri, watu wote wanafanana.

Ukiona kuna madaraja kwenye nyumba za ibada ujue huyo mungu hapo ni tofauti. Ni biashara za watu
 
Ibada za kikristo hazina matangazo ndo maana huwaoni wakijinadi kusali
 
Ukihesabu maknisa na misikiti ipo Ina idadi kubwa ?
Mimi naweza sema Makanisa ni mengi, kuna Kijiji nilitembelea nikakuta kina wakristo 256 na waislamu 301 Ila Msikiti ulikuwa mmoja ambapo waislamu wote wanasali, lakini makanisa yalikuwa zaidi ya Tisa na wengine wana mpango wa kufunguwa mengine
 
kawaulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…