Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

🚮🚮🚮
 
1: tupe uthibitisho

2: sio kila ibada ni ya kujionyesha ili tujue we ni wa kuabudu.

3: unajua maana ya mtu kuwa mkristo au kisa tu tajiri ana jina la kizungu eti ndio mkristo

4: Wanaabudu nini haswa?
Uthibitisho hasa kwa kitabu cha Biblia wacha Mungu waliokuwa wamebobea kwenye Ibada walijulikana hadi kwa wasio na Mungu. Sadaka unaweza kuficha ila ukiwa mtu wa ibada kalikali utajulikana.
Musa walimjua hadi wapagani kuwa huwa anaongea na Mungu wa Israel.
Ibrahim kila alikopita alicha alama kuonyesha ni mtu wa ibada.
Paulo mwenyewe baada ya kuukwaa ukristo jamaa aliyeelekezwa kumsaidia aliambiwa atamkuta anasali.

Hadi serikali itakujua, maana alifika Cyprus akaitwa na rais Sergio Paulus ikulu akaelezee elimu ya kiMungu anayoisema.

Wasyria walijua Israel nzima mwenye uwezo wa kigundua mipango yao ni Mtu wa Ibada Elisha.

Ibada kama tusipoona ya kinafiki, tunatajia tuone ya halali.
 
Reactions: Cyb
Basi kwenye nyumba za ibada jakunaga tajiri, watu wote wanafanana.

Ukiona kuna madaraja kwenye nyumba za ibada ujue huyo mungu hapo ni tofauti. Ni biashara za watu
Madaraja mengine yapo kwa watu kuyachagua. Kuna waumini wanapenda umasikini kwa kuchagua na wanaopenda mafanikio na maisha mazuri kwa kuchagua. Na Mungu anasema humpa mtu matakwa yake. Ukimlazimisha asiyetaka atakuwa risk kwa wengine. Hilo nalo ni muhimu kulizingatia.
 
sio wanapenda bali waislam wanafuatiliana sana , sisi waumin wa kikristo hatuna muda na mtu , ila waislam wanaweza mtenga , umesahau wale nasheikh walianza mnanga Diamond kuwa ni kafir kisa kavaa cheni yenye msalaba
 
Ibada za kikristo hazina matangazo ndo maana huwaoni wakijinadi kusali
Mkuu Posters za ibada za wa kristo na miariko ni nyingi social media kuliko waislam.
Japo na kuunga mkono Yesu anasisitiza ibada za Siri ingawa matokeo ya mtu anayeabudu sana sirini hata watu wa kawaida watamjua.
 
Ile mialiko mkuu uwe na kibunda kirefu. Matajiri wengi wanapenda ibada fupi fupi sio ya kukesha siku nzima ibadani

Matajiri wakristo wanaufahamu mkubwa wa upigaji wa hao wanaoitwa watumishi wa Mungu.
 
Hiyo ni true. Wakristo wengi huenda church kutokana na shida. Ndio maana imekuwa rahisi sana kunaswa na manabii.
Lakini waislamu ni utamaduni. Kule kwetu nilikuwa nashuhudia matajiri wakijenga misikiti. Lakini sikuwahi kuona mkiristo akijenga kanisa
 
Ile mialiko mkuu uwe na kibunda kirefu. Matajiri wengi wanapenda ibada fupi fupi sio ya kukesha siku nzima ibadani
Hahaha sasa wanatakiwa kukaa sana huko kwa ibada ndefu maana wao tayari wanacho masikini wanachokitafuta.
Wangekuwa mfano bora kuonyesha Mungu akikubariki sana basi utakuwa na ibada ndefu maana huna stress. Sasa hapa wanakuwa mfano mbaya.🙂
 
Ibada iwe ndefu au fupi imani yako inakuponya. Hata maskini wengi huwa hawapendi ibada ndefu basi tu hawana pa kwenda baada ya kutoka kwenye hio ibada
Hahaha sasa wanatakiwa kukaa sana huko kwa ibada ndefu maana wao tayari wanacho masikini wanachokitafuta.
Wangekuwa mfano bora kuonyesha Mungu akikubariki sana basi utakuwa na ibada ndefu maana huna stress. Sasa hapa wanakuwa mfano mbaya.🙂
 
Hiyo ni true. Wakristo wengi huenda church kutokana na shida. Ndio maana imekuwa rahisi sana kunaswa na manabii.
Lakini waislamu ni utamaduni. Kule kwetu nilikuwa nashuhudia matajiri wakijenga misikiti. Lakini sikuwahi kuona mkiristo akijenga kanisa
Kuna mmoja alijitolea kujenga lote, masikini wakalikimbia wakasema ni freemanso anataka kuwatoa kafara. Masikini wengi wanaamini Pesa ni za shetani wakati Maandiko waliyoyashika yanasema vyote ni mali ya Mungu.

Walioleta dini wengi walikuwa wanataka kuitumia ili kuwatumia watu na sio ili watu wamjue Mungu wao na upana wake.
 
Wanawahi kufa wanajilindanmapema

Kaangalie matarjiri wengi wakiislam wanakufa mapema kuliko wakristo

Y
 
Matajiri wakristo wanaufahamu mkubwa wa upigaji wa hao wanaoitwa watumishi wa Mungu.
Wanatakiwa kuwasaidia masikini. Kuna mtu anajua anapigwa kabisa na mtumishi ila anampa tu pesa maana anajua mtumishi umasikini ndio unamsumbua sio mahaba na Mungu.
 
Ibada iwe ndefu au fupi imani yako inakuponya. Hata maskini wengi huwa hawapendi ibada ndefu basi tu hawana pa kwenda baada ya kutoka kwenye hio ibada
😃😃😃 Wengine wanaenda kanisani kutafuta faraja. Ukimjua Mungu faraja haitafutwi kanisani maana Mungu yuko hata hapo nyumbani ulipoaacha ukijua kucheza na key zake..
 
Hoja yako nimeipata vizuri mtu aliye tajili au mtu mwenye pesa zake
Neno ibada ni nzuri ulilolitumia
Sipo hapa kuchambua na kukupa tafsili ya neno ibada lakini kifupi tu ni makanisa machache sana ya kikisto yanafanya ibada
Mengi yanafanya mafundisho na sio ibada
Na ndio maana utaona taratibu nyingi zinaanza
Nyimbo
Kwaya
Sadaka
Matangazo ni mengi hata kuliko mafundisho
Then mafundisho
Vikao mbalimbali nk
Ukiangia mambo yote hao huita ibada lakini sio kweli
Nachelea kusema makanisa mengi kama ilivyo kuwa matendo ya mitume ni jumiia ya waamini ukusanyika pamoja kujifunza ile imani yao
So kama ungetaka kuwa sahihi ungesema kwa nini matajili wa kikristo hawahdhuriii makusanyiko ya katikayi ya wiki na sio kutumia neno ibada

Matendo ya Mitume 2:41 Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapata elfu tatu.
Matendo ya Mitume 2:42 Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.

Nimalizie tu nikusii tafuta kufahamu neno ibada
Kwa ujmla nasikitika kuona kuona tunaudhuria kanisani lakini ibada haifanyiki
Walau kwa kiasi kidogo wakatoliki wanafanya ibada
Je ukienda kwa mwambosi utasema pale kuna ibada??
Bila kutaja wanamwabudu nani waisalamu wanafanya ibada,
 
Sawa sawa
 
Unaweza kuweka points hapo kuhusu ibada ili iwe faida kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…