Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

Na Mimi nakuuliza swali,unafikiri kwanini waganga wa kienyeji wengi au wote ni waislamu?
 
Wakristo matajiri wengi ni washirikina wakubwa hasa walio katika dini nyingi zisizo na nguvu ya Mungu. Hivyo sio rahisi kwa mizimu Yao kuwaruhusu kuwa karibu na Mungu. Waislamu wao haina shida maana mapepo na majini Yao yanaowasaidia hupenda ibada na wasipoifanya imekula kwao hawafanikiwi katu.
 
Kuna mda mwingine unakuwaga na akili
 
Wewe umeongelea tofauti ya matajiri wa kitanzania na wa nchi za kiarabu sio dini...kuna wakristo matajiri na wanapenda ibada Marekani, Europe nk. Huku kwetu hata waislamu matajiri wanaheshimiwa tofati na kapuku kwa sababu, matajiri ni wachache inafanya waonekane special
 
Unaongelea mamilionea gani wakristo ambao hawaendi kanisani wakati mabilionea ndio wachungaji na manabii?
Mwamposa
Kakobe
Gwajima
Suguye
Kapola
Mwacha
Billionaire gani umeona haendi kanisani tapeli wewe?
 

Una maanisha nini unaposema mafanikio? Na una maanisha nini unaposema wanafanya sana ibada, maana ibada pia zipo kadhaa wa kadhaa.
Hali halisi mafanikio...ni suala mtambuka. Halina kipimo cha aina moja
 
Mimi ni muislamu hayo majini mbona sijawahi kuwaona?
 
Mtoa mada hajakataa kuwa mabilionea wakristo wanatoa sadaka!
Anachozungumza ni kuhudhuria sana kwenye nyumba za ibada ukilinganisha na mabilionea waislamu !
 
Mtoa mada hajakataa kuwa mabilionea wakristo wanatoa sadaka!
Anachozungumza ni kuhudhuria sana kwenye nyumba za ibada ukilinganisha na mabilionea waislamu !
Uko sahihi mkuu
 
Mimi ni
muislamu hayo majini mbona sijawahi kuwaona?
Imani ya kiislam mnaamini kama walivyo binafamu waovu na wema majini pia wapo wema na wazuri ndio maana hadi kuna surat bin jinn kwenye Quran.
Kwa waislam mtu kuwa na majini mema sio ishu.
 


Uislam ni dini ukristo ni ufalme wa Mungu .

hata rais hua hakeshi kwenye nyumba za ibada.


Duniani hatukumetwa kuswali au kukaa kwenye nyumba za ibada .
.Hao hao wenye dini ndio waliokua wanawauza watu na kuwakata shingo na kuwatupa baharini watumwa kama bidhaa zilizoharibika au nyanya zilizooza .Wakaua tembo kwa mamilioni na kutajirika .
Kwa waislam hata uuze mihadarati au ufanye ufisadi mkubwa sio tatizo alimradi ujenge msikiti au ueleke watu Maka kuhiji.
 

Kuna kesi moja ilitokea miaka michache iliyopita lakini iliisha mwisho wa mwaka jana. Haikuwahi kuzungumzwa sana. Kampuni moja ya kizawa ya mafuta, kiutapeli, ilitaka kuichukua kampuni nyingine ya kimataifa kwa hila na gilba.

Ile kesi ilikuwa ya aina yake. Na kama hizi dini ndio mnasema zinatengeneza matajiri, basi matajiri hawa wanaodhulumu na wengine kuiba mpaka kwenye taasisi za kifedha kwa ujanja ujanja, sio matajiri. Ni wezi kama wezi wengine.

Tusianze kujisifu kama hatujui wengi wanafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…