Hadi rahaNilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-20 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani
johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Sasa hivi tuna Palamagamba Kabudi mwenye mijicho kama gong'ole.Nilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-20 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani
johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Amefanya kusudi sio kwamba hajui
Ameandika hivyo ionekane Iraq ya sadam alikuwa mtu mwema kwa wakrsto
Sasa hivi unakuta Mtu anaitwa Jesse Johnson au Abdulrazak Adnan...akiitwa unadhani anatokea Mzungu au Mwarabu flan kumbe looh anakuja Mkimbu🤣🤣🤣Hadi raha
Nalo lipo vizuri jina lake kwa kweli. Sema mtu mwenyewe chenga😅😅Sasa hivi tuna Palamagamba Kabudi mwenye mijicho kama gong'ole.
To yeye ni Mzaramo wa wapi?Sasa hivi unakuta Mtu anaitwa Jesse Johnson au Abdulrazak Adnan...akiitwa unadhani anatokea Mzungu au Mwarabu flan kumbe looh anakuja Mkimbu🤣🤣🤣
Sasa hivi tuna Palamagamba Kabudi mwenye mijicho kama gong'ole.
Jina ni namna mtu atakavyo na moyo ukafurahi. Jina ni utambulishi wako, namna utakavyotaka kutambulika ili mradi lisiwe tusi ana karaha kwa wengine.Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee....hapana jamanAtakuwa wa Manerumango huyo
Kibasa alikuwa Mwalimu wangu wa Kemia pale The Highlands Sec School kabla Mwembetogwa Sec School haijaanzishwa!Nilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-20 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani
johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Wewe Kemia utakuwa ulipata D. Maana hata REDOX reaction ilikushinda kwa ujuaji wako🤣🤣Kibasa alikuwa Mwalimu wangu wa Kemia pale The Highlands Sec School kabla Mwembetogwa Sec School haijaanzishwa!
Alikuwa na mwenzake anaitwa Shawala
😂Wewe Kemia utakuwa ulipata D. Maana hata REDOX reaction ilikushinda kwa ujuaji wako🤣🤣
Kiukweli ni ujinga.Anha sawa. Sasa hapo ni kwamba wao wanapenda dini yao na wanaamin asili yao ni uarabuni ndo maana hawataki kutumia jina la asili kama Shemndolwa utakuta anajiita Said Ahmed Said badala ya Said Ahmed Shemndolwa