Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Jina langu la mwisho la kibantu, lilininyima uraia huko majuu
 
Izo takwimu sijui umezitolea wapi labda utupe source mzee nijuavyo mimi wakristo wanaongoza kwa ayo majina
 
Ni moja kati ya wajibu wa wazazi kwa mtoto wao kumpa "jina zuri''

Ila Mimi natumia jina la ukoo na hta babu yangu haitwi hilo jina mi na ndugu zangu wote tunatumia jina la ukoo tena linasound sana. Kasoro mdogo wetu wa mwisho aliandika jina la babu akiwa darasa la Saba na akasajiliwa hivyo mpake kesho itabdi atumie hilo hilo.

Unachoshinda kuelewa wengi wanaandika majina ya babu zao kama la tatu na sio surname ..

Hapa bongo lazima yajirudie maana tuna mtindo wa mzazi kumpa mtoto jina la baba ake Mfno anaitwa Awadhi juma basi mwanae atamuita "juma" then asipotumia surnamer mtoto ataitwa Juma Awadhi Juma
 
Wapo kuna akina Kasimu Mboro, na Mohamed Masawe,
Njoo Machame na Kibosho utawakuta wengi tu,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hayo majina yenu Yana controversial eti mboro kwani hamna majina mengine?

Mfano "mwauchi " jina la kidigo likimaanisha "mlevi " na Kuna mtu anaitwa hivyo udigoni.

Mwamnyeto pia ni majina yao
 
Yaan hapa walio wengi wameelekeza mawazo kwa yule afande mpumbavu wa ZNZ aliyeamua kufirwa maishani mwake...

Hizo ni hulka tu wala sio udini ndugu zangu

Pia maswala hayo ya majina wala sio kwa waislam tu... ni dini zote! Tujifunze ku-balance chuki na udini ndugu zangu.
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
wewe ni mkirito wa mkoa gani?
 
majina ya asili ni muhimu.
images.jpeg
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Waarabu na wazungu walitufanyia kitu mbaya sana, watu wamekua wajinga kupita kiasi kwa kuiga kila kilichokuja na wale Babel
 
wee chok unatafuta bash...a wakiislamu mwenye jina la kibantu nini?wee sindio girles wewe?toka hapa sheitwani wewe
 
Majina yamekuja zamani sana haya kama historia inavyoeleza kua waarabu ni watu walioingia Tz mapema sana na wao ndo walileta dini ya kiislam Tz. Kwaio si ajabu kwenye hilo swala la majina
 
Mkuu naona unashindwa kutofautisha wazenji na waislam?
Mimi naitwa said ibn maneno Balangu
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Aah, nmeandika maneno mengi nmeona nifute tu yote, naona ata hakuna haja ya kuongea chochote, nyi endeleeni na chuki zenu tu.
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Wanapenda uarabu
 
Waarabu na wazungu walitufanyia kitu mbaya sana, watu wamekua wajinga kupita kiasi kwa kuiga kila kilichokuja na wale Babel
Mnaraumu wazungu bure kwa kila kitu..
Wazungu hawakwenda India? Hawakwenda mashariki ya kati? Mbona huko ni ngumu kukuta shida hii katika hizo jamii? Why shida ionekane kwa mtu mweusi pekee na si kote walikokanyaga?.
Ulaya kwasasa inajazwa na mapadili na watawala kutoka Asia na mashariki ya mbali umeshajaribu kufuatilia majina yao watawa waliowengi?
 
Back
Top Bottom