Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Usikurupuke kumpa mtoto jina la ukoo bila kujua maana yake au kufaham mwenye nalo alikuwa na sifa na tabia gani,kumbuka jina ni mtu na mtu ndio jina lenyewe,kuna baadh ya watoto wameteseka kutokana na majina ya kurithi,Au nasema uongo ndugu zanguu..
 
Unamuita mtoto shida taabu mateso unategemea nini?
 
Sasa hivi unakuta Mtu anaitwa Jesse Johnson au Abdulrazak Adnan...akiitwa unadhani anatokea Mzungu au Mwarabu flan kumbe looh anakuja Mkimbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aha hii umenifurahisha sana kwamba unajua atokeza mtu wa Amerika tena na rangi tofauti na yako kumbe ni nani vile [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha yako unaonekana mtoto au kiwango chako cha elimu kimeishia degree.Watu wazima na wasomi hawawezi kutumia lugha hiyo mdogo wangu
wee kweli ku..ma.kwahio unazani wana if wote niwasomi?wee nimpumbavu sana hatakama umesoma lakini elimu haija kusaidia.
 
Nilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-2000 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani

johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Msekwa alikuwa anapozi kwenye kuita majina, utasikia. "Mheshimiwa Teddy Kaselabantu,"
 
wee kweli ku..ma.kwahio unazani wana if wote niwasomi?wee nimpumbavu sana hatakama umesoma lakini elimu haija kusaidia.
Ndio maana unakua na lugha za matusi mdogo wangu.Ungepata elimu zaidi ungeelimika kimaadili.Matumizi ya lugha chafu ni tatizo la afya ya akili.Waone wataalamu watukasaidia mdogo wangu na inshaalah Allah atakufanyia wepesi
 
Huo ndio udini uliokubuhu. Kama imefikia hatua ya kufuatiliana hadi majina
 
Ndio maana unakua na lugha za matusi mdogo wangu.Ungepata elimu zaidi ungeelimika kimaadili.Matumizi ya lugha chafu ni tatizo la afya ya akili.Waone wataalamu watukasaidia mdogo wangu na inshaalah Allah atakufanyia wepesi
Aijue haki yake na haki ya wengine. Mungu amuongoze aache matusi
 
Hakuna mchaga anayekosa jina la ukoo

Ndugu zetu waislam njooni hapa mjibu?
Kwa mada ya Uislamu zidi ya wachaga, aliekuambia hakuna mchaga Mislamu nani, wanaongelea jina la asili siyo ukoo.
 
Ni kweli kabisa sijasema hawapo, wala sijasema hamna Waislamu wenye majina ya kitamaduni.
Hivi mbona kama unachanganya mambo, mwanzo uliandika vizuri majina ya asili, hapa umeandika majina ya kitamaduni.
Hivi utamaduni siyo kitu kingine, na asili ni kitu kingine.
 
Back
Top Bottom