Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni watumwa ila wametofautaiana mabwanaHata Wakristo, kuitwa John, Michael, Thomas ni utumwa uleule hakuna cha afadhali wote ni wajinga watupu.
Kwenye jamii kizazi cha kwanza kikipotoka na jamii inayofuata nayo itapita mule mule.Ni mentality slave tu, wala hakuna kingine.
Kwanza hakuna majina ya dini yoyote, Bali ni majina ya mashariki ya kati.
Wakristo wa sehemu hizo hawatumii majina ya kizungu.
Mfano Tareq Aziz vice President wa Saddam Hussein ni Mkristo mkatoliki.
🤣🤣🤣🤣Aisee🙌majina ya asili ni muhimu.View attachment 2536121
Kakudanganya nani?Hakuna mchaga anayekosa jina la ukoo
Ndugu zetu waislam njooni hapa mjibu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849] Et nani?majina ya asili ni muhimu.View attachment 2536121
Mimi sikubaliani na observation Yako. Labda kwa kiasi fulani upande wa Zanzibar lakini sio bara. Wapo waislamu wengi mno majina yao ya pili au hasa ya tatu ambayo ni ya ukoo, ni majina ya kiafrika kabisa. Nikisema nikutolee mifano ni mingi mno. Kwa upande wa Zanzibar ni kweli, Nako ni kwa sababu za kihistoria. Uislamu uliingia Zanzibar miaka mingi mno kabla ya bara, hivyo Yale majina ya typical Africans ambayo mara nyingi Huwa ni kizazi Cha tatu ( jina la tatu) yalishatoweka baada ya kizazi kilichosilimi kuwa kilishatoweka kitambo. Waliobaki ni wale waliozaliwa katika uislamu na kupewa majina ya kiislamu. Kwa upande wa bara dini kidogo zilichelewa. Hivyo majina ya tatu Bado yapo sana tu. Lakini kadiri tunavyokwenda mambo yanabadilikaUtakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
wee chok unatafuta bash...a wakiislamu mwenye jina la kibantu nini?wee sindio girles wewe?toka hapa sheitwani wewe
Ni mentality slave tu, wala hakuna kingine.
Kwanza hakuna majina ya dini yoyote, Bali ni majina ya mashariki ya kati.
Wakristo wa sehemu hizo hawatumii majina ya kizungu.
Mfano Tareq Aziz vice President wa Saddam Hussein ni Mkristo mkatoliki.
Hujalazimishwa kutumiaMaababu zetu walizingua sana kupokea hizi mila za washezi waarabu na wazungu,sasahivi jamii zetu zimechanganyikiwa hadi majina ya wazee wetu tume yaacha.
Wagalatia munateseka sana
Mimi sikubaliani na observation Yako. Labda kwa kiasi fulani upande wa Zanzibar lakini sio bara. Wapo waislamu wengi mno majina yao ya pili au hasa ya tatu ambayo ni ya ukoo, ni majina ya kiafrika kabisa. Nikisema nikutolee mifano ni mingi mno. Kwa upande wa Zanzibar ni kweli, Nako ni kwa sababu za kihistoria. Uislamu uliingia Zanzibar miaka mingi mno kabla ya bara, hivyo Yale majina ya typical Africans ambayo mara nyingi Huwa ni kizazi Cha tatu ( jina la tatu) yalishatoweka baada ya kizazi kilichosilimi kuwa kilishatoweka kitambo. Waliobaki ni wale waliozaliwa katika uislamu na kupewa majina ya kiislamu. Kwa upande wa bara dini kidogo zilichelewa. Hivyo majina ya tatu Bado yapo sana tu. Lakini kadiri tunavyokwenda mambo yanabadilika
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kama Majina Ya Asili hayana Maana Nzuri Au hayavutii Kutamkwa ya Nini sasa.
Swali zuri sana. Japo Mimi namuona ana bias tu, Hana Cha utafiti Wala niniUtafiti wako umeufanyia mkoa gani?