Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Nilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-20 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani

johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Sasa hivi tuna Palamagamba Kabudi mwenye mijicho kama gong'ole.
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Jina ni namna mtu atakavyo na moyo ukafurahi. Jina ni utambulishi wako, namna utakavyotaka kutambulika ili mradi lisiwe tusi ana karaha kwa wengine.
Hayo mambwembwe mengine hayana ishu wala hayakuongezei pesa
 
Nilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-20 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani

johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Kibasa alikuwa Mwalimu wangu wa Kemia pale The Highlands Sec School kabla Mwembetogwa Sec School haijaanzishwa!

Alikuwa na mwenzake anaitwa Shawala
 
Ni ujinga kuua asili Yako ukatukuza ugeni.
 
Anha sawa. Sasa hapo ni kwamba wao wanapenda dini yao na wanaamin asili yao ni uarabuni ndo maana hawataki kutumia jina la asili kama Shemndolwa utakuta anajiita Said Ahmed Said badala ya Said Ahmed Shemndolwa
Kiukweli ni ujinga.
 
Back
Top Bottom