Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa sababu walifundishwa kujikana, kujichukia na kuwachukia wasio waislam. Wana majina ya kiarabu kama wasudan kiasi cha kuwafanya waarabu wawashangae kama wao hawana majina. Kwao, wanadhani majina ya kiarabu ndiyo uislam ingawa na wakristo kadhalika wengi wana majina ya kizungu tena mengine matusi kama livingstone, peter na gibbon na mengine mengi.Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Upo sahii msomi""Nadhani ameelewaAijue haki yake na haki ya wengine. Mungu amuongoze aache matusi
Kuna majina hata ya Kiswahili mazuri sana. Amani, Furaha, Baraka, Rafiki nkNi kwa sababu walifundishwa kujikana, kujichukia na kuwachukia wasio waislam. Wana majina ya kiarabu kama wasudan kiasi cha kuwafanya waarabu wawashangae kama wao hawana majina. Kwao, wanadhani majina ya kiarabu ndiyo uislam ingawa na wakristo kadhalika wengi wana majina ya kizungu tena mengine matusi kama livingstone, peter na gibbon na mengine mengi.
Kuuliza wala sio ujinga, nimeona Waislam wengi wa West Africa wana majina yao ya asili mfano, Aliko Dangote, Ngolo Kante na wengine wengi. Ila huku kwetu mtu hana jina hata moja ya asili, kwanini nisiulize?Kati ya watu niliokua na wapa heshima hapa, kutoka na heshima kwenye huu wa jamii kutokana umaarufu wako pamoja na wewe.
Ila leo, namechoka nawe, kumbe ni mmoja ya wana jamii, wanaumwa na udini.
Sina usomi wowote mkuuUpo sahii msomi""Nadhani ameelewa
Kama sikosei ilitokea wakati wa vita vya kugombea urithi wa Mtume kati ya Mjomba na Mjukuu sijui Kitukuu, wale walioshindwa vita wengi walikimbilia pwani ya Afrika hususan Afrika mashariki na visiwa vya bahari ya Hindi. Hao wakaacha kuutmia majina ya koo zao ili wasijulikane wako upande gani, kwa hiyo ndio kina Aly Juma Aly , Musa Salimu Musa nk. wale walioshinda vita wame-maintain majina yao ndiyo kina Habib Alharamein, Mihamed Komenei, Khalid Alghalib nk. Nawasilisha na nakubali kufahamishwa zaidi kwa wanaojua.Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni