Kusherehekea sikukuu sio kwenda sehemu ya ibada kuitambua tu tayari ni kuisherehekea.Kumbe wanasherekea mwaka mpya kama ilivyo kwenye sherehe za Eid? Wanakwenda misikitini kufanya ibada ya maadhimisho ya siku hiyo ya mwaka mpya?
Au sijaelewa maana ya kusherehekea maadhimisho ya siku fulani kwamujibu wa dini fulani??
nawaza nikuache uamini unachoamin ila nasita. Ni hivi, katika historia ya uislam hakuna kitu kinaitwa Saudi arabia, hii nchi imeundwa mwaka 1931/32 kma sijakosea na ni baada ya vugu vugu lililouingiza ukoo wa AbdulAziz bin Saudi madarakani. So technically, unaposema saudi Arabia ni sawa na kusema eneo la uarabuni lililo chini ya ukoi wa Bin saudi. Km unafatilia historia , utajua kua eneo hili asili yake linajulikana kma Hijaz, kabla ya ukoo wa saudi kuchukua madaraka eneo hili lilikua chini ya dola ya kiislamu ya Ottoman( i guess you heard it)Je hilo taifa ni secular? Linaongozwa na sheria za kisecular?
.
Je Saudia sio nchi takatifu kwa waislamu?
Muhammad enzi za uhai wake alisema Adam na Eva walivyotenda dhambi walishushwa maka haulifahamu hilo?
Kiwakilishi cha uislamu ni nini kama sio hiyo miji?
Miskiti yote duniani imeelekea maka nionyeshe msikiti ambao umeelekea Yerusalem
Israel sio taifa la Kikristo wala la Kiyahudi ni secular labda mpaka pale atakapoondoka Netanyahu.
.
Ila Saudia na UAE ni mataifa 100% ya kiislamu na yanayoongozwa kwa sheria na taratibi za kiislamu
KWANI WAO WANAUJUA UISLAM ZAID YA QURAN?View attachment 1309048riyadh saudia
Ina maana wewe waujua uislamu kuwazidi hawa?
Kuukubali msikiti sio sababu ya kusema waislamu wanasherehekea krismasi kwa ujumla.View attachment 1309109
Sijahukumu uislamu nimeuliza swali kwanini ninyi waislamu wa Tz mnasherehekea mwaka mpya wa kalenda ya Gregory ilihali mna yenu?
Ni swali rahisi sana
.
Huyo ni diamond akizindua msikiti Kigoma je kama mnaweza kuukubali huo msikiti na mafundisho yenu yanapinga utakataa hamsherehekei mwaka mpya wa Gregorian? Come on buddy
Nadhani kuna eneo pengine wewe ndio umekuwa close minded!Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Haramu maana yake nini?)Krismasi hamuitambui ila misikiti ya haramu mnaitambua?
tofautisha waislam na uislam , hao waislam wanaosherehekea mwaka mpya ni kwa mapenzi yao wenyewe, sio kwa sheria za dini, kuna waislam wanakunywa pombe, wanakula kitimoto kwa mapenzi yao, sio dini,
Haramu maana yake nini?)
Jibu kwanza halafu tuendelee usijekuwa unazungumzia kitu usichokijua......
Nimeweka aya hapo juu ikionesha kupinga hilo swali langu ni kwanini nyie wenye dini mna sherehekea mwaka mpya ilihali hamsherehekei krismasi?
.
Acha kuniaibisha V.U
Sasa waislamu ndio wenye serikali mpaka tutumie kalenda ya hijiriya kwenye nyaraka za serikali,tumia upeo kidogo Mzee baba.Kama waislamu hamuutambui mwaka mpya inayofuata calender ya Gregory. Kwanini kwenye tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa mnatumia Gregorian calender?
Sasa waislamu ndio wenye serikali mpaka tutumie kalenda ya hijiriya kwenye nyaraka za serikali,tumia upeo kidogo Mzee baba.
Abdoool acha porojo.
.
Hiyo sherehe ni yetu na huwa tunamshukuru Mungu na kuomba yaliyo mema kwa mwaka unaofuata.
View attachment 1309068
Hii ni page rasmi ya asas diaries hawa hata siku moja huwezi kuwaona wamepost merry xmas ila mwaka mpya why?
Nimeuliza swali RTI kwanini mnasherehekea mwaka mpya nikatoa na aya hapo juu je wewe husherehekei?
.
Gavana abdool mkubwa njoo
Unajua huu ni mwaka Wa 2020AC, MAANA YAKE NI MWAKA WA 2020 AFTER CHRIST. UNAJUA HILO AU UNABISHA TU.Una uhakika? Ama nikuonyeshe nchi za kiarabu zilivyoupokea mwaka mpya?
Mwaka mpya sio itikadi ya kufa kwa Yesu mwaka mpya ulianza wakati wa Christian Era itikadi ya kufa kwa Yesu Kristo pamoja na kufufuka kwake Masihi ni Pasaka.
.
Nani alikwambia Yesu hajafa au maandiko gani yanazungumza hivyo?
Kama ni koran nieleze ni nani wa kwenye koran ikiwemo marehemu Muhammad aliwahi kumshuhudia Yesu ama kuwa sehemu yake kwa namna moja ama nyingine
unachanganya madesa Mwaka mpya ni secular holiday.
Hivi vyote usherehekeaji wa siku za kuzaliwa na mwaka mpya ni vitu vilivyoanza nyakati za CE na kalenda tuitumiayo imetoka huko.
.
Swali kwako je waislamu wote waTanzania wana dhambi? maana hakuna hata mmoja ambaye hakusherehekea na pilau leo atapika nimepokea salamu za heri ya mwaka mpya kutoka kwa waislamu zaidi ya 50 ila siku ya Krismasi hawakufanya haya