Acheni unafiki wa kipuuzi, huko jela hakuna wakristo? Umeshajiuliza kwanini hao wakristo wapo huko ilhali wenzao wapo mtaani? Umeshawahi kujiuliza kwanini mapadri na maaskofu wanajitangaza mashoga na si maimamu?Si jambo jema hilo, nahitaji kufahamu kwanini wengi wako jela?
Basi kwa Taarifa yako uislam haumilikiwi na mtu kama ilivyo ukatoliki ulio chini ya papa.Yes ancestors wao si ndio walioichora
Tatizo lenu mnataka kulazimisha ili kujifariji.Umekwepa swali. Kwani tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa huwa unaandika kwenye nyaraka za serikali tu? Nimehudhuria kwenye mazishi na sherehe za kiislamu wanatumia calender ya Gregory. Kwenye misiba ya kiislam ndugu wa marehemu wanatumia calender ya Gregory kama kukumbuka terehe, mwezi na mwaka aliokufa ndugu yao. Hata shekh msikitini anapotangaza terehe, mwezi au mwaka wa kukutana huwa anatumia calender ya Gregory. Mfano, Utasikia kesho tarehe 6 tutakuwa na maulidi yaani hiyo anatumia Gregorian Calender. Mtapinga lakini 98% ya waislamu duniani kote wanatumia Gregorian Calender
Kwenye uislam hatumfati asas wala nani, tunafata maandiko na mtume wetu alifanya nini, sasa wewe unajua asas anayoyafanyia gizani hadi tumfate? Sielewi kwanini unamchukulia asas kama reference, kuna mapadri mashoga na wanajitangaza waziwazi mbona wewe huwafati?Abdoool acha porojo.
.
Hiyo sherehe ni yetu na huwa tunamshukuru Mungu na kuomba yaliyo mema kwa mwaka unaofuata.
View attachment 1309068
Hii ni page rasmi ya asas diaries hawa hata siku moja huwezi kuwaona wamepost merry xmas ila mwaka mpya why?
Nimeuliza swali RTI kwanini mnasherehekea mwaka mpya nikatoa na aya hapo juu je wewe husherehekei?
.
Gavana abdool mkubwa njoo
Kwahiyo unataka kusema waislam wengi wapo jela kuliko walio huru?Si jambo jema hilo, nahitaji kufahamu kwanini wengi wako jela?
Huu ni uongo na unajua
Elewa kuwa ukitumia hiyo kalenda sio dhambi,haingii akilini ukiwa sehemu Fulani utumie kalenda ya hijiriyya na ukiwa sehemu nyingine utumie kalenda ya gregory ...japo misikitini kuna kalenda zote mbili zinatumika ili kuendana na mazingira ya jamii nzima kwa ujumla wake,sherehe zote na matukio mkubwa ya kiislamu yanatumia kalenda ya hijiriyya hata vitabu vya kiislamu pia huandikwa miaka ya matoleo yake kwa hijiriyya kalenda.Umekwepa swali. Kwani tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa huwa unaandika kwenye nyaraka za serikali tu? Nimehudhuria kwenye mazishi na sherehe za kiislamu wanatumia calender ya Gregory. Kwenye misiba ya kiislam ndugu wa marehemu wanatumia calender ya Gregory kama kukumbuka terehe, mwezi na mwaka aliokufa ndugu yao. Hata shekh msikitini anapotangaza terehe, mwezi au mwaka wa kukutana huwa anatumia calender ya Gregory. Mfano, Utasikia kesho tarehe 6 tutakuwa na maulidi yaani hiyo anatumia Gregorian Calender. Mtapinga lakini 98% ya waislamu duniani kote wanatumia Gregorian Calender
Kwa waislam hakuna nchi takatifu labda useme mji takatifuJe hilo taifa ni secular? Linaongozwa na sheria za kisecular?
.
Je Saudia sio nchi takatifu kwa waislamu?
Muhammad enzi za uhai wake alisema Adam na Eva walivyotenda dhambi walishushwa maka haulifahamu hilo?
Kiwakilishi cha uislamu ni nini kama sio hiyo miji?
Miskiti yote duniani imeelekea maka nionyeshe msikiti ambao umeelekea Yerusalem
Israel sio taifa la Kikristo wala la Kiyahudi ni secular labda mpaka pale atakapoondoka Netanyahu.
.
Ila Saudia na UAE ni mataifa 100% ya kiislamu na yanayoongozwa kwa sheria na taratibi za kiislamu
2:121. Na hawatakuwa radhi juu yakoView attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Tatizo lenu mnataka kulazimisha ili kujifariji.
Kama kipimo cha MTU anayejua uislam ndiyo hiki basi watakuwa wanakuonea kubishana na weweView attachment 1309048riyadh saudia
Ina maana wewe waujua uislamu kuwazidi hawa?
japo misikitini kuna kalenda zote mbili zinatumika ili kuendana na mazingira ya jamii nzima kwa ujumla wake,sherehe zote na matukio mkubwa ya kiislamu yanatumia kalenda ya hijiriyya
UNACHOTAKA KULAZIMISHA NI PALE UNAPOSEMA WAISLAM WOTE HALAFU SAMPLE UNACHUKULIA TZ KWA TZ DOCS ZA KISERIKALI HUWEZI EPUKA.Siyo kulazimisha. Huo ndiyo ukweli. Muislamu yoyote yule duniani anaamini leo ni mwaka 2020. Kamuulize muislam yoyote aliyefunga ndoa ya Kiislamu. Muulize tarehe, mwezi na mwaka. Kama kuna doc zozote aangalia. Akikujibu kwa Muslim calender au imeandikwa kwa muslim calender kuna 100,000. Ni ngumu sana kuiepuka Gregorian Calender ukiwa bado hai duniani.
.Kwenye uislam hatumfati asas wala nani, tunafata maandiko na mtume wetu alifanya nini, sasa wewe unajua asas anayoyafanyia gizani hadi tumfate? Sielewi kwanini unamchukulia asas kama reference, kuna mapadri mashoga na wanajitangaza waziwazi mbona wewe huwafati?
UNACHOTAKA KULAZIMISHA NI PALE UNAPOSEMA WAISLAM WOTE HALAFU SAMPLE UNACHUKULIA TZ KWA TZ DOCS ZA KISERIKALI HUWEZI EPUKA.
USHAHUDHURI KHUTUBA ZA IJUMAA AU WEWE NI MKRISTO?
BasiNi waislamu wote yaani 98% wanatumia Gregorian Calender hata nchi zinazotumia sharia. Nchi zote kama Saudia Arabia (Makka na Madina), Iraq, Syria, na nchi za kiislam zote wanatumia Gregorian Calender na leo duniani kote wanajua ni mwaka 2020. Hii siyo Tanzania ni duniani kote. Huwezi kuepuka Gregorian Calender. Kwenye Diary yako ya matukio ya kila siku unatumia Gregorian Calender.
وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِTafsiri yake ni
The life of this world is nothing but the pleasure of vanity