Kama sijui kitu ningejuaje kuwa hicho ndicho alichomaanisha?! Usipende kumgeuza nyoka ili uone miguu yake! Shangaa mwendo wake wakati hana miguu!! [emoji848][emoji848][emoji848]Hajui kitu huyu kijana asamehewe,umetafsiri aya iliyowekwa hapo juu.
Wale wale tu na wewe.Nimeweka aya hapo juu ikionesha kupinga hilo swali langu ni kwanini nyie wenye dini mna sherehekea mwaka mpya ilihali hamsherehekei krismasi?
.
Acha kuniaibisha V.U
Hapo ndipo unapofeli,ukiudanfia uislamu utakuumiza,sasa hawajui vipi mambo yao kama wewe huyajui mambo yao ?Weka kwa lugha zinazoeleweka
Nadhani ww kuna kitu huelewiSasa mbona walio wengi wanasherehekea ikiwemo wenye uislamu halisi?
Wewe ni mtu mzima na unajua!Unajua huu ni mwaka Wa 2020AC, MAANA YAKE NI MWAKA WA 2020 AFTER CHRIST. UNAJUA HILO AU UNABISHA TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulicho kinukuu na ulichokiandika vitu 100 tofauti.Hapo ndipo unapofeli,ukiudanfia uislamu utakuumiza,sasa hawajui vipi mambo yao kama wewe huyajui mambo yao ?
Wadau hivi nani kakurupuka hapa?😝😝Unakurupukia nini kijana kuandika,
Hii yote ni mihemko tafadhali mapepo yasikupande yashindwe kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyehai.uwe unajipanga basi kabla ya kuja,hujui kiswahili halafu unataka kuwaambia kwamba waswahili hawajui kitu,vipi hawajui eakati wewe mwenye haujui mambo yao,tulizana,gari alidandiwi kwa mbele.
Abdooool.Kwenye uislam hatumfati asas wala nani, tunafata maandiko na mtume wetu alifanya nini, sasa wewe unajua asas anayoyafanyia gizani hadi tumfate? Sielewi kwanini unamchukulia asas kama reference, kuna mapadri mashoga na wanajitangaza waziwazi mbona wewe huwafati?
Ni makao makuu ya Kanisa Katoliki sio makao makuu ya Wakristo!Nadhani ww kuna kitu huelewi
Mfano leo hii wewe hapo ukienda Vetican city vijana mabarobaro wanaweza wakakuchumbia na ukikubali wanakuowa kabisa lakini Vetican ndiyo kanisa kuu lilipo
Je unafahamu hii kitu
Historia ya Saudi ni mtambuka sananawaza nikuache uamini unachoamin ila nasita. Ni hivi, katika historia ya uislam hakuna kitu kinaitwa Saudi arabia, hii nchi imeundwa mwaka 1931/32 kma sijakosea na ni baada ya vugu vugu lililouingiza ukoo wa AbdulAziz bin Saudi madarakani. So technically, unaposema saudi Arabia ni sawa na kusema eneo la uarabuni lililo chini ya ukoi wa Bin saudi. Km unafatilia historia , utajua kua eneo hili asili yake linajulikana kma Hijaz, kabla ya ukoo wa saudi kuchukua madaraka eneo hili lilikua chini ya dola ya kiislamu ya Ottoman( i guess you heard it)
So saudia sio nchi takatifu ya uislam ila ndani yaje kuna miji mitakatifu na historia ya uislam. Ningeendelea zaidi kuhusu huo ufalme ila habari zitakua nyingi
Muumini wa dini ya kiislamu hawezi akasherekea siku Kama yaleo mwaka mpya wa kidini yatu ulisha pitaNi makao makuu ya Kanisa Katoliki sio makao makuu ya Wakristo!
.
Hayo yapo duniani kote hata Zanzibar hapo, hapa tunazungumzia waislamu kutokusherehekea krismasi hata kuitambua tu ila husherehekea mwaka mpya why?
Lakini waongoza kufanya biashara haram mfani za madawa ya kulevya ni waislamu bila kusahau wanaoongoza kwa kujilipua na kuwaua watu wengine ni waislamu..Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Nadhani ww kuna kitu huelewi
Mfano leo hii wewe hapo ukienda Vetican city vijana mabarobaro wanaweza wakakuchumbia na ukikubali wanakuowa kabisa lakini Vetican ndiyo kanisa kuu lilipo
Je unafahamu hii kitu
Je unafahamu pia kuna Uislamu na waislamu?Kuna ukristo na wakristo. Usikariri
Muumini wa dini ya kiislamu hawezi akasherekea siku Kama yaleo mwaka mpya wa kidini yatu ulisha pita
Ukiona muislamu anasherekea siku Kama ya leo ni uamuzi wake binafsi kwenye Qur'an na hadith swahihi za mtume hakuna sehemu inayotueleza tusherekee siku hii
Hahahaaa eti diversity tunayoitengeneza inakuumiza wewe na unashindwa kuumia na hao watumishi wa mungu unaosema wanaolewa ingawa ni wanaumeAbdooool.
Mapadri ni watumishi wa Mungu Asas sio mtumishi wa Mungu ni muumini hivyo ni watu mia tofauti.
.
Asas ni muislamu na anayo hiyo itikadi ndio maana kwenye page za kampuni yake hawezi kutuma Merry Christmas.
Hatukatai account ni yake.
Yeye nimemtoa kama mfano kuonyesha diversity mnayoitengeneza don't wish Christians merry xmas but wish em happy new year why?
Basi
Vizuri.