Tangu mwanzo, wanasema hakufa wala hakufufuka. Tena wanasema Yesu sio Mungu wakati ushahidi upo mwingiKwani lini walimkataa?
Wewe ni mpumbavu,toka lini uislamu ulimkataa Yesu? Waliomkataa Yesu ni Wayahudi,Hehee😅 mioto ya duniani sio mibaya, mkuu. Moto🔥 mbaya ni ule wa milele, usiozimika! Tuukwepe moto huo kwa kujitenga na hasira, chuki, ugomvi na matusi😊
Wewe tafuta tiba Mirembe kabla hujaanza kutembea bila nguo barabarani,Mlokole pori wewe.Mtafute Yesu kabla hujatupwa kwenye fire isiyozimika🔥🔥🔥
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.Wewe ni mpumbavu,toka lini uislamu ulimkataa Yesu? Waliomkataa Yesu ni Wayahudi,
Achana na huyo mgonjwa wa akili,Kwani lini walimkataa?
Huna akili wewe.Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa. Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo: Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...www.jamiiforums.com
Utasubiri sana. Mimi najiandaa kunyakuliwa na Yesu, soon na kwenda kwenye arusi kubwa ya kifahari. Kama hukupata mwaliko wa arusi, huu hapa.Wewe tafuta tiba Mirembe kabla hujaanza kutembea bila nguo barabarani,Mlokole pori wewe.
Everyone is IntelligentHuna akili wewe.
Wewe Pimbi nimekuuliza ni nchi gani hizo ukibadili dini unahukumiwa kifo? Jibu lako lije na reliable source,Utasubiri sana. Mimi najiandaa kunyakuliwa na Yesu, soon na kwenda kwenye arusi kubwa ya kifahari. Kama hukupata mwaliko wa arusi, huu hapa.
MWALIKO: Karibuni wote kwenye harusi kubwa na ya kifahari kuliko zote!
Ndugu wapendwa wote wa JF, Ninayo furaha tele kuwaalika kwenye sherehe ya harusi itakayokuwa kubwa sana kuliko zote zilizowahi kufanyika duniani! Ni wedding banquet la nguvu. Mnaopenda nyama choma, pilau, kuku, chips mayai, uyoga, karanga, kisamvu, mlenda, juice - mtakunywa na kula vyakula...www.jamiiforums.com
Nimekupa ushauri ukapate tiba ili usiambukize wengine huo ukichaa wako,Sasa wewe mwenye akili mbona unajibizana na asiye na akili?