Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Umesema una akili lakini ajabu unasubiri kichaa akujibu swali lako. Google utajua ni nchi gani hizo
Wewe punguani huna jibu la swali langu,acha kujaza server za JF kwa mavitu ya kuokota,

Unapoleta habari JF lazima utaombwa reliable source.
 
Wewe punguani huna jibu la swali langu,acha kujaza server za JF kwa mavitu ya kuokota,

Unapoleta habari JF lazima utaombwa reliable source.
Mwenzetu unaishi stone age? Bado unafikiria servers kujaa? Siku hizi kuna mpaka cloud servers.
Reliable sources nimekupa tena kwa rangi ya kijani
 
Ah, but of course you would say that. The sacred text anticipated such a response long ago: ‘For the message of the cross is foolishness to those who are perishing, but to us who are being saved, it is the power of God’ (1 Corinthians 1:18). What you dismiss as ‘rubbish’ is, in truth, the eternal fulcrum upon which all of human destiny pivots. To the unregenerate mind, it seems madness; but to those awakened by grace, it is the blazing path from wrath to redemption. One day, every scoff will be silenced, not by argument, but by the unveiled majesty of the Crucified King.
 
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
Basi kwenye ndoto zao watakuwa wanamuona Isa na sio yesu au wewe unasemaje mama mchungaji
 
Shetani anaweza kutumia Trick mbalimbali kama vile ndoto za kujifanya mtakatifu , ili kudanganya watu.

Huwezi kudanganya muislamu wa kweli kwa ndoto au miujiza, maana wanajua kuwa hivyo vitu wakati mwingine ni mkono wa shetani!.
 
Kamwe, shetani hawezi kukuletea ndoto inayokukataza kufanya dhambi na kukuambia uwe Mkristo na uishi maisha matakatifu.
 
Back
Top Bottom