Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone

Bwana Yesu asifiwe!?

Hao watu Wanajuaje kama huyo waliomuona ndotoni ni Yesu, kwani walishawahi kumuona Yesu kabla, wamerejelea wapi hadi wakatambua huyu waliemuona ndotoni ni Yesu?
 
Nimekupa ushauri ukapate tiba ili usiambukize wengine huo ukichaa wako,
Vichaa lazima tuwadhibiti wasije wakaleta madhara kwa wenye akili.
Una shida gan mjomba mbona unasumbua watu

Mwenzio kaleta taarifa badala upinge hoja wewe unamshambulia mleta maada

Inaonesha ni jinsi gani huna akili
 
Wewe Missile of the Nation shetani ni mwisilam alisimu dini na alisimulishwa na mtume wako Muhammad

Na shetani hawezi hata siku moja kukushaul uwe mkristo
 
Una shida gan mjomba mbona unasumbua watu

Mwenzio kaleta taarifa badala upinge hoja wewe unamshambulia mleta maada

Inaonesha ni jinsi gani huna akili
Wewe ***** tulia,hujui hata uzi unahusu nini,
Punguza shobo pimbi wewe.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Kwani ka kijeba ka Faizafoxy kanasemaje?
 
Back
Top Bottom