Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Maada ndio nini? Rudi Shule,mnakimbilia tu kuolewa bila kumaliza Shule,na haya ndio madhara yake
***** wa kiislamu

Huko madrassa saivi ndo mnafundisha mpaka kuolewa?

Au mtoto wa kiume kuolewa nayo sunah??!!
 
Wewe ***** leo usipomswalia mtume labda sio mimi naapa

Hutukan ukristo? Pumbavu shoga mkubwa wewe huu uzi unahusu nini? Umesikia tu waislam wanasilim tiar kimkund kimekusha
Kajifundishe kuandika kwanza,wala hueleweki unaandika nini.
 
Attachments

  • Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    286.7 KB · Views: 17
Uislamu haumpingi Yesu na Mtume Muhammad (s.a.w) alisema:
"Naapa kwa yule ambaye nafsi yangu iko mikononi mwake atateremka juu yenu mwana wa Maryam kama hakimu wa haki...".
(Sahih Bukhari & Muslim)

Kwa hivyo kurudi kwa Nabii Isa(Yesu) (a.s) ni miongoni mwa alama kubwa za (Kiyama)"siku ya mwisho" na ni imani ya msingi katika itikadi ya Uislamu .
Yesu sio Nabii Isa, subiri uone tofauti kati ya Yesu na Nabii Isa:
Angalia tofauti hizi kati ya Yesu wa Biblia na Nabii Isa wa Qur’an:
  1. Asili na Uungu
    Katika Biblia, Yesu anaelezwa kuwa ni Mwana wa Mungu, aliye wa milele, ambaye alikuwepo kabla ya kuumbwa kwa dunia. Yeye ni Neno lililofanyika mwili (Yohana 1:1, 14).
    Katika Qur’an, Nabii Isa ni mwanadamu wa kipekee aliyeumbwa kwa amri ya Allah, lakini si Mungu wala Mwana wa Mungu. Qur’an inakataa vikali wazo la uungu wa Isa (Surah Al-Ma’idah 5:72).
  2. Kuzaliwa
    Biblia na Qur’an zote zinakubaliana kuwa Yesu/Isa alizaliwa kwa njia ya bikira Mariamu kwa muujiza, bila mchango wa mwanamume.
    Tofauti ni kwamba Biblia inaeleza kuwa kuzaliwa huku kulitimiza unabii kuhusu kuja kwa Mkombozi, Mwana wa Mungu. Qur’an inasema kuzaliwa kwake ni mfano wa muujiza kama ule wa Adamu, ambaye pia hakuwa na baba (Surah Al-Imran 3:59).
  3. Ujumbe na Huduma
    Biblia inaeleza kuwa Yesu alikuja kuhubiri toba, kutoa uzima wa milele, na kuokoa wanadamu kutoka dhambini kupitia kifo chake msalabani (Mathayo 1:21, Yohana 3:16).
    Katika Qur’an, Isa ni Nabii tu aliyeletwa kwa Wanaisraeli, kuhubiri ujumbe wa Allah na kuthibitisha Torati iliyokuwa kabla yake (Surah Al-Saff 61:6).
  4. Kusulubiwa na Kifo
    Biblia inasisitiza kuwa Yesu alisulubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka siku ya tatu kama njia ya ukombozi wa wanadamu (1 Wakorintho 15:3-4).
    Qur’an inakana kabisa kuwa Isa alisulubiwa au kuuawa. Inasema walidhani wamemwua, lakini hakuwa yeye; Allah alimwinua kwake (Surah An-Nisa 4:157-158).
  5. Ufufuo na Kupaa
    Biblia inasema Yesu alifufuka kutoka kwa wafu na kupaa mbinguni akiwa hai mbele ya wanafunzi wake, na atarudi tena kuhukumu ulimwengu (Matendo 1:9-11).
    Qur’an pia inasema Isa alipaa mbinguni, lakini haizungumzii ufufuo wa kutoka kwa wafu, bali inaeleza kuwa atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama kumshuhudia Muhammad na kuvunja misingi ya uongo juu yake.
  6. Ukristo vs Uislamu kuhusu wokovu
    Biblia inaeleza kuwa wokovu unapatikana kwa neema kwa njia ya imani katika Yesu Kristo, Mwana wa Mungu na Mwokozi (Waefeso 2:8-9).
    Katika Qur’an, wokovu unapatikana kwa matendo mema, utiifu kwa Allah, na kufuata mafundisho ya Mitume wote, akiwemo Isa kama Nabii.
  7. Utambulisho wa Mwisho wa Nyakati
    Yesu wa Biblia atakuja tena kuhukumu ulimwengu kwa haki, na atawachukua wamwaminio na kuwapeleka kwa Baba wa milele.
    Isa wa Qur’an atarudi kuvunja msalaba, kuua Dajjal (mpinga-Kristo), na kuthibitisha Uislamu kama dini ya kweli kabla ya kufa kwa kawaida.
Umeona ndugu yangu? Yesu sio Isa hata kama unaandika na kuweka mabano[ ].
Yesu wa Biblia anapingwa waziwazi na Uislamu.
 
Lakini sisi tumeisikia injili ila tumeona haina jipya ni porojo tu
Sawa, time will tell.
Wakati wa Nuhu watu waliona mahubiri ya Nuhu ni porojo, wakaujua ukweli too late, wakati maji ya gharika yamewafika shingoni.
 
Wewe ni mpumbavu,toka lini uislamu ulimkataa Yesu? Waliomkataa Yesu ni Wayahudi,

Yesu na Mama yake wanatambulika kwenye Uislamu,

Hizo nchi ambazo ukibadili dini unahukumiwa kifo unaweza kuzitaja hapa na kuweka hiyo sheria kutoka kwenye reliable source?

Wahi tiba Mirembe usije kuanza kula majalalani.
Ukiwa na baba mzazi halafu wewe ukasema unamchukulia kama watu wengine na sio kama baba mzazi hapo ni sawa na umemkataa.

Yesu ni zaidi ya nabii, ni Mwana wa Mungu na ni Mungu. Ukikataa haya ni sawa na umemkataa Yesu
 
Yesu mwenyewe anasemaje kuhusu Mungu ili tuondoshe utata
Marko 12:29
“Sikiliza Ee Israeli Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja".

Je Yesu ni mjumbe au Mungu
Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”.

Kwa andiko 👆🏽madai ya Yesu ni Mungu unapingana na andiko hilo ?

Mungu ana mamlaka kuliko Yesu
Yohana 14:28
“Baba ni mkuu kuliko mimi".

Kwa andiko hilo👆🏽 Yesu yupo chini ya mamlaka ya Mungu

Na hapa andiko linaonyesha Yesu akimuomba Mungu
Mathayo 26:39
“...akaanguka kifudifudi, akaomba akasema Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke...”.

Na hapa Yesu hakujua saa ya mwisho akiashiria kunyenyekea kwa Mungu
Marko 13:32
“Lakini kuhusu siku hiyo au saa hiyo hakuna ajuaye... wala Mwana ila Baba peke yake".
Maandiko hayo huwezi kuyaelewa bila kujua maana ya Utatu Mtakatifu. Soma uzi huu utaelewa vizuri Utatu Mtakatifu ni nini na ukweli kuwa Yesu ni Mungu
 
Hayo yote mimi siyajui kwa kweli, ila ninachojua ni kuwa nae ni mmoja wa Mitume anaeheshimika kama mitume wengine.
Kila mmoja anajua anachoamini kwa kweli
Nakuelewa, na ni kweli kila mtu ana uhuru wa kuamini. Lakini kwetu sisi Wakristo, Yesu sio mtume tu – Yeye ni Mwana wa Mungu, aliyefanyika mwili ili atuokoe. Alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka, jambo ambalo halisemwi juu ya mtume yeyote yule. Hilo ndilo linatufanya tuamini kwamba Yesu ni wa kipekee, ni Mungu kabisa, hivyo hawezi kulinganishwa na mitume wengine.
 
Kwani wakati anakufa wewe ulikuwa una dhambi
 
Na hapa utasema Uislamu umekosea kuwa Yesu siyo Mungu
Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma".
Umenukuu vizuri Yohana 17:3, lakini kumbuka Yesu hajasema hapo kwamba Yeye sio Mungu. Hapo alikuwa akimwomba Baba na kuonyesha uhusiano wao wa kipekee. Kabla ya hapo katika Yohana 10:30 alisema wazi: ‘Mimi na Baba tu umoja’.

Biblia inafundisha kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, aliye katika Umoja na Baba, sio mwanadamu au mtume wa kawaida. Soma uzi huu upate ujuzi zaidi kuhusu Utatu
 
Usipoteze time yako bure kwa huyo mtu,
Hawa lengo lao hua nikukashifu Uislamu,usijiongopee nafsi yako eti utamfahamisha na atakubaliana na wewe au kukuelewa,

Lengo lao kuu hua sio kutaka kujua bali ni kukashifu.
Hoja hujibiwa kwa hoja. Ni wapi nimekashifu dini yako ndugu yangu? Ningekuwa nimekashifu naamini uzi huu ungeishafutwa zamani.
 
Yesu sio Nabii Isa, subiri uone tofauti kati ya Yesu na Nabii Isa:
Angalia tofauti hizi kati ya Yesu wa Biblia na Nabii Isa wa Qur’an:
  1. Asili na Uungu
    Katika Biblia, Yesu anaelezwa kuwa ni Mwana wa Mungu, aliye wa milele, ambaye alikuwepo kabla ya kuumbwa kwa dunia. Yeye ni Neno lililofanyika mwili (Yohana 1:1, 14).
    Katika Qur’an, Nabii Isa ni mwanadamu wa kipekee aliyeumbwa kwa amri ya Allah, lakini si Mungu wala Mwana wa Mungu. Qur’an inakataa vikali wazo la uungu wa Isa (Surah Al-Ma’idah 5:72).
  2. Kuzaliwa
    Biblia na Qur’an zote zinakubaliana kuwa Yesu/Isa alizaliwa kwa njia ya bikira Mariamu kwa muujiza, bila mchango wa mwanamume.
    Tofauti ni kwamba Biblia inaeleza kuwa kuzaliwa huku kulitimiza unabii kuhusu kuja kwa Mkombozi, Mwana wa Mungu. Qur’an inasema kuzaliwa kwake ni mfano wa muujiza kama ule wa Adamu, ambaye pia hakuwa na baba (Surah Al-Imran 3:59).
  3. Ujumbe na Huduma
    Biblia inaeleza kuwa Yesu alikuja kuhubiri toba, kutoa uzima wa milele, na kuokoa wanadamu kutoka dhambini kupitia kifo chake msalabani (Mathayo 1:21, Yohana 3:16).
    Katika Qur’an, Isa ni Nabii tu aliyeletwa kwa Wanaisraeli, kuhubiri ujumbe wa Allah na kuthibitisha Torati iliyokuwa kabla yake (Surah Al-Saff 61:6).
  4. Kusulubiwa na Kifo
    Biblia inasisitiza kuwa Yesu alisulubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka siku ya tatu kama njia ya ukombozi wa wanadamu (1 Wakorintho 15:3-4).
    Qur’an inakana kabisa kuwa Isa alisulubiwa au kuuawa. Inasema walidhani wamemwua, lakini hakuwa yeye; Allah alimwinua kwake (Surah An-Nisa 4:157-158).
  5. Ufufuo na Kupaa
    Biblia inasema Yesu alifufuka kutoka kwa wafu na kupaa mbinguni akiwa hai mbele ya wanafunzi wake, na atarudi tena kuhukumu ulimwengu (Matendo 1:9-11).
    Qur’an pia inasema Isa alipaa mbinguni, lakini haizungumzii ufufuo wa kutoka kwa wafu, bali inaeleza kuwa atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama kumshuhudia Muhammad na kuvunja misingi ya uongo juu yake.
  6. Ukristo vs Uislamu kuhusu wokovu
    Biblia inaeleza kuwa wokovu unapatikana kwa neema kwa njia ya imani katika Yesu Kristo, Mwana wa Mungu na Mwokozi (Waefeso 2:8-9).
    Katika Qur’an, wokovu unapatikana kwa matendo mema, utiifu kwa Allah, na kufuata mafundisho ya Mitume wote, akiwemo Isa kama Nabii.
  7. Utambulisho wa Mwisho wa Nyakati
    Yesu wa Biblia atakuja tena kuhukumu ulimwengu kwa haki, na atawachukua wamwaminio na kuwapeleka kwa Baba wa milele.
    Isa wa Qur’an atarudi kuvunja msalaba, kuua Dajjal (mpinga-Kristo), na kuthibitisha Uislamu kama dini ya kweli kabla ya kufa kwa kawaida.
Umeona ndugu yangu? Yesu sio Isa hata kama unaandika na kuweka mabano[ ].
Yesu wa Biblia anapingwa waziwazi na Uislamu.
Kwanza kinacho kusumbua ni lugha Labda ya kuitwa Issa mwana wa Mariyamu hata nyinyi mmembadilsha kwa kumuita majina ya lugha zakigeni kabisa

Sasa hili andiko linaeleza kufanana kwa uumbaji wa Nabii Isa (Yesu) na Nabii Adam (a.s)
Qur’an 3:59

"Hakika mfano wa Isa mbele ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia Kuwa! akawa"

andiko hili linamludisha mtu kwenye ufahamu au akili yake inakuwaje Adamu asiye zaliwa asiwe mtoto wa Mungu alafu Yesu ndiyo awe mtoto wa Mungu au Mungu ambae amezaliwa na binadamu.
 
Back
Top Bottom