Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanza kinacho kusumbua ni lugha Labda ya kuitwa Issa mwana wa Mariyamu hata nyinyi mmembadilsha kwa kumuita majina ya lugha zakigeni kabisa

Sasa hili andiko linaeleza kufanana kwa uumbaji wa Nabii Isa (Yesu) na Nabii Adam (a.s)
Qur’an 3:59

"Hakika mfano wa Isa mbele ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia Kuwa! akawa"

andiko hili linamludisha mtu kwenye ufahamu au akili yake inakuwaje Adamu asiye zaliwa asiwe mtoto wa Mungu alafu Yesu ndiyo awe mtoto wa Mungu au Mungu ambae amezaliwa na binadamu.
Sio lugha inayonisumbua. Nimekuelezea vizuri Yesu wa Biblia jinsi alivyo. Adam aliumbwa kutoka mavumbini, lakini Yesu alikuwepo kabla ya kuzaliwa kwake duniani (Yohana 1:1-14). Tofauti ni kwamba Adam aliumbwa, lakini Yesu ni Neno la Mungu aliyekuwepo tangu mwanzo, na kwa njia yake vitu vyote viliumbwa. Ndiyo maana Biblia inamwita Mwana wa Mungu, si kwa maana ya kuzaliwa kimwili, bali uhusiano wa kiungu wa milele. Usimlinganishe na Adam, kamwe.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Punguza upimbi tumia muda wako kuandika makala yenye faida kwako na wasomaji.
Ama juha siku zote atapoteza muda wake kwa vitu vya kijinga.
 
Hakuna kitu kinachomfurahisha mungu wa Jehovah kama kobazi mmoja akiziacha njia za Allah na kuzifuata njia za Jehovah
 
Duniani kuna aina nyingi ya matatizo ya Akili , kupenda dini sana ni tatizo lingine la akili ambalo limezaa vichaa wengi mtaani, sadly hawajijui kuwa ni vichaa.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone

View: https://www.youtube.com/watch?v=JvZlmsgsvPo
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Ni wapi nimekashifu dini yako ndugu yangu? Ningekuwa nimekashifu naamini uzi huu ungeishafutwa zamani.
Hakuna hoja yeyote uliyoileta hapa zaidi ya fantasies zako tu,ndio maana umeshindwa kujibu maswali yangu,

Claim yeyote ile inatakiwa iwe na vivid evidence from reliable source,
Umedai waislamu wa mashariki ya kati wanaota ndoto za Yesu,nimekuuliza source,umebaki unajiuma uma tu,

Ni watu wangapi walioota hizo ndoto? ni watu wa kutoka nchi gani? unayo source ya haya madai?
nchi gani ambayo ukibadili dini unauawa?

Unaleta hapa fantasies zako tu bila ushahidi wowote,

Nikushauri tu,endelea kuongelea ulokole wako,acha kuingilia imani za wengine,
Kwani huwezi kuongelea ulokole wako bila kuingilia imani za wengine?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Ni wapi nimekashifu dini yako ndugu yangu? Ningekuwa nimekashifu naamini uzi huu ungeishafutwa zamani.
Ukiona mtu ana lalamika sana kuhusu kukashifiwa kwa Dini yake, ni kwamba hawaijui Dini yao...wanao ijua kamwe huwezi kusikia upuuzi km uwo...wanoijua watakuombea kusudi uijue au uwe mfuasi wao, hawatapiga makelele ya hovyo.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Mtoto mzuri wewe ulitakiwa utulie uachane na haya mambo mana hakuna mahubiri ya mwanamke yakaingia akilini Kwa mwanaume.

Sasa Sisi wanaume tunasema huna kosa kuandika nyuzi zako za huyo mchizi wako Yesu

Hapa Kuna sababu mbili naziona kwako.

Ulisalitiwa na mapenzi
kuna maradhi yanakusumbua Muda mrefu na umekosa Tiba Yake.

Hivyo basi faraja yako ni kuandika nyuzi Za huyu jamaa wa kufikirika kwenye vitabu.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Sawa wakimuona Yesu kuna kosa lipi Yesu ni Mtume hata.mimi nilisha kuota Nabii Ibrahim kwa hio nifate dini ya Ibrahim sa dini ya Ibrahim ni dini ipi hebu nipeni dini yake hahaha
 
Mimi na wachallenge Wakristo wote duniani wanionyeshe wapi Yesu alisema fateni ukristo mtaokoko. Hamuwezi kunijibu hata mjikusanye Wakristo wote duniani hamjibu hili swali. Ukristo si kauleta yule mkosa nyumba alishia kuota yuko chini ya mkunazi hata ukristo ni dini ya ndoto tu 😄
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Wakati mwingine upwiru unapozidi Kwa wanadamu inakuwa ni shida sana, unaweza kufanya jambo ambalo ukija kutafakari hadi unashangaa. Yesu siyo Mungu, Wala siyo mwana wa Mungu, yeye ni mjukbe tu wa mwenyezi Mungu, na ktk uislamu anaitwa Issa bin Maryam, Hana baba, alizaliwa Kwa uwezo wa mwenyezi Mungu Kwa maamuzi yake. Kusema kafa msalabani, mara ooh yesu ni Mungu, ni kufuru kubwa. Ficha ujinga wako
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Utajuaje ni yesu hali ya kua hakuna anayejua sura yake?
Ebu tuekee picha ya yesu tumuone
 
We ivi ni unafanya kusudi au vip
Hata kma ukristo ila tumia akili acha utoto.
Hakuna mtu asie jua kua huyo yesu ndio waislam humuita ISSA
Labda ukitaka Uzi uwe mrefu Kwa ubishan wa kitoto
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Amevaa mavazi meupe, Ivi kwani Yesu ni Mtu?
 
Hakuna kitu kinachomfurahisha mungu wa Jehovah kama kobazi mmoja akiziacha njia za Allah na kuzifuata njia za Jehovah
Kobaaz wangejua wangetubu sasa na kumuamini Mungu Jehovah maana very soon anakuja shetan mwenyewe kuwatawala akimtumia huyo wenyewe wanamuita mahdi aisee atawafanyia unyama ambao haujawahi tokea duniani iwepo na pindi kobaaz hawa wanapokufa wanaenda jehanam
 
Maandiko hayo huwezi kuyaelewa bila kujua maana ya Utatu Mtakatifu. Soma uzi huu utaelewa vizuri Utatu Mtakatifu ni nini na ukweli kuwa Yesu ni Mungu
Ulivyo dai hapo maswali yanakuja mengi je Mungu anakufa je Mungu anazaliwa Embu soma haya halafu unipe jibu

Yohana 5:37 "Naye Baba aliyenituma amenishuhudia Hamjawahi kusikia sauti yake wala kuuona umbo lake". hapo madai ya Yesu ni Mungu yamekufa na Yesu anadai ametumwa na nani jibu hiliapa

Yohana 5:37 "Naye Baba aliyenituma amenishuhudia Hamjawahi kusikia sauti yake wala kuuona umbo lake".

1 Yohana 4:12 "Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote tukipendana Mungu hukaa ndani yetu na upendo wake umekamilika ndani yetu".

Kwahiyo ukidai Yesu ni Mungu unamaanisha Mungu simmoja ni 3 na nikakupa maandiko kuwa Yesu ametumwa yaani ni Mtume au Mjumbe wa Mungu

Mungu akuongoze 🙏🏽🙏🏽.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Ni siasa Kali tu kwa Waislam, kukataa uungu wa Yesu. Yesu ametajwa, katika Quran zaidi ya mara 108, wakati Mohamed ametajwa mara 4 tu. Yesu anaponya, wakati, Mohamed, hakuweza. Yesu alifufuka,, Mohamed yuko kaburini. Yesu ndiyo alama ya kiama, Mohamed hajui mwisho wake.
 
Punguza upimbi tumia muda wako kuandika makala yenye faida kwako na wasomaji.
Ama juha siku zote atapoteza muda wake kwa vitu vya kijinga.
WATUKANAJI HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi." (1Kor 6:9-11)
 
Back
Top Bottom