subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 753
- 624
Yesu hakujua saa ya Mwisho? una wazimu? Yesu alisema ni kazi ya baba yake kuamua tu ila anajua na akatuambia dalili zake zote. ikiwemo vita kuu za kujimaliza sisi wenyewe nadhani jinsi tunavyoiharibu dunia kwa viwanda vyetu na ma nuke war probably. so Yesu anajua siku ila ku anounce ni kazi ya Baba ila tambua alisema baba yangu yupo ndani mwake anaishi na yeye yupo ndani ya baba yake so ushaelewa? and Quran inasema msiwe na shaka kamwe Yesu anajua saa ya Kiama
Baba ni kuamua Dalili zote Yesu keshatufahamisha
Kasome Quran 43:61 Na kwa hakika Yesu ndie ajuae Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
English - Sahih International
43:61 And indeed, Jesus will be knowledge of the Hour, so be not in doubt of it, and follow Me. This is a straight path.
Adiosamigo njoo usome tena Njia iliyonyooka ya Yesu na msiwe na Shaka juu yake mfuateni
Waislamu tuna amini kurudi kwa Yesu (ISA)ni katika alama kubwa za kiyama(siku ya Mwisho) na atakuja kupambana na (Masih dajjal)Masihi wa Uwongo.
Hakuna nabii yeyote anayeijuwa hiyo siku maana hiyo nielimu ya Mungu pekeyake.