Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kajifundishe kuandika kwanza,hueleweki,akili yako imejaa kinyesi ndio maana huelewi? au yale mafuta,chumvi na maji unayouziwa yamekudhuru?

Yohana:5:37

Naye Baba aliyenituma hunishuhudia,ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake,wala kuona uso wake,

Hivi Mungu anaweza kutumwa?

Ukienda tena kuuziwa mafuta ili uwe tajiri kimiujiza bila kufanya kazi,kaulize hilo swali.
Weshashindwa hoja wewe muabudu wa shetani. Nenda kakariri Quran huko
 
Kumbe mnawajua why hamuwakemei? haswa huyu Adiosamigo japo Quran hailazimishi mtu kufuata cha kushangaza akijitoa katika uislam mnamuua? Quran 39:41

Utofauti wa Quran ndio huu According to uislam kila kitu Allah ameshakipanga na kila kitakacotokea ukiiba,ukiua,ukizini, ukitukana,ukiandika,ukiswali usiposwali, watakao enda firdaus watakao enda motoni ni Allah tayari keshapanga sasa mkisema Allah anataka mseme maneno yaliyo bora ili iweje wakati yeye ndio anaweka maneno kila mtakayo ongea i hope imeeleweka sababu kuu ya kusema Inshallah.

Kama Allah hana Spirit and ana physical body parts its mean Allah is not alive ni statue tena la pale kaaba house of Allah and House of Sheitan pale Mecca zipo hizo haouse. according to Mohammad alimsilimisha Sheitan kuwa Muislam

Quran Chapter 4:171 Jesus ni Messenger, Ní Word (Kalam)of Allah and Spirit ya Allah iliyo ndani ya Mwili wa Yesu so Yesu alikula its directly Mungu anakula and tunaamini Mungu ni Almighty he can do anything he like ila Allah hana uwezo hata wa kuwa na Mtoto sa Allah sio Almighty

So mnavyosema Musa,Yesu walikuwa Waislam umefunga mjadala kuwa ni uongo hawakuwa waislam very Good boy

Muslim ukitaka kumkamata akiweka aya ya biblia soma ya nyua yake na mbele yake utaishia kumcheka tu hiyo aya inawafundisha waislam wajua kuwa Yesu alikuwepo kabla ya dunia kuumbwa soma hiyo

17 Yesu alipomaliza kusema maneno haya, alitazama mbinguni akasema, “Baba, wakati umefika. Dhihirisha utukufu wangu ili nami nikutukuze wewe, 2 kwa kuwa umenipa mamlaka juu ya watu wote, niwape uzima wa milele wale ambao umewakabidhi kwangu. 3 Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma. 4 Baba nime kutukuza hapa duniani kwa kutimiza kazi uliyonipa niifanye. 5 Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa. 6 Nimewafahamisha jina lako wale ambao umenipa kutoka katika ulimwengu. Wao wametii neno lako. 7 Sasa wamefahamu ya kuwa vyote ulivyonipa vinatoka kwako ; 8 kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma. 9 Siwaombei watu wote wa ulimwengu bali nawaombea hawa ulionipa kwa sababu wao ni wako. 10 Wote ulionipa ni wako, na walio wako ni wangu; nao wanadhihirisha utukufu wangu. 11 Mimi naondoka ulimwenguni ninakuja kwako. Lakini wao wako ulimwenguni. Baba Mtakatifu, walinde kwa jina lako ambalo umenipa ili wawe na umoja kama sisi tulivyo mmoja. 12 Nilipokuwa pamoja nao niliwalinda wakawa salama kwa uwezo wa jina ulilonipa. Nimewalinda na hakuna hata mmoja aliyepotea, isipokuwa yule aliyeamua kupotea, ili Maandiko yapate kutimia. 13 Lakini sasa nakuja kwako na ninasema haya wakati nikiwa ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu kikamil ifu. 14 Nimewapa neno lako na ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao, kama mimi, si wa ulimwengu huu. 15 Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde na yule mwovu shetani. 16 Kama mimi nisivyo mwenyeji wa ulimwengu huu, wao pia sio wa ulimwengu.

Allah haongozi mtu non muslim hana uwezo huo kabisa Chapter kibao zinakupinga aliyepotoshwa na Allah hakuna anayeweza kumuongoa hiyo Allah alijiapiza kabisa so unapingana tu na Allah japo Quran ni uongo kwani kuna wanaoingia uislam hata mtume wenu alipokuwa anagombana na waquraish alisema hatokuja abudu wanacho abudu na quraish hawtokuja abudu anacho abudu Mtume mwisho wa game wote waliabudu vyote mudy aliabudu miungu ya practice za waquraish kama Kaaba, Marwa and Safa,Hija,Kupiga mawe Shetan, Kuabudu mabinti wa Allah Al Uzza,Alat na Manat na Waquraish wakawa Waislam ngoma droo hadi leo Aya za Alla zilifail enzi hizo na enzi hizi

And Quran 35:8 Alah ni mpotoshaji anapoteza watu so ukiulizwa nani anapoteza watu jibu ni iblis
Quran7:178

And pia Allah alimuambia Mohammad hawezi kumuongoza mtu yeyote nyie sijui vipi mnamfuata Mudy
Mimi huwa situkani mtu unless awe hana adabu, au anatukana Uislam na Mtume wake. Tena washukuru wako mbali wangekuwa karibu na tandika kabisa bakora.

Mimi huwa sitafuti hizo complement sababu hazinisaidii kitu umekosea na kukosoa hapo hapo. Umetukana na kutukana sihitaji certificate ya nidhamu kutoka kwa kenge niko proud na tabia yangu
 
Wewe sio Muislam Muislam lazima aamini ujinga wote wa Quran na Hadithi lazima uwe mtumwa wa Allah. wewe ni fake one Jesus is still Alive in Heaven. na Quran ime confirm Torat na Injil Bible. Quran 5:46

Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu.​

Unachekesha Sana story ya Dajjal ndio inathibitisha kuwa Yesu ni Mungu according to Mohammad.
Wajinga wenzio wanamuita mpinga kristo hahaha sijui unajisikiaje kwa hilo. alafu akwepeki na dua za mudy hadi Yesu aje ndio atamuua tena sio kumpiga yaani harufu tu ya yesu basi Dajjal anyayuka kama chumvi inavyoyayuka na ndio kifo chake.

Grade: Sahih (Al-Albani)Sunan Abi Dawud 4320
The Prophet (ﷺ) said: I have told you so much about the Dajjal (Antichrist) that I am afraid you may not understand. The Antichrist is short, hen-toed, woolly-haired, one-eyed, an eye-sightless, and neither protruding nor deep-seated. If you are confused about him, know that your Lord is not one-eyed.

Abu Dawud said: 'Amr bin Al-Aswad was appointed a judge

Hii Hadithi Mohammad anapatwa na wasiwasi kuwa Waislam watadhania Allah ndie Dajjal kwani anafanana kila kitu kibonge tako tako, nywele za curry ila Mtume wenu anawasiwasi mtadhania ni Allah ila mtambue kuwa Allah hana Jicho chongo. Mtume wenu alikuwa kilaza anajisahau mafundisho yake kuwa Allah ni mkubwa kuliko mbingu na Dunia sasa Andunje chibonge Dajjal kuja na other Shape tofauti na ile ya kwanza je Allah ana shapu ngapi?

Dajjal ana power na miujiza kama ya Yesu. kufufua, kuponya, n.k maybe Dajjal ndie Allah and atauliwa na Yesu

Uislam ulikamilika Quran surat ya 5 sasa hayo ma aya mengine yana kazi gani au ndio uongo?

Kama huamini Jesus na Siku ya Kiama ndie ajuaye na Mtume wako pia humuamini? zile kodi zenu Jizyah dhidi yetu vipi nani atazifuta?

Abu Hurairah that the Prophet (ﷺ) said: "The Hour will not begin until 'Eisa bin Maryam comes down as a just judge and a just ruler. He will break the cross, kill the pigs and abolish the Jizyah, and wealth will become so abundant that no one will accept it." حَدَّثَنَا أَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بْنُ عُيَيْنَةَ، عَنِ الزُّهْرِيِّ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ الْمُسَيَّبِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، عَنِ النَّبِيِّ ـ صلى الله عليه وسلم ـ قَالَ ‏ "‏ لاَ تَقُومُ السَّاعَةُ حَتَّى يَنْزِلَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ حَكَمًا مُقْسِطًا وَإِمَامًا عَدْلاً فَيَكْسِرُ الصَّلِيبَ وَيَقْتُلُ الْخِنْزِيرَ وَيَضَعُ الْجِزْيَةَ وَيَفِيضُ الْمَالُ حَتَّى لاَ يَقْبَلَهُ أَحَدٌ ‏"‏ ‏.‏
Wewe mkristo fake bibilia zenu zinasema Yesu kafa kabeba dhambi zenu kumbe bado yuko hai 😆

Biblia zinathibitisha kifo cha Yesu. Injili za Agano Jipya (Mathayo, Marko, Luka, na Yohana) zote zinaelezea matukio ya kusulubiwa kwa Yesu..

Au atajifufua arudi tena.

Wewe wachana na Kanga za kanisa Dijal kwa Waislam wale wanao itwa Muumini wanamuona kabisa unless wawe makafiri kama wewe. Sisi ni dua tu hizo Story za Yesu kurudi kuwadangan'yeni wajinga sio mimi.

Yesu kisha kufa na bibilia zenu pia zinasema kafa lakini kwa kusulubiwa kama vile nyie hamkumuona Yesu kapaishwa juu mkadhani kafia msalabani. Ndio hivyo hivyo hamtamuona Dijal sisi tutamuona kandikwa kafiri. Fitna zake zitajibiwa kwa madua tu. Yesu mlisema atarudi mlizani kapaa kama njiwa afu atarudi sio.

Mimi namini Qur'an inavyo sema Yesu kisha kufa na atafufuliwa pamoja na sisi siku ya Kiyama story zingine endeleni kuimba tu.
 
Ndugu hakuna ulicho ongea hapo kwenye Qur'an kinathibitisha yuko hai kinacho thibitisha hakutundikwa msalabani wala hakuliwa pale alipandishwa mbinguni kuna Aya ya Qur'an inathibitisha time anapelekwa mbinguni aliambiwa lazima afe. Kuhusu Qur’an ulio quote 43:61 " Yeye kuonekana kwake ni siku ya Kiyama tu, hapo inathibitisha ataonekana siku ya kiyama hata wewe na mimi tutakuwepo hapo tunasomewa makosa yetu na mazuri yetu.

Hadithi nyingi utasikia kasema Mtume na nyingi zao si za kweli, hadithi isio kubaliana na Qur'an mara nyingi sana huwa si hadithi sahihi.

Unasema nini kuhusu Qur'an inasema nafasi ya Mtume Muhammad kama nabii wa mwisho haitabadilika. Surah Al-'Ahzab [33:40] ya Qur'an inasema kwamba yeye ni "Mtume wa Mwenyezi Mungu na wa mwisho wa Mitume" kulingana na Aya hii inathibitisha wazi kabisa hakutakuwa na nabii baada yake. Kwa hiyo, nafasi yake kama nabii wa mwisho ni Sheria ya msingi na isiyobadilika ya Uislamu.

Unadai Yesu atarudi kama mtu wa kawaida hivi Mungu anaweza mdhalilisha Mtume wake kumshusha cheo atoke kuwa Mtume awe mtu kama wengine hebu tumia logical hapo kidogo ndugu.

Ndungu unaweza pinga verse zote za Qur'an karibu 30 zinazo thibitisha Yesu kafa.
30 Verses of the Holy Quran which prove the Natural Death of Jesus Christ (as) 30 Verses of the Holy Quran which prove the Natural Death of Jesus Christ (as)
Screenshot_20250806-014718.png
Screenshot_20250806-014442.png

Angalia hizo Aya kwa neno hilo hilo 👆🏽
 
Kumbe mnawajua why hamuwakemei? haswa huyu Adiosamigo japo Quran hailazimishi mtu kufuata cha kushangaza akijitoa katika uislam mnamuua? Quran 39:41

Utofauti wa Quran ndio huu According to uislam kila kitu Allah ameshakipanga na kila kitakacotokea ukiiba,ukiua,ukizini, ukitukana,ukiandika,ukiswali usiposwali, watakao enda firdaus watakao enda motoni ni Allah tayari keshapanga sasa mkisema Allah anataka mseme maneno yaliyo bora ili iweje wakati yeye ndio anaweka maneno kila mtakayo ongea i hope imeeleweka sababu kuu ya kusema Inshallah.

Kama Allah hana Spirit and ana physical body parts its mean Allah is not alive ni statue tena la pale kaaba house of Allah and House of Sheitan pale Mecca zipo hizo haouse. according to Mohammad alimsilimisha Sheitan kuwa Muislam

Quran Chapter 4:171 Jesus ni Messenger, Ní Word (Kalam)of Allah and Spirit ya Allah iliyo ndani ya Mwili wa Yesu so Yesu alikula its directly Mungu anakula and tunaamini Mungu ni Almighty he can do anything he like ila Allah hana uwezo hata wa kuwa na Mtoto sa Allah sio Almighty

So mnavyosema Musa,Yesu walikuwa Waislam umefunga mjadala kuwa ni uongo hawakuwa waislam very Good boy

Muslim ukitaka kumkamata akiweka aya ya biblia soma ya nyua yake na mbele yake utaishia kumcheka tu hiyo aya inawafundisha waislam wajua kuwa Yesu alikuwepo kabla ya dunia kuumbwa soma hiyo

17 Yesu alipomaliza kusema maneno haya, alitazama mbinguni akasema, “Baba, wakati umefika. Dhihirisha utukufu wangu ili nami nikutukuze wewe, 2 kwa kuwa umenipa mamlaka juu ya watu wote, niwape uzima wa milele wale ambao umewakabidhi kwangu. 3 Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma. 4 Baba nime kutukuza hapa duniani kwa kutimiza kazi uliyonipa niifanye. 5 Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa. 6 Nimewafahamisha jina lako wale ambao umenipa kutoka katika ulimwengu. Wao wametii neno lako. 7 Sasa wamefahamu ya kuwa vyote ulivyonipa vinatoka kwako ; 8 kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma. 9 Siwaombei watu wote wa ulimwengu bali nawaombea hawa ulionipa kwa sababu wao ni wako. 10 Wote ulionipa ni wako, na walio wako ni wangu; nao wanadhihirisha utukufu wangu. 11 Mimi naondoka ulimwenguni ninakuja kwako. Lakini wao wako ulimwenguni. Baba Mtakatifu, walinde kwa jina lako ambalo umenipa ili wawe na umoja kama sisi tulivyo mmoja. 12 Nilipokuwa pamoja nao niliwalinda wakawa salama kwa uwezo wa jina ulilonipa. Nimewalinda na hakuna hata mmoja aliyepotea, isipokuwa yule aliyeamua kupotea, ili Maandiko yapate kutimia. 13 Lakini sasa nakuja kwako na ninasema haya wakati nikiwa ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu kikamil ifu. 14 Nimewapa neno lako na ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao, kama mimi, si wa ulimwengu huu. 15 Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde na yule mwovu shetani. 16 Kama mimi nisivyo mwenyeji wa ulimwengu huu, wao pia sio wa ulimwengu.

Allah haongozi mtu non muslim hana uwezo huo kabisa Chapter kibao zinakupinga aliyepotoshwa na Allah hakuna anayeweza kumuongoa hiyo Allah alijiapiza kabisa so unapingana tu na Allah japo Quran ni uongo kwani kuna wanaoingia uislam hata mtume wenu alipokuwa anagombana na waquraish alisema hatokuja abudu wanacho abudu na quraish hawtokuja abudu anacho abudu Mtume mwisho wa game wote waliabudu vyote mudy aliabudu miungu ya practice za waquraish kama Kaaba, Marwa and Safa,Hija,Kupiga mawe Shetan, Kuabudu mabinti wa Allah Al Uzza,Alat na Manat na Waquraish wakawa Waislam ngoma droo hadi leo Aya za Alla zilifail enzi hizo na enzi hizi

And Quran 35:8 Alah ni mpotoshaji anapoteza watu so ukiulizwa nani anapoteza watu jibu ni iblis
Quran7:178

And pia Allah alimuambia Mohammad hawezi kumuongoza mtu yeyote nyie sijui vipi mnamfuata Mudy
Hivi hizi Injili ambazo zinatokana na kipindi cha awali cha Ukristo kabla na wakati wa kuimarika kwa imani ya Utatu mbona hamzitumii “Injili apokrifa” au "Injili zilizofichwa" na baadhi yao zilitumika na Wakristo wa awali waliokuwa hawakubaliani na mafundisho ya baadaye ya Utatu au uungu wa Yesu.

Injili hizi
1. "Injili ya Tomaso" (Gospel of Thomas)
Haielezei kusulubiwa wala ufufuo.
Inahusisha maneno ya Yesu kama mwalimu wa hekima si Mungu.

2. "Injili ya Barnaba"
Yesu anatajwa kuwa mtume tu, si Mwana wa Mungu.
Inapinga kusulubiwa kwake, sawa na Qur’an.

3. "Injili ya Ebionites"
Ilikuwa ya Wakristo wa Kiyahudi waliomkataa Paulo na imani ya Utatu.

4. "Injili ya Wamisri" (Egyptians Gospel)
Ilitumika na wafuasi wa mapokeo ya kiroho waliopinga mafundisho ya uungu wa Yesu. Baraza la Nicaea (325 BK) lilikuwa hatua ya kihistoria ambapo uelewa wa Utatu na uungu wa Yesu ulihalalishwa rasmi.
Baada ya hapo makanisa ya serikali yalipokea tu maandiko yaliyoendana na imani hiyo.
Injili zisizoendana zilikataliwa, kufichwa au kuharamishwa.

Hivyo, Injili nyingi zisizotambuliwa rasmi leo zinatoka kipindi cha kabla ya kukubalika rasmi kwa imani ya Utatu. Watafiti wa kisasa kama "Bart Ehrman". "Elaine Pagels" na "James D. Tabor" wamelifanyia kazi jambo hili kwa kina.

5. "Injili ya Filipo" (Gospel of Philip)
Ina maelezo ya Yesu kama mtu wa kiroho zaidi, si Mungu.
 
View attachment 3433879View attachment 3433889
Angalia hizo Aya kwa neno hilo hilo 👆🏽
Ndugu kuna tofauti kati ya kifo cha kawaida na kifo cha kulala takupa point hizi hapa.

Mwenyezi Mungu alisema, Ewe Isa, nitakufisha [kifo cha kawaida] na nitakunyanyua Kwangu, na nitakuondolea mashtaka ya walio kufuru. Sura Ali Imran (3:55)

Qur'an 39:42: ni Aya muhimu inayo elezea tofauti kati ya usingizi na kifo, ikisema kwamba Mungu huchukua roho wakati wa kifo na pia wakati wa usingizi.
Aya inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu huzihifadhi nafsi za wale walioandikiwa kufa na huzitoa roho za wale ambao wataendelea kuishi kwa muda maalumu, ambao ni muda wa kulala kwao.
Dhana hii inaungwa mkono zaidi na imani ya Kiislamu kwamba usingizi ni wakati ambapo nafsi inatenganishwa kwa muda na mwili, na mwili kubakishwa hai kwa mapenzi ya Mungu.
Kwa hiyo, usingizi hauonekani kuwa kifo cha asili chenyewe, bali ni hali ya muda ya kutenganisha nafsi na mwili, huku kifo kikiwa ni utengano wa kudumu.

Qur'an inasema Yesu kafa kifo cha kawaida we unatuambia kifo cha usingizi. tafsiri ya neno la Kiarabu ‘Mutawaffika’ katika 3:55 ni kifo cha asili sio cha usingizi ni kifo si cha asili ni cha mda.
 
Mtafute Yesu kabla hujatupwa kwenye fire isiyozimika🔥
Mimi ni Muislam siamini Yesu atarudi sababu Qur'an inasema alisha kufa kama Mitume wengine.

Navyo elewa mimi Masih Dijal Mtume alisha tuambia namna ya kujikinga nae kwa dua.

Ukisema Yesu atarudi unaipinga Qur'an sababu Qur'an inasema kisha kufa kama wengine.

Na Muislam yoyote anatakiwa afahamu hawezi kuja mtu wa aina yoyote ile bada ya Mtume Muhammad kuja kugombania Uislam. Uislam ulisha kamilika wakati wa Mtume Muhammad.

Pia ndugu usisahau hakuna dalili kwenye Qur'an inayo sema Yesu atarudi duniani, kama ipo leta.
Quran gani ulisoma
 
Quran gani ulisoma
dogo wewe uijue Qur'an kuliko mimi nadhani labda una ota, unapo niambia nasoma Qur'an gani kwanza jifunze adabu kuna Qur'an ni moja tu labda wewe mwenzetu una Qur'an tofauti na ninayo soma mimi, na hapo inaonyesha wazi wewe ni mjinga hujui lolote kuhusu Qur'an. Mimi nakupa hizo verse 30 zinathibitisha Yesu kafa. We nipe Aya moja tu inayo sema Yesu atarudi duniani kama unayo leta, na uhakika huna utaishia kuleta hadithi fake tu, ambazo hazikubaliani na Qur'an.

30 Verses of the Holy Quran which prove the Natural Death of Jesus Christ (as) 30 Verses of the Holy Quran which prove the Natural Death of Jesus Christ (as)
 
Hivi hizi Injili ambazo zinatokana na kipindi cha awali cha Ukristo kabla na wakati wa kuimarika kwa imani ya Utatu mbona hamzitumii “Injili apokrifa” au "Injili zilizofichwa" na baadhi yao zilitumika na Wakristo wa awali waliokuwa hawakubaliani na mafundisho ya baadaye ya Utatu au uungu wa Yesu.

Injili hizi
1. "Injili ya Tomaso" (Gospel of Thomas)

2. "Injili ya Barnaba"

3. "Injili ya Ebionites"

4. "Injili ya Wamisri" (Egyptians Gospel)

Baada ya hapo makanisa ya serikali yalipokea tu maandiko yaliyoendana na imani hiyo.
Injili zisizoendana zilikataliwa, kufichwa au kuharamishwa.

Hivyo, Injili nyingi zisizotambuliwa rasmi leo zinatoka kipindi cha kabla ya kukubalika rasmi kwa imani ya Utatu. Watafiti wa kisasa kama "Bart Ehrman". "Elaine Pagels" na "James D. Tabor" wamelifanyia kazi jambo hili kwa kina.

5. "Injili ya Filipo" (Gospel of Philip)
Tuanze kwanza na hizo Injili 4 uzisemazo wewe ukiwa muislam na Quran yako 5:46 imesema ili confirm Injili kwa kuwakilisha waislam wenzako Quran inakubali ipi hapo Injil ya 1 Tomaso 2 Barnaba 3 Ebionites au 4 Wamisri? then tuendelee. Maana kuna maswali lazima uelewe unayemuuliza anaamini nini na wewe unaamini ipi?
 
View attachment 3431697
Waislamu tuna amini kurudi kwa Yesu (ISA)ni katika alama kubwa za kiyama(siku ya Mwisho) na atakuja kupambana na (Masih dajjal)Masihi wa Uwongo.
Hakuna nabii yeyote anayeijuwa hiyo siku maana hiyo nielimu ya Mungu pekeyake.
Uislamu ni upuuzi wa uongo ...muhammad ni mtume feki kama Mwamposa nk..kwanza alikuwa ajui hata maana ya utume
 
Wewe Pimbi nimekuuliza ni nchi gani hizo ukibadili dini unahukumiwa kifo? Jibu lako lije na reliable source,

Wewe umeshanyakuliwa akili tayari,umeachiwa kiwili wili tu.
NIULIZE MIMI HILO SWALI 😁
 
Tuanze kwanza na hizo Injili 4 uzisemazo wewe ukiwa muislam na Quran yako 5:46 imesema ili confirm Injili kwa kuwakilisha waislam wenzako Quran inakubali ipi hapo Injil ya 1 Tomaso 2 Barnaba 3 Ebionites au 4 Wamisri? then tuendelee. Maana kuna maswali lazima uelewe unayemuuliza anaamini nini na wewe unaamini ipi?
Qur’an imeonya kuhusu mabadiliko katika maandiko kwahiyo kuna fikra za watu:
"Wanabadili maneno kutoka mahali pake..." (Al-Ma’idah 5:13)

"Basi ole wao wanaoandika Kitabu kwa mikono yao kisha wakasema Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu..." (Al-Baqarah 2:79)

Qur'an inathibitisha kuwa maandiko ya awali yalikuwa ya kweli lakini wanadamu walibadili baadhi ya maneno au kuyapotosha. Kwa hiyo Qur'an iliteremshwa kuwa kitabu cha mwisho na mrekebishaji (muhayminan ‘alayhi):
"Na tumekuteremshia Kitabu kwa haki kikithibitisha yaliyo kabla yake katika vitabu, na kuwa mlinzi juu yake..." (Al-Ma'idah 5:48)

Qur'an inatambua Injili na Zaburi ni kweli ziliteremshwa na Mungu, lakini haithibitishi kuwa maandiko yaliyopo sasa yako salama kikamilifu kutokana na mabadiliko ya kibinadamu.

Nukuu hii ya "Dionysius" Askofu wa Korintho (karne ya 2), inarejelewa sana katika mijadala ya wasomi wa historia ya Kikristo hususan kuhusu mabadiliko ya maandishi ya awali.

Imenukuliwa na "Eusebius wa Caesarea" katika kazi yake mashuhuri "Ecclesiastical History" (Historia ya Kanisa) Kitabu cha 4, Sura ya 23.

Dionysius: analalamika kuwa "barua zake zimepotoshwa" na “mitume wa Ibilisi” waliodiriki "kubadilisha, kuongeza au kuondoa maneno".
Anasema:
“They have tampered with my letters, not sparing even the words of the Lord, and they have dared to falsify the Holy Scriptures.”

"Dionysius hakumaanisha kuwa Maandiko yote yamepotoshwa" bali anaonya kuwa watu walijaribu "kuyabadili maandiko" hata yale ya Bwana.
Hapo alionyesha hofu ya upotoshaji wa maandiko miongoni mwa waumini wa karne ya pili.
 
Ndugu nakubaliana na wewe hapo 💯
 
Back
Top Bottom