Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,378
- 13,198
Nani mfia dini? so hizo hekaya unazipenda au huzipendi?Nyinyi wafia dini ndio vilaza mmekamata kwenye huu upupu wa hekaya za kale kwa sababu formal education ilikupita kushoto,
Nani mfia dini? so hizo hekaya unazipenda au huzipendi?Nyinyi wafia dini ndio vilaza mmekamata kwenye huu upupu wa hekaya za kale kwa sababu formal education ilikupita kushoto,
Wewe ni kilazaNani mfia dini? so hizo hekaya unazipenda au huzipendi?
Ukiandika kwa kizungu ndio atakusikia vizuri, duh.JESUS IS COMING AGAIN
Get prepared
Mbona inawahusu waislam wenyewe unajua Mpangilio wa Quran? aya ya kwanza hadi ya Mwisho? aya ya kwanza ilitakiwa iwe ile ya kwanza kule pangoni, msaafu wote haupo kwenye order kama mnavyodai kshushwa wajua kuwa mtume wenu chapta ya 5 akadai uislam umekamilika sasa zilizofuta zilikuwa za nini? kama nakumbuka ni pale Arafa akapiga marufuku ulaji Nguruwe bila sababu hahaha so muslim rekebisheni Quran mmeongeza maneno kila aya ya Bismillah rahman rahim kasoro sura At-Taubah nikupe story yake? ujue islam ni flaud and fake religion. Quran yenyewe aya haziendani chache sana zinafuatana kisha zinapoteana kama amezungumzia Musa aya moja inafuata ya Yesu then inaruka kwa mwingine n.kQur’an imeonya kuhusu mabadiliko katika maandiko kwahiyo kuna fikra za watu:
"Wanabadili maneno kutoka mahali pake..." (Al-Ma’idah 5:13)
Hii kasome tafsir utaelewa , And mtume wenu alikuwa akiandika mashairi watu wakamuambia eeh unatuambia hadith za watu wa kale tunazifahamu zote alafu unasema ni za Allah na umeshushiwa na jibril ?mohammad akaona kastukiwa akasema Quran ni maneno ya mtume Quran sio Allah 69:40"Basi ole wao wanaoandika Kitabu kwa mikono yao kisha wakasema Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu..." (Al-Baqarah 2:79)
Yanabadilishwaje wakati Mtume wenu alisema Allah alimuandikia Mussa Torat kwenye tablet za mawe ana akasema Neno la Allah haliwezi badilishwa unaona jinsi Quran inapingana yenyewe kwa yenyewe Quran 6:115Qur'an inathibitisha kuwa maandiko ya awali yalikuwa ya kweli lakini wanadamu walibadili baadhi ya maneno au kuyapotosha. Kwa hiyo Qur'an iliteremshwa kuwa kitabu cha mwisho na mrekebishaji (muhayminan ‘alayhi):
"Na tumekuteremshia Kitabu kwa haki kikithibitisha yaliyo kabla yake katika vitabu, na kuwa mlinzi juu yake..." (Al-Ma'idah 5:48)
Ndio hizo Aya ambazo zinasema maandishi ya Allah hakuna awezaye kuyabadilisha so mkiipinga Biblia mnampinga Allah so mnakuwa makafiri Quran 6:115 and Quran 18:27Qur'an inatambua Injili na Zaburi ni kweli ziliteremshwa na Mungu, lakini haithibitishi kuwa maandiko yaliyopo sasa yako salama kikamilifu kutokana na mabadiliko ya kibinadamu.
Okay je nikikuambia Allah ndie anapotosha unaweza kukubali? Quran 16:93 Allah ana guide watu wapoteeNukuu hii ya "Dionysius" Askofu wa Korintho (karne ya 2), inarejelewa sana katika mijadala ya wasomi wa historia ya Kikristo hususan kuhusu mabadiliko ya maandishi ya awali.
Imenukuliwa na "Eusebius wa Caesarea" katika kazi yake mashuhuri "Ecclesiastical History" (Historia ya Kanisa) Kitabu cha 4, Sura ya 23.
Dionysius: analalamika kuwa "barua zake zimepotoshwa" na “mitume wa Ibilisi” waliodiriki "kubadilisha, kuongeza au kuondoa maneno".
Anasema:
"Dionysius hakumaanisha kuwa Maandiko yote yamepotoshwa" bali anaonya kuwa watu walijaribu "kuyabadili maandiko" hata yale ya Bwana.
Hapo alionyesha hofu ya upotoshaji wa maandiko miongoni mwa waumini wa karne ya pili.
Sikuelewi amani iwe kwakoWewe ni kilaza
Kubali tu, ndio maana umekatia kwenye huu ujinga
Unaelewa maana ya hiyo aya is he who? unajua Quran ni maneno ya Nani? it supposed Allah anaye ongea so angekuwa ni yeye anayetoa roho angesema mimi ndie ninayetoa roho na kurejesha sijui umenipata kwenye hiyo point. unafahami Malaika aitwaye Izrael ? anayeua
Acha kuokota okota na kuzidi kupotosha watu jina la Isa Mtume wenu alichemka alitumia Kigiriki kama Allah angekuwa ni Mungu wa Kweli asingeweza kumuita Yesu Isa jina lilitoholewa kwa kigiriki and Allah angekuwa kweli ni Mungu asingesema kuwa alimpa Yes Injil kwani Injil ni neno la kigiriki. Nimecheka uliposema eti Isa ni kiarabu safi hahaha Isa (Essa) Hakuna kiarabu Safi haswa katika Quran mule kuna wizi wa lugha za Aramaic ambzo hadi Aya zingine Allah kashindwa elewa yeye mwenyewe na watumwa wake wakaishia kusema eti Allah knows best Chapter 19:1 Kaf, Ha, Ya, ‘Ayn, Sad. ni Alamaic language na maana yake ni Massiah is my Lord - Mudy hakujua aliandikiwa bila tafsiri angejua angeziondosha faster, Allah pia sio kiarabu, Zacharia and mchanganyo wa Quran ni sababu ya kubeba dini za wengine na kuunganisha iwe moja.jina "Isa" asili na muunganiko wake:
Jina "Isa" (عيسى) katika Qur’an
Hili ndilo jina linalotumika kumrejelea Yesu katika Qur’an
Limetajwa mara nyingi "Isa bin Maryam" (Isa mwana wa Mariamu).
Tofauti na jina "Yesu"
Yesu ni tafsiri ya Kiebrania "Yeshua" (ישוע) au "Yehoshua" ambayo maana yake ni “Mungu ni wokovu".
"Jesus" ni tafsiri ya Kigiriki (Iesous) → Kilatini → Kiingereza lakini jina hilo halikuandikwa hivyo katika lugha ya asili ya Yesu.
KWANINI QUR-AN IMEMUITA "ISA" NA SI "YESU"?
Wataalamu wa lugha wanasema “Isa” ni lahaja ya Kiarabu ya jina la "Eesho" (Aramaic/Syriac) ambalo ndilo Yesu alijulikana nalo miongoni mwa watu wake.
Inawezekana vilevile Qur’an ilitumia jina hilo kwa mfumo wa Kiarabu lililozoeleka kwa waarabu wa wakati huo.
Kuhusiana na "Nasara"
Neno "Nasara" (نصارى) ni wito kwa wafuasi wa "An-Nasiri" yaani "Isa wa Nazareti"
Linahusiana na mji wa "Nazareth" ambao ni asili ya neno "Nazarene" kwa Kiingereza.
Kwa ufupi Isa (عيسى) ni jina la Kiarabu la Yesu ambalo Qur’an hulitumia na "Nasara" ni wafuasi wake Qur’an imehifadhi majina haya kwa muktadha wa lugha yake safi ya Kiarabu.
TAFSIRI YA JINA LA "YESHUA" KWENYE TAURATI
Jina “Yeshua” (ישוע):
Ni jina la Kiebrania ambalo lina maana ya “Wokovu” au “Mungu anaokoa".
Ni fupi ya jina la awali "Yehoshua" (יְהוֹשֻׁעַ) = "YHWH ni wokovu".
Katika Biblia ya Kiebrania jina hili lilikuwapo kwa watu kadhaa, mmojawapo akiwa "Yoshua bin Nuni" (Joshua) mrithi wa Musa (a.s.).
Tafsiri ya Kigiriki
“Yeshua” lilitafsiriwa kuwa "Iesous" (Ἰησοῦς) katika Kigiriki hili ndilo jina lililotumiwa kwenye Agano Jipya lililoandikwa kwa Kigiriki.
Kisha likawa "Jesus" katika Kiingereza na "Yesu" kwa Kiswahili.
Kwenye Taurati (Tanakh):
Katika Ezra 3:2 jina linatokea kama:
“Then Jeshua son of Jozadak...”
(= Yeshua mwana wa Yozadak) Kuhani mkuu wakati wa ujenzi wa hekalu.
Kwa hiyo Jina la Yesu (Isa) katika asili yake linahusiana na neno la wokovu kutoka kwa Mungu (YHWH). Qur’an inamwita (Isa) wakati Taurati inatumia "Yehoshua/Yeshua" na Injili inamtaja kama "Iesous (Gk)".
INJILI ZILIZO TUMIA JINA LA LESOUS (Ἰησοῦς)
bado zinapatikana hadi sasa katika maandiko ya asili ya Kigiriki ambazo ndizo tafsiri kongwe kabisa za Agano Jipya.
Maandiko ya Kigiriki ya awali:
Agano Jipya (Injili ya Mathayo, Marko, Luka, Yohana n.k.) yaliandikwa kwa "Kigiriki cha Koine" Ndani yake jina la Yesu lilikuwa "Iesous" (Ἰησοῦς).
Mfano:
Mathayo 1:21 (Greek):
"καὶ καλέσεις τὸ ὄνομα αὐτοῦ Ἰησοῦν..."
(Na utamwita jina lake Iesous...)
Ushahidi wa Maandishi ya Kale:
"Codex Sinaiticus (karne ya 4)" moja ya nakala kamili za kale za Biblia ya Kigiriki.
angalia kwenye "Codex Vaticanus" pia ina jina hilo "Iesous" kwa Yesu.
Tafsiri za Kisasa:
Injili zilipotafsiriwa kwenda Kiingereza jina "Iesous" likawa "Jesus" kwa Kiswahili: Yesu.
na kwa Kiarabu (Qur’an): Isa.
Kwa hiyo Injili zilizotaja jina "Iesous" bado zipo hasa katika maandiko ya Kigiriki ya awali kama "Codex Sinaiticus" Vaticanus na mswada wa Nestle-Aland.
kipande halisi cha Codex Sinaiticus au mstari wa Kigiriki ulio na jina “Iesous”
ushahidi wa wazi na wa kinidhamu kutoka kwenye maandiko ya kale ya Injili ya Kigiriki (Greek New Testament) yanayotumia jina "Ἰησοῦς" (Iēsous) kwa Yesu kama ilivyo kwenye Matthew 1:21
📜 Greek asili (Mathayo 1:21)
Katika maandishi ya Kigiriki cha zamani hususan Nestle‑Aland, SBL na Codex Sinaiticus, Vaticanus mstari unaeleza:
“...καλέσεις τὸ ὄνομα αὐτοῦ Ἰησοῦν…”
ilo likimaanisha “… utakaita jina lake *Iēsoun (Iēsous)…”
Maandishi kamili ya "Greek New Testament" bado yana jina lake "Iēsous" si tafsiri ya Kiswahili.
jinsi jina lilivyo toka kwenye Kiebrania → Kigiriki → Kilatini na hatimaye Kiswahili/Kiingereza.
Websites :
biblehub.com: www.biblehub.com/texts/matthew/1-21.htm?
reddit.com: www.reddit.com/r/TrueChristian/comments/1jn6chw?
reddit.com: www.reddit.com/r/AskAChristian/comments/1g5lzhg?
Sahih Muslim 523fKweli nimeamini Walikusanyika vichaa kadhaa wakaunda kitu kinaitwa walokole
Sasa wewe ndo umetuletea tafsiri ya kupotosha 😃Wewe katika uelewa wa Uislam upo dhaifu. Sema uki deal na mimi uta learn something new ambavyo hujawahi visikia nyie Waislam ni victims mmedanganywa sana but unaweza ukatumia trick ukafanikiwa kuujua uislam then utaachana nao. Islam bila uongo haundani.
Most of Muslims ambao hawajui Kiarabu cha kuandikwa na kusikia wapo kwenye janga kuu. Me najaribu sana kuwasaidia japo ni kazi kubwa sana naambulia Matusi na kashfa.
Maislam kwenye elimu ya juu juu wamepumbazwa kuwa Yesu hakufa kabla ya kunyenyuliwa Mbinguni hai na Quran wametafsiliwa kwa lugha za uongo- Kama unaupenda uislam stop yaani acha kabisa kufuata tafsiri ulizozizoea zimeficha uongo na aibu ya Allah kuwa si lolote si chochote na hana uwezo wa aina yeote na kiufupi Mungu wenu ni mtu aliyeitwa Qutham kisha akajiita Wakuabudiwa AKA Mohammad.
Nakupa Aya inayosema Allah ali couse death for Issa kisha yesu akafufuka and akamnyenyua juu mbinguni tafsir hizo zilizofichwa zimehadaa Waislam miaka mingi zimesababisha chuki na maugomvi so uongo ni nguzo katika uislam = alafu kwa hili Allah anakubali kuwa alidanganya na kujisifia kuwa yeye ni bingwa wa uongo - Best of deceiver Quran 3:54
Quran 3:55
Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
إِذۡ قَالَ ٱللَّهُ يَٰعِيسَىٰٓ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَجَاعِلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوكَ فَوۡقَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرۡجِعُكُمۡ فَأَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ فِيمَا كُنتُمۡ فِيهِ تَخۡتَلِفُونَ
So Allah alisababisha kifo cha Yesu then yesu alifufuka na alimtakasa kisha akamnyenyua juu
Kwa Aya hii Ukristo upo sawa kwani Yesu alikufa msalabani na alifufuka na kupaa zake.
So Allah ameshindwa kuweka ushahidi kufufka kwa Yesu na Yesu alisema yeye aliamua kufa na kufufuka . So Allah kwa kujiapiza yeye ni muongo imani ya Kikristo inasimama wima bila upingamizi maana ina ilikuwa na Mashahidi wengi Wayahudi,Waroma na Wagiriki Almenian na Assriya. Kwa Allah hakuna shahidi hata punje tena madai kayatoa after miaka 600
Kwani biblia ni maneno ya naniUnaelewa maana ya hiyo aya is he who? unajua Quran ni maneno ya Nani? it supposed Allah anaye ongea so angekuwa ni yeye anayetoa roho angesema mimi ndie ninayetoa roho na kurejesha sijui umenipata kwenye hiyo point. unafahami Malaika aitwaye Izrael ? anayeua
Hiyo 6:60 Allah anajua kulala ni kufa na ukiamka umefufuka hahaha kupoteza fahamu?
IQ yako ndogo sana acha nikudhibitishie:mtu anakuwaje na Asili ya Ukrito kwa mfano? dini za uislam na ukristo zimetochangiwa zaidi na Dini ya Uyahudi na Wakristo wa Kwanza ni Wayahudi so non of jews huwezi sema wana asili ya Ukristo.
Kuamini uwepo wa Mungu ni imani and watu hawako sure Mungu yupi ni wa Kweli and wanapima maandiko yana logic au lah kisha wanaamua wenyewe. atheist wanatoka kwenye dini yeyote.
Katika uislam mmeaminishwa hivyo sababu hayo maneno aliyasema mtume wenu kipindi ameugua ukichaa, alikuwa akisema Mawe, miti yanamuambia Asalam Aleykum akawa akisema amesex na wake zake wote kwa usiku mmoja hadi Aisha mkewe alishangaa akasema hajasex nae ndipo wakajua ukichaa umempanda. sasa Kusema Jiwe la Kahaba litawekewa macho na mdomo kutoa ushahidi kwa walioligusa mimi kwangu naona crazy thing.
Sina uwezo wa kuzuia mtu kukasirika ila kusema Allah hayupo nakubaliana kwa hoja ambazo zipo ni fictions maana uiislam wote ni same fictions, Mohammad kutokewa na Jibril no shahidi, Mohammad hajamuona Allah, Mohammad anasema Allah hana Spirit iila ana body parts so ni statue kama vinyago vingine au sanamu maana sanamu bila roho imagine liwe Mungu!
Ndio maana tunakubali Isa ni nabii wa Allah katika walioshushiwa kitabuMwanzo 3:22 Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”
Ukisoma hiyo Aya utaona kuhahamu kwetu kule kulitufanya tuwe kama sasa hivi tulivyo na akili mimi najua kuna siri ndefu upungufu wa maelezo na siri kuu alikuwa nayo Yesu wayahudi walisumbua Yesu akasema nina mambo mengi ya kuwaambieni ila mtakufa katika dhambi na Baba yenu alikuwwa ni muuaji kaua watu wengi sana, unajua why Katika uislam mnaamini Adam aliumbwa Firdaus japo story yake inavichekesho according to mtume wenu? sisi tunaamini Bustanini as laboratory yake sometime inashangaza Quran imeconfirm nini kwetu tunaona imejichomekea tu sifa ila haijui lolote.
Ndio imeandikwa hivyo we have to accept and kama wewe ni Muslim Quran imeithibitisha Torat na Injil (Bible)kuwa kashusha Allah. Kitab so Uyahudi na Ukristo kauanzisha Allah. lakini muslim mnaupiga vita haswa hamjui mnampinga Allah. accoding to Quran Tutakutana firdaus najua utataka Aya
Allah atufahamu sisi kabla hata hatujawa kwenye tumbo la wazazi wetu, anajua kila kitu kuhusu sisi.Hiyo aya inapingana na uislam kwani Allah anasema yeye ndie anaongoza dhambi zenu kwani ameshapanga na ameandika kwenye book lake mustakabali wa maisha yenu yote so dhambi zoe ni za Allah amekupangia uta sex mara kadhaa katika maisha yako yote,utaiba,utadanganya kwenda motoni au kwenda firdaus si ule msemo
Inaelekea Akili yako haiko sawa so shida tu ya IQ.unawakumbusheni kila siku uitwao Inshallah si ndio Hadith ya Musa na Adam kwenye debate yao unaijua? Musa alimlaumu Adam kwa makosa yake amaesababisha sisi tufukuzwe firdaus Adama akasema usinilaumu mimi Allah ndie alipanga ifanye dhambi miaka 40 kabla hajaniumba Adam akashinda Debate adam akashinda Debate Adam akashinda Debate yaani mtume wenu alikuwa anarudia mara tatu kumpa ushindi Adam sasa labda Musa alikuwa myahudi hahaha
Quran 33:56
Zinaeleweka mbona Tafsiri zenu ndio mnadanganya sana siku hizi ukita neno la kiarabu ndani ya google unapata jibu japo sio accurate sana ila yana nafuu kuliko hizo za english na kiswahili. Hiyo Aya wewe kila utakavyo itafsiri unaharibu sehemu kwa Allah amuombee mtume baraka kwa nani wakati yeye ndie Allah na Quran msemaji ni Allah pekee angesema tu nimekubariki mtume wangu kuliko kuandika Allah anakuombea alafu hapo hapo na Malaika nao wanamuombea baraka Mwahammad for what wakati Allah yupo hapo hapo amalize hii ina make sense? ukitaka kucheka kasome tafsiri mbali mbali duniani wakijitahidi kuficha hii aibu.. ni uthibitisho kuwa Allah sio Mungu ni Mohammad mtengeneza Quran alikuwa akijipamba sema kaharibu sana sababu alikuwa ana talk too much hadi ana haribu. kuna wanaosema Allah pray for na wengine wanasema Pray to M Hijab alisema Allah ana pray to alipingwwa na waislam sijui kama alikiri kukosea wakiwa kwa watu wanatamka tu
uislam ni easy sana kwani unapingana wenyewe kwa wenyewe, Quran kwa Quran Hadith kwa Hadith. omba chochote nitakupa data nadhani nimejibu ulipoona sijaweka sawa. kuwa Uislam dhambi zenu zitabebeshwa Wayahudi na Wakristo hata kama ni nyingi kama mlima vipimo vyenu vinachekesha dhambi kama mlima? as if dhambi ni physical thing
Na waongo pia ...ukristo wenu una mashaka uongo umewatawalaWATUKANAJI HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi." (1Kor 6:9-11)
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Quran ina mabano? Tushazungumzia kuongeza maneno kuwa Allah amekataza tena amesema hakuna awezae wewe umeweza eeh!Sasa wewe ndo umetuletea tafsiri ya kupotosha 😃
إِذْ قَالَ اللَّـهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ ﴿٥٥﴾
55. Pale Allaah Aliposema: Ee ‘Iysaa! Hakika Mimi Nitakuchukua na Nitakupandisha Kwangu na Nitakutakasa na wale waliokufuru na Nitawafanya wale waliokufuata (kujisalimisha kwa Allaah) kuwa juu ya wale waliokufuru mpaka Siku ya Qiyaamah, kisha Kwangu ndio marejeo yenu na Nitahukumu baina yenu katika yale mliyokuwa mkikhitilafiana.
Kwanza "iz" ndo nini 😃 kumaanisha hiyo tafsiri yenu ni ya uongo 😃Quran ina mabano? Tushazungumzia kuongeza maneno kuwa Allah amekataza tena amesema hakuna awezae wewe umeweza eeh!
nishakuambia achana na hizo tafsir za uongo go to Arabic then Google it utapata atleast accurate translation for understanding your msaafu. Hiyo Aya haina wala kumaanisha hayo maneno ya mabano eti kujisalimisha kwa Allah hahaha wafuasi wa Yesu watakuwa juu menu Kwa kila kitu yaani superior
labda nikusaidie word by word
Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
Neno mutawaffeeka maana take kusababisha kifo au kutoa uhai au kuchukua uhai na sio ''kukuchukua''
hizi technical error za Allah wanazuoni wenu wamejaribu sana kuwaficha ili ukristo uonekane ni uonho kuwa Jesus hakuna na kufufuka msalabani but Aya inaweka wazi kabisa Yesu alikufa then akafufuka kisha akapaa kwenda kwa Baba yake
Usidhani natafsiri kwa kuhadaa no uongo ndio sipendi uislam lazima uendane am just help you guys I know nyie ni victims WA lies of israms i don't hate muslims I hate lies of muslim.
IQ yako ndogo sana acha nikudhibitishie:mtu anakuwaje na Asili ya Ukrito kwa mfano? dini za uislam na ukristo zimetochangiwa zaidi na Dini ya Uyahudi na Wakristo wa Kwanza ni Wayahudi so non of jews huwezi sema wana asili ya Ukristo.
Kuamini uwepo wa Mungu ni imani and watu hawako sure Mungu yupi ni wa Kweli and wanapima maandiko yana logic au lah kisha wanaamua wenyewe. atheist wanatoka kwenye dini yeyote.
Katika uislam mmeaminishwa hivyo sababu hayo maneno aliyasema mtume wenu kipindi ameugua ukichaa, alikuwa akisema Mawe, miti yanamuambia Asalam Aleykum akawa akisema amesex na wake zake wote kwa usiku mmoja hadi Aisha mkewe alishangaa akasema hajasex nae ndipo wakajua ukichaa umempanda. sasa Kusema Jiwe la Kahaba litawekewa macho na mdomo kutoa ushahidi kwa walioligusa mimi kwangu naona crazy thing.
Sina uwezo wa kuzuia mtu kukasirika ila kusema Allah hayupo nakubaliana kwa hoja ambazo zipo ni fictions maana uiislam wote ni same fictions, Mohammad kutokewa na Jibril no shahidi, Mohammad hajamuona Allah, Mohammad anasema Allah hana Spirit iila ana body parts so ni statue kama vinyago vingine au sanamu maana sanamu bila roho imagine liwe Mungu!
Ndio maana tunakubali Isa ni nabii wa Allah katika walioshushiwa kitabuMwanzo 3:22 Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”
Ukisoma hiyo Aya utaona kuhahamu kwetu kule kulitufanya tuwe kama sasa hivi tulivyo na akili mimi najua kuna siri ndefu upungufu wa maelezo na siri kuu alikuwa nayo Yesu wayahudi walisumbua Yesu akasema nina mambo mengi ya kuwaambieni ila mtakufa katika dhambi na Baba yenu alikuwwa ni muuaji kaua watu wengi sana, unajua why Katika uislam mnaamini Adam aliumbwa Firdaus japo story yake inavichekesho according to mtume wenu? sisi tunaamini Bustanini as laboratory yake sometime inashangaza Quran imeconfirm nini kwetu tunaona imejichomekea tu sifa ila haijui lolote.
Ndio imeandikwa hivyo we have to accept and kama wewe ni Muslim Quran imeithibitisha Torat na Injil (Bible)kuwa kashusha Allah. Kitab so Uyahudi na Ukristo kauanzisha Allah. lakini muslim mnaupiga vita haswa hamjui mnampinga Allah. accoding to Quran Tutakutana firdaus najua utataka Aya
Allah atufahamu sisi kabla hata hatujawa kwenye tumbo la wazazi wetu, anajua kila kitu kuhusu sisi.Hiyo aya inapingana na uislam kwani Allah anasema yeye ndie anaongoza dhambi zenu kwani ameshapanga na ameandika kwenye book lake mustakabali wa maisha yenu yote so dhambi zoe ni za Allah amekupangia uta sex mara kadhaa katika maisha yako yote,utaiba,utadanganya kwenda motoni au kwenda firdaus si ule msemo
Inaelekea Akili yako haiko sawa so shida tu ya IQ.unawakumbusheni kila siku uitwao Inshallah si ndio Hadith ya Musa na Adam kwenye debate yao unaijua? Musa alimlaumu Adam kwa makosa yake amaesababisha sisi tufukuzwe firdaus Adama akasema usinilaumu mimi Allah ndie alipanga ifanye dhambi miaka 40 kabla hajaniumba Adam akashinda Debate adam akashinda Debate Adam akashinda Debate yaani mtume wenu alikuwa anarudia mara tatu kumpa ushindi Adam sasa labda Musa alikuwa myahudi hahaha
Quran 33:56
Zinaeleweka mbona Tafsiri zenu ndio mnadanganya sana siku hizi ukita neno la kiarabu ndani ya google unapata jibu japo sio accurate sana ila yana nafuu kuliko hizo za english na kiswahili. Hiyo Aya wewe kila utakavyo itafsiri unaharibu sehemu kwa Allah amuombee mtume baraka kwa nani wakati yeye ndie Allah na Quran msemaji ni Allah pekee angesema tu nimekubariki mtume wangu kuliko kuandika Allah anakuombea alafu hapo hapo na Malaika nao wanamuombea baraka Mwahammad for what wakati Allah yupo hapo hapo amalize hii ina make sense? ukitaka kucheka kasome tafsiri mbali mbali duniani wakijitahidi kuficha hii aibu.. ni uthibitisho kuwa Allah sio Mungu ni Mohammad mtengeneza Quran alikuwa akijipamba sema kaharibu sana sababu alikuwa ana talk too much hadi ana haribu. kuna wanaosema Allah pray for na wengine wanasema Pray to M Hijab alisema Allah ana pray to alipingwwa na waislam sijui kama alikiri kukosea wakiwa kwa watu wanatamka tu
uislam ni easy sana kwani unapingana wenyewe kwa wenyewe, Quran kwa Quran Hadith kwa Hadith. omba chochote nitakupa data nadhani nimejibu ulipoona sijaweka sawa. kuwa Uislam dhambi zenu zitabebeshwa Wayahudi na Wakristo hata kama ni nyingi kama mlima vipimo vyenu vinachekesha dhambi kama mlima? as if dhambi ni physical thing
if your truthful Sadiq uongo wapi tumeweka, najua umepata shocks kuona ya kuwa Quran inauongo ambao hujawahi sikia, i know Kila mtu humtokea hiyo Hali. But Quran ni full of lies musaaf kwa musaaf mean page to page. Uliza chochoe au Aya yeyote nitakuonesha uongo au kupinga aya nyingine. Hamna dini katika uislamKwanza "iz" ndo nini 😃 kumaanisha hiyo tafsiri yenu ni ya uongo 😃
Andika vizuri kwanza maana text yako ina maneno mengi sijayaelewaif your truthful Sadiq uongo wapi tumeweka, najua umepata shocks kuona ya kuwa Quran inauongo ambao hujawahi sikia, i know Kola mtu humtokea hiyo Hali. But Quran ni full of lies musaaf kwa musaaf mean page to page. Eliza chochoe au Aya yeyote nitakuonesha uongo au kupinga aya nyingine. Hamna ding katika uislam