Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Maamuzi ni yako Ukishaambiwa Almight kila kitu kinawezekana tatizo lenu mnawadharau mama zenu katika uislam, unajua Allah asilimia nyingi ni female alisema mtume wenu anavaa Hijabu(Burka), Allah alisema akitaka kupata mtoto labda asex na houri au Malaika issue ni kubwa Malaika wote ni wa kiume so akisex nao atazaa yeye.

Ila fidaus wanaume pia watazaa wakitaka mtoto.
Jibu ndio au hapana, acha siasa
 
Nipe andiko
Kwanza Quran 45:6 mmeambiwa Quran only Hadith msiziamini

Aya hii pia Quran 4:80 Mohammad amejipa uungu - Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.

Hii aya Quran 59:7 Mohammad amejipa Umungu wa duniani anachowaambia mfuate na anachokataza muache.
Mohammad ni mungu wenu na Allah ni mtumwa wa Mohammad.
Quran 69:40 Quran ni maneno binafsi ya Mohammad إِنَّهُ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ indeed, the Qur’an is the word of a noble Messenger.Quran 81:19 pia mtume wenu waarabu walikuwa wanamcheka na Hadithi za mababu wa kale wakamuambia tunazijua zote tena Kwa ufasaha akaona oh noma akaweka aya kuwa Quran no maneno yake mwenyewe sio Allah.

(83)Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death
Sahih al-Bukhari 4432
Ibn ‘Abbas amesema: “Mtume alipokuwa kwenye kitanda chake cha kufa na wapo baadhi ya watu ndani ya nyumba yake, alisema: Njooni karibu nitakuandikieni jambo ambalo nyinyi hamtapotea baada yake. Baadhi yao (yaani maswahaba zake) walisema, 'Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ni mgonjwa sana na nyinyi mnayo Kitabu (Kitakatifu) cha Mwenyezi Mungu kinatutosha.' Basi wakakhitalifiana watu wa nyumba hiyo na wakaanza kuzozana baadhi yao wakasema: Mpeni maandishi ili akuandikieni jambo ambalo baada yake hamtapotea. na wengine wakasema kinyume chake. Basi yalipozidi maongezi yao na kutofautiana kwao, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) alisema: “Simameni, Ibn Abbas alikuwa akisema: “Hakika ilikuwa ni bahati mbaya (msiba mkubwa) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alizuiliwa kuandika kwa ajili yao kwa sababu ya tofauti zao na kelele zao.

and Mohammed alisema mzifute hadithi

Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’iyd al-Khudriy kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Usiandike chochote kutoka kwangu; mwenye kuandika chochote kutoka kwangu isipokuwa Qur-aan, basi na aifute na anihadithie, kwani hakuna ubaya katika hilo. (Imepokewa na Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)

It was narrated from Abu Sa’eed al-Khudri that the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Do not write anything from me; whoever has written anything from me other than the Qur’aan, let him erase it and narrate from me, for there is nothing wrong with that.” (Narrated by Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)
 
Hiyo aya uliyoisema ni hii
تِلْكَ آيَاتُ اللَّـهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّـهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ﴿٦﴾

6. Hizi ni Aayaat za Allaah Tunakusomea kwa haki. Basi kauli gani baada ya Allaah na Aayaat Zake wataziamini?
Hakuna iliposema kuwa tuachane na hadithi za Mtume

Kuhusu hiyo hadithi yako ni ya uongo bila shaka maana inapingana na Qur’an na hadithi sahih za Mtume
 
Sasa hujaelewa nini hapo? Ni Kua Quran ndio ipo sawa huna haja ya hadithi anymore Kea Aya hii.
Ila uislam bila hadithi hauendi.
45:6
Al-Barwani
Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?

Hadith ni sahihi unasema ya uongo? Thibitisha uongo wa hadithi Imeandikwa na muislam wa kale ni waislam wanaikubali ila wewe tu hongera. Uongo umetamalaki katika uislam na waislam.
Wenzio walimsikia mudy wakaandika,wakahifadhi,wakaeneza uislam kwa hizo hadithi then unaita za uongo bila uthibitisho wowote Quran no hadithi pia so unajua!

The Book of Zuhd and Softening of Hearts

(16)Chapter: Verification Of Hadith And The Ruling On Writing Down Knowledge

باب التَّثَبُّتِ فِي الْحَدِيثِ وَحُكْمِ كِتَابَةِ الْعِلْمِ

Abu Sa'id Khudri reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:
Do not take down anything from me, and he who took down anything from me except the Qur'an, he should efface that and narrate from me, for there is no harm in it and he who attributed any falsehood to me-and Hammam said: I think he also said:" deliberately" -he should in fact find his abode in the Hell-Fire.

حَدَّثَنَا هَدَّابُ بْنُ خَالِدٍ الأَزْدِيُّ، حَدَّثَنَا هَمَّامٌ، عَنْ زَيْدِ بْنِ أَسْلَمَ، عَنْ عَطَاءِ بْنِ يَسَارٍ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَكْتُبُوا عَنِّي وَمَنْ كَتَبَ عَنِّي غَيْرَ الْقُرْآنِ فَلْيَمْحُهُ وَحَدِّثُوا عَنِّي وَلاَ حَرَجَ وَمَنْ كَذَبَ عَلَىَّ - قَالَ هَمَّامٌ أَحْسِبُهُ قَالَ - مُتَعَمِّدًا فَلْيَتَبَوَّأْ مَقْعَدَهُ مِنَ النَّارِ ‏"‏ ‏.‏

Reference : Sahih Muslim 3004
In-book reference : Book 55, Hadith 9
 
Kwa nini unasema akitaka sasa 😃
Yah me huwa nafata kilichoandikwa na sio kuvutia ninachoona kinafaa. Yesu alituambia tukiwa na Imani japo mfano wa mbegu ndogo kabisa ya haradari tutaweza hamisha mlima mkubwa from place to place.
And Aliwaambia wayahudi vitabu vyao vinawatambua kuwa ni Miungu, truth we are gods without faith alikuja kutuamsha tujijue ila bado tupo usingizini
 
Sasa hujaelewa nini hapo? Ni Kua Quran ndio ipo sawa huna haja ya hadithi anymore Kea Aya hii.
Ila uislam bila hadithi hauendi.
45:6
Al-Barwani
Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?
Kilichopo hapo linaulizwa swali ikiwa hao hawaamini Qur’an basi ni nini wataamini?
 
حَدَّثَنَا هَدَّابُ بْنُ خَالِدٍ الأَزْدِيُّ، حَدَّثَنَا هَمَّامٌ، عَنْ زَيْدِ بْنِ أَسْلَمَ، عَنْ عَطَاءِ بْنِ يَسَارٍ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَكْتُبُوا عَنِّي وَمَنْ كَتَبَ عَنِّي غَيْرَ الْقُرْآنِ فَلْيَمْحُهُ وَحَدِّثُوا عَنِّي وَلاَ حَرَجَ وَمَنْ كَذَبَ عَلَىَّ - قَالَ هَمَّامٌ أَحْسِبُهُ قَالَ - مُتَعَمِّدًا فَلْيَتَبَوَّأْ مَقْعَدَهُ مِنَ النَّارِ ‏"‏ ‏.‏
Niambie maana ya "وحدثو عني"
 
Kwanza Quran 45:6 mmeambiwa Quran only Hadith msiziamini

Aya hii pia Quran 4:80 Mohammad amejipa uungu - Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.

Hii aya Quran 59:7 Mohammad amejipa Umungu wa duniani anachowaambia mfuate na anachokataza muache.
Mohammad ni mungu wenu na Allah ni mtumwa wa Mohammad.
Quran 69:40 Quran ni maneno binafsi ya Mohammad إِنَّهُ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ indeed, the Qur’an is the word of a noble
Wewe kiumbe wa Mr Brian Deacon(Yesu), Qur'an haipingi aya zake.

Kasome Suratul An-Najm aya za mwanzo tu utaona Allah anavyoeleza Kuwa Mtume Muhammad ﷺ hasemi kwa matamanio yake binafsi bali yale anayosema ni wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Messenger.Quran 81:19 pia mtume wenu waarabu walikuwa wanamcheka na Hadithi za mababu wa kale wakamuambia tunazijua zote tena Kwa ufasaha akaona oh noma akaweka aya kuwa Quran no maneno yake mwenyewe sio Allah.

(83)Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death
Sahih al-Bukhari 4432
Ibn ‘Abbas amesema: “Mtume alipokuwa kwenye kitanda chake cha kufa na wapo baadhi ya watu ndani ya nyumba yake, alisema: Njooni karibu nitakuandikieni jambo ambalo nyinyi hamtapotea baada yake. Baadhi yao (yaani maswahaba zake) walisema, 'Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ni mgonjwa sana na nyinyi mnayo Kitabu (Kitakatifu) cha Mwenyezi Mungu kinatutosha.' Basi wakakhitalifiana watu wa nyumba hiyo na wakaanza kuzozana baadhi yao wakasema: Mpeni maandishi ili akuandikieni jambo ambalo baada yake hamtapotea. na wengine wakasema kinyume chake. Basi yalipozidi maongezi yao na kutofautiana kwao, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) alisema: “Simameni, Ibn Abbas alikuwa akisema: “Hakika ilikuwa ni bahati mbaya (msiba mkubwa) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alizuiliwa kuandika kwa ajili yao kwa sababu ya tofauti zao na kelele zao.

and Mohammed alisema mzifute hadithi

Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’iyd al-Khudriy kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Usiandike chochote kutoka kwangu; mwenye kuandika chochote kutoka kwangu isipokuwa Qur-aan, basi na aifute na anihadithie, kwani hakuna ubaya katika hilo. (Imepokewa na Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)

It was narrated from Abu Sa’eed al-Khudri that the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Do not write anything from me; whoever has written anything from me other than the Qur’aan, let him erase it and narrate from me, for there is nothing wrong with that.” (Narrated by Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)
 
Yah me huwa nafata kilichoandikwa na sio kuvutia ninachoona kinafaa. Yesu alituambia tukiwa na Imani japo mfano wa mbegu ndogo kabisa ya haradari tutaweza hamisha mlima mkubwa from place to place.
And Aliwaambia wayahudi vitabu vyao vinawatambua kuwa ni Miungu, truth we are gods without faith alikuja kutuamsha tujijue ila bado tupo usingizini
Hoja yetu ni kwamba wewe umesema kuwa Allah hawezi kuwa na watoto kwa hiyo sio Almighty mimi nikakuuliza yesu anaweza kuwa mwanamke ukasema akitaka anaweza sasa na mimi nikisema Allah akitaka anaweza nitakuwa nimekosea?
 
Kwani mungu ana jinsia?
Baba yake Yesu ametuambia tukisali tusema Baba yetu uliye juu mbinguni. So ni Male.
Ukija kwenye biblia Inasema tufanye mtu kwa mfano wetu, Adam akaumbwa ni Male, sijui kwa Eva maybe miungu wa mfano wa mwanamke ipo

Wenu Allah Quran inamuita He, mean ni Male, lia Kwa kauli za mtume wenu ni ambiguous kufananisha na Dajjal means ni male, kusema anavaa hijab ni technical fault means female, na kusema labda awe na Thuwaiba ili kupata mtoto ni male, kusema asex na malaika nalo ni technial fault female. Na kusema firdaus ukitaka chochote unapata inaama watakao taka kusex nae wataweza means male female.
Allah kumuumba Adam Kwa mfano wa sura yake taswira, mean male.

Allah the moon goddess aliwakataa mabinti zake Al uzza, Al Lat na Manat, kupitua female sun goddess
Halo Allah ni Male.

Malibu ya dini yanajibika kwa dini hizo hizo.
 
Hapa kila ulichoandika umetoa kwenye hadithi za uongo
 
Allah the moon goddess aliwakataa mabinti zake Al uzza, Al Lat na Manat, kupitua female sun goddess
Halo Allah ni Male.
Allah hana mabinti
Au sio wewe uliyesema hawezi kuwa na watoto mbona unajichanganya?
 
I
Yesu ni Male but akitaka by his choice anauwezo wa kuchange shape
Inaelekea akili yako haiko sawa.
kwajibu hilo niwazi Yesu anaweza fanya mapenzi coz
"Yesu ni Male" = nakusema Yesu ana jinsia.

Hakuna namna awe na mdomo uongee, pua inuse, ulimi uhonje, macho yaone, mikono ishike afu akose boo na isit...e?

Na ukisema aweza change shape kuwa female it means atakuwa na uke.
Na utafanya kazi km viongo vingine(UTALIWA).
 
Hoja yetu ni kwamba wewe umesema kuwa Allah hawezi kuwa na watoto kwa hiyo sio Almighty mimi nikakuuliza yesu anaweza kuwa mwanamke ukasema akitaka anaweza sasa na mimi nikisema Allah akitaka anaweza nitakuwa nimekosea?
Sijasema mimi yeye ndie amesema hawezi kuwa na mtoto
Quran 39:4
Al-Barwani
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba. Subhanahu, Ametakasika na hayo! Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda atakalo

Quran 6:101
Muumba wa mbingu na ardhi. Angewezaje kuwa na mwana na hali Yeye hana mchumba na ndiye aliyeumba kila kitu? Naye ni Mjuzi wa kila kitu.

Badee’us samaawaati wal ardi annnaa yakoonu lahoo waladunw wa lam takul lahoo saahibatunw wa khalaqa kulla shain’inw wa Huwa bikulli shai’in ‘Aleem
 
Allah hana mabinti
Au sio wewe uliyesema hawezi kuwa na watoto mbona unajichanganya?
Sio Mimi huo ni uislam na Quraish, waarabu before uislam Allah aliabudiwa na Quraish na Hao ni mabinti zake aliwakana sababu mkewe kila akizaa ni wakike tu na hao mabinti waliabudiwa na Arabs na Mtume wenu pia kabka ya uislam na baada ya uislam. Unataka Aya ba Hadithi?
 
Baba yake Yesu ametuambia tukisali tusema Baba yetu uliye juu mbinguni. So ni Male.
Ukija kwenye biblia Inasema tufanye mtu kwa mfano wetu, Adam akaumbwa ni Male, sijui kwa Eva maybe miungu wa mfano wa mwanamke ipo

Wenu Allah Quran inamuita He, mean ni Male,
IQ ndogo sana:
Kwani kingereza kina neutral personal pronoun(sio she or he) ? Au unataka waseme "It" kwa Allah ?
lia Kwa kauli za mtume wenu ni ambiguous kufananisha na Dajjal means ni male
Wapi kauli ya mtume kumfananisha Allah na Dajjal ?
, kusema anavaa hijab ni technical fault means female, na kusema labda awe na Thuwaiba ili kupata mtoto ni male, kusema asex na malaika nalo ni technial fault female. Na kusema firdaus ukitaka chochote unapata inaama watakao taka kusex nae wataweza means male female.
Tafuta maarifa sahihi umjue Allah cz mtandaoni kuna noise nyingi.
na hadithi za uislam zina utaratibu wake so kila hadith ni katika mafunzo ya uislam unatapeliwa AMKA.
Allah kumuumba Adam Kwa mfano wa sura yake taswira, mean male.
Usilete tamaduni za kikristo kujibu hoja za uislam
Allah the moon goddess aliwakataa mabinti zake Al uzza, Al Lat na Manat, kupitua female sun goddess
Halo Allah ni Male.
Al uzza, Al lat, na Manat ni Miungu maarufu makkah kabla ya uislam hata Rasurullah aliikuta. Waliiman kindaki ndaki waliita mabint wa Allah na ndio chanzo cha kushushwa aya katika Suratul Iqhras.
Allah akisema "Hakuzaa na wala hakuzaliwa"

Back
Top Bottom