Haupo sawa nadhani unamatatizo ya kuelewa pia unaona aibu kuona uislam ukianikwa uchi wake, Mimi unasema nacopy unataka nitoe kichwani kwangu majibu? Mimi Kola kitu nakuonesha Malibu from source pure muslims, huwa nakushangaa wewe kujifanya unajua tu na huna source ukiulizwa. Nishakuuliza sana hujibu kuwa wewe ni suni unafuata while ya Sahaba gani wa Mohammad hujibu kama hujui unasema tu yoga wa nini?
Ili kupunguza majibizano ukisema sect yako tunaanza kubase maswali na Malibu ya uislam maana huwezi kataa. Debate inakuwa poa. Nakupasua vizuri.
Islam bila Hadithi ni hamna kitu and wasomi wa kiislam wanasena hata hadith dhaifu hazikataliwi, and unaposema naleta hadithi fake ni easy unaweka grade kuipinga.
And Mtume wenu alisema msifuate hadith zake mfuate only Quran, na Quran inasema mmfuate muobey mtume wenu na Allah hiyo contradiction mnayo kwenye kila kitu.
Hadith za mtume wenu ndio kasema Dajjal no powerful only Jusus ndio anamuweza ukikataa unakuwa hau obey mtume wako so unakuwa no longer muslim same kama Aisha na Hafsa hawakumuheshimu mohammad. Allah akasema atawa replace na wake waislam na wanaoswali.
Dua hazina kazi Allah keshapanga ujio wa Dajjal na kila atakachofanya , dua for what haswa maana Dajjal so kwamba anakuja kuua watu lah hasha yeye ni kukusanya watu wamuamini kama mwokozi miujiza,kuponya magonjwa yote hadi walemavu na kuletea watu utajili n.k
Kamsome tena according to Mohammad amemfananisha na Allah kasoro chongo.
Quran ni page ambazo hazieleweki so muslim ikabidi watafsiri kila Aya ndio ndugu wa mtume akapewa kazi hiyo inn Abbas na wengine so ukiniuliza hilo swali nitasoma tafsir ya mmoja wa mwanazuoni, hapo ndio unaniambiaga eti mbishi n.k swali langu kwako unaamini tafsir ya nani ili twende sawa.
Not holly imejaa dhambi quran kuruhusu kudanganya,kuiba,kuzini na mateka n.k Dhambi inakutoa kwenye u Holly
Almight ni yenye kuweza kila kitu, Allah hawezi kuwa na Mtoto
Hii naomba niweke Comment maana Kuna uongo, katika aya Mutawaffika ni kusababisha kifo cha muda kama kupoteza fahamu sio mawt umauti kuamka kwake ni hadi Kiama kufufuliwa, ndio maana Alka anadai hata ukilala umekufa and ukiamka amekufufua.
Quran anayeongea ni Allah so hawezi kusema pale Allah anaposema ewe Yesu =tumrekebishe -"Ewe Yesu nitaondosha uhai wako kisha nitakutakasa alafu nitakufugua na kukunyakua hadi kwangu, nitawafanya wafuasi wako wawe juu dhidi ya wanaokufuru kina
Adiosamigo mnaopinga fidaus Yesu yupo hai kama Kuna dead body basi miili haiwezi ishi kule. Mkienda mtasex vipi?
Hiyo Aya 3:56 inakuhusu 100% were mpingaji wa Allah.
Haijaandikwa hivyo
Ndugu yako Zakir Naik Kule Naigeria alijibu hilo swali wanaijeria wakashangilia kuwa eti Yesu atawahukumu Christians kwakumuita Yesu no Mungu wewe unakataa sijui upo ignorant au ukorofi tu, mtume wenu amesena Yesu atatoa hukumu ya Haki kwa humankind, (hakaman eadlaan) atavunja msalaba ataondosha Jazya ataharibu mali n.k
Je mudy ni muongo? Sahih hadith, Sahih al-Bukhari 3448
حَدَّثَنَا إِسْحَاقُ، أَخْبَرَنَا يَعْقُوبُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، حَدَّثَنَا أَبِي، عَنْ صَالِحٍ، عَنِ ابْنِ شِهَابٍ، أَنَّ سَعِيدَ بْنَ الْمُسَيَّبِ، سَمِعَ أَبَا هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ، لَيُوشِكَنَّ أَنْ يَنْزِلَ فِيكُمُ ابْنُ مَرْيَمَ حَكَمًا عَدْلاً، فَيَكْسِرَ الصَّلِيبَ، وَيَقْتُلَ الْخِنْزِيرَ، وَيَضَعَ الْجِزْيَةَ، وَيَفِيضَ الْمَالُ حَتَّى لاَ يَقْبَلَهُ أَحَدٌ، حَتَّى تَكُونَ السَّجْدَةُ الْوَاحِدَةُ خَيْرًا مِنَ الدُّنْيَا وَمَا فِيهَا ". ثُمَّ يَقُولُ أَبُو هُرَيْرَةَ وَاقْرَءُوا إِنْ شِئْتُمْ
{وَإِنْ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ إِلاَّ لَيُؤْمِنَنَّ بِهِ قَبْلَ مَوْتِهِ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكُونُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا}.
Mtume wako akiongea unadai ni uzushi niliweka hadi hadith huamini unadai uislam unakataza dhulma wakati non muslim Hana Haki mbele ya muislam hata jizya ni dhulma Quran 9:29, mtume wenu alikuwa anaruhusu dhulma kisa non muslim eti no maadui wa Allah, Kule Mecca na madina wayahudi na wakristo walichoka kodi ya jizya Kuna waliotaka wawe muslim wakakataliwa kisa caliphate watapata wapi pesa hahaha,
Niliuliza kwa kutumia logic ya maswali yunu muslims mnavyouliza '' show me wapi Yesu kasema mimi ni Mungu mniabudu' hivyo Nami 'nikakuulizeni ni wapi katika Quran Yesu (Issa) amesema mwenyewe mimi ni Al Massiah, hukuweza kujibu leo umabadilisha swali hahaha
Massiah ni kiarabu? Hahaha I told you Kila Mara acha kufuata akili za watu wa Dawah hawana akili wale ni wapotoshaji tu kila wanaloongea ni uongo hata wakitoa aya soma ya nyuma yake na ya mbele yake utakuta ni out of contents, Massiah ni Mpakwa Mafuta ya upako katika uyahudi walipakwa waliokuwa viongozi wa dini na wafalme chain ya kingship kusimikwa ni Jesus according to Isayah Yesu ndie alitarajiwa na wayahudi awe king wao awaokoe na Tawala za nje waishi Kwa raha kumbe Yesu alikuja tofauti na walivyodhania kumbe ufalme wa kiroho milele na free of dhambi.
Mtume wenu na Allah hawajui Aramaic hata tafsiri story za mitume wa kiyahudi alitafsir Waraqah ibn Nawfal
Mshaambiwa mkipatwa na shaka katika imani mtuulize watu wa kitabu. Maneno ya Aramaic kigiriki na kiebrania mtume wenu na Allah hawakujua tafsir, Mudy angejua maana ya Jina Zachariah angemreplace pia Kwa another name na mngsema ni kiarabu.