Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Wamemuelezea yukoje huyo Yesu au anafanana na yule wa kwenye Muvi?
 
Kwa sbb ni nyakati za mwisho na Mungu hataki waangamie.
Na Yesu ndie njia

Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
 
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
Yesu ndio Issa sasa mlibadiri badiri majina, akati wana majina yao walipewa na wazazi wao.

Hilo jina la Yesu ni wazee wa Tabora ndio walimpa nasio jina halisi alopewa.

Mtu anajenga hoja za hovyo ili tu ampe umungu kiumbe cha MUNGU.

Sasa hivi kunae viongozi wa kikristo wanasema mpka sisi binaadamu ni miungu.
Yani mambo yenu yanaenda kihuni kihuni tu
 
Hivi mpaka lini mtaendelea kujidhalilisha??

Wakristo wanaoishi arabuni wakiwa wanaswali unadhan Yesu wanamtamka kwa jina gani??
Wanamtamka kwa jina la Issa....
Wakristo wanaoishi Israel Yesu wanamtamka kwa jina la Yeshua....
Wakristo wanaoishi Ulaya wanamtamka kama... Jesus

Wabongo mnamuita ... Yesu

Yani kuwaheshimu wakristo inabidi usiwasikilize... sababu ukifanya hvyo kidogo tu, lazima uwadharau maana huwa wanaongea ujinga bila kuwaza kabisa
 
Kumbe jehovah ana mungu wake
Allah sio mmoja na yeye huwa ana Mungu zake wengi - Soma Quran muandiko wa Allah akitamka mwenyewe

Quran 70:40​

Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza​

​

Quran 50:1 Allah anaapa kwa Nyota zinazoanguka so Allah Mungu wake ni Nyota pia​

​

Quran 33:56 Allah na Malaika wanamuombea Baraka Mohammad kwa Mungu wa Allah​

Yesu ndio Issa sasa mlibadiri badiri majina, akati wana majina yao walipewa na wazazi wao.

Hilo jina la Yesu ni wazee wa Tabora ndio walimpa nasio jina halisi alopewa.
Enh
Mtu anajenga hoja za hovyo ili tu ampe umungu kiumbe cha MUNGU.

Sasa hivi kunae viongozi wa kikristo wanasema mpka sisi binaadamu ni miungu.
Yani mambo yenu yanaenda kihuni kihuni tu
Binadamu kuitwa Mungu haikuanzia kwa Wakristo ni Biblia ndio inasema hivyo after kula Tunda pale Eden Biblia inasema tizama wamekuwa kama sisi.

Even Jesus aliwaambia Viongozi wa wayahudi akisema vitabu vyenu vimeandika nyiynyi ni miungu sasa mnataka kunihukumu kwa kusema mimi ni Mwana wa Mungu hivyo ni Mungu pia
 
Allah sio mmoja na yeye huwa ana Mungu zake wengi - Soma Quran muandiko wa Allah akitamka mwenyewe

Quran 70:40​

Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza​

​

Quran 50:1 Allah anaapa kwa Nyota zinazoanguka so Allah Mungu wke ni Nyota pia​

​

Quran 33:56 Allah na Malaika anamuombea Baraka Mohammad kwa Mungu wa Allah​

Kwa hiyo umeshindwa kujua kuwa huyo Mola wa nyota ndiye yeye mwenyewe au
 
Enh

Binadamu kuitwa Mungu haikuanzia kwa Wakristo ni Biblia ndio inasema hivyo after kula Tunda pale Eden Biblia inasema tizama wamekuwa kama sisi.

Even Jesus aliwaambia Viongozi wa wayahudi akisema vitabu vyenu vimeandika nyiynyi ni miungu sasa mnataka kunihukumu kwa kusema mimi ni Mwana wa Mungu hivyo ni Mungu pia
Kwa hiyo yesu ni mungu halafu pia ni mwana wa Mungu kwa wakati mmoja?
 
Wewe mkristo fake bibilia zenu zinasema Yesu kafa kabeba dhambi zenu kumbe bado yuko hai 😆
It's good ukiwa unaweka aya kusaidia wasomaji kuliko ujuaji Peter 2:24
Huna la Kucheka Muslim Dhambi zenu zinabebwa na vingi sana kama Hujui Uislam i told usumbufu wako mimi natoa faida tu sababu sipendi uongo uongo ulidhani kutaka kuni block utafaidika nukufahamishe ni hasara ungepata.

Kuna vichekesho vingi sana katika uislam ambavyo mnatucheka huku kwenu vimejaa kuhusu intercession Quran yenyewe Siku ya kiama itakuwa kama Mtu, Jiwe la Kaaba litawekewa macho na na mdomo litatoa ushahidi kwa walioligusa na kuwatetea kisha unasepeshwa hadi firdaus.

Wajua Mtume wenu aliwaambia kuwa Siku ya kiama Allah wenu atachukua Dhambi zenu na kuwabebesha Wakristo au wayahudi kisha ewe musilm unakuwa huna dhambi unaingia Firdaus hahahaha So sisi ni Mwokozi kwenu yaani sisi ndio Yesu kwenu tutabeba dhambi zenu woyiii

Sahih Muslim 2767d
Abu Burda reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Watakuja watu miongoni mwa Waislamu Siku ya Kiyama wakiwa na madhambi makubwa kama mlima, na Mwenyezi Mungu atawasamehe na atawaweka Mayahudi na Wakristo badala yao. (Ninavyofikiri), Abu Raub akasema: Sijui ni nani mwenye shaka. Abu Burda akasema: Nilimsimulia Umar b. Abd al-Aziz akasema: Je, ni baba yako aliyekusimulia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Nikasema: Ndiyo.

There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians. (As far as I think), Abu Raub said: I do not know as to who is in doubt. Abu Burda said: I narrated it to 'Umar b. 'Abd al-'Aziz, whereupon he said: Was it your father who narrated it to you from Allah's Apostle (ﷺ)? I said: Yes.
Biblia zinathibitisha kifo cha Yesu. Injili za Agano Jipya (Mathayo, Marko, Luka, na Yohana) zote zinaelezea matukio ya kusulubiwa kwa Yesu..

Au atajifufua arudi tena.
Tuna amini Alikufa and alifufuka ndio imani yetu, there is any problem hapo maana kama Biblia ilithibitishwa na Quran yenu means tupo na imani ya ukweli even Allah kusema hakufa yeye but mashahidi walioona ni mwili wa Yesu msalabani na kifo chake na kufufuka kwake hii yenu after miaka 600 Allah kusema hakuwa Yesu ndio tunasema Allah ni mdanganyifu magirini Muongo la laghai, na ulaghai wake akabadilisha majina ya mitume akiwaambieni nyinyi.

Kwa logic ya Allah hata Qutham kumuita Mohammad jina ambalo linamfiti Allah yaani Wakuabudiwa kama mnaamini Mungu ni Mmoja Mohammad ni wa kuabudiwa.
Wewe wachana na Kanga za kanisa Dijal kwa Waislam wale wanao itwa Muumini wanamuona kabisa unless wawe makafiri kama wewe.
Kafiri ni mpingaji na wewe ni kafiri na nilipokukamata ni pale Jua kuzama kwenye tope la chemchem ulimpinga ukafiri wako huo.
Sisi ni dua tu hizo Story za Yesu kurudi kuwadangan'yeni wajinga sio mimi.
Dua Gani wakati unaambiwa Dajjal ana nguvu kama za Yesu sasa dua gani hizo ujiepushe nae wakati Dua za Waarabu wa Gaza hazifanyi kazi ndio Dua zimzuie Dajjal hahahaha Dajjal hadi Yesu aje na atayayuka kama chumvi inavyoyayuka kwenye maji
Yesu kisha kufa na bibilia zenu pia zinasema kafa lakini kwa kusulubiwa kama vile nyie hamkumuona Yesu kapaishwa juu mkadhani kafia msalabani.
Sasa una ligi ya ajabu base kwenye imani ya ukristo kuliko kujionesha u mjinga
Ndio hivyo hivyo hamtamuona Dijal sisi tutamuona kandikwa kafiri.
Weka source maana Mtume wenu kasema ana khofu mtachanganyikiwa na Dajjal ila mtambue Mungu wenu hana chongo kama Dajjal ila anafanana kila kitu ndio kumtofautisha na Allah sasa Dua zipi hizo hahahaha
Fitna zake zitajibiwa kwa madua tu.
Dajjal hashikiki kwa Dua za mtumwa wa Allah
Yesu mlisema atarudi mlizani kapaa kama njiwa afu atarudi sio.
Ndio ukristo tuna muamnini Yesu wewe pinga uwe kafiri
Mimi namini Qur'an inavyo sema Yesu kisha kufa na atafufuliwa pamoja na sisi siku ya Kiyama story zingine endeleni kuimba tu.
Una pingana na Quran mbona. Kasome vizuri aya, kama Allah anasema atacouse Kifo chake kisha atamtakasa na kumnyenyua nilikuuliza unaweza ukaitakasa Maiti? and firdaus kuna maiti kule? kama hamna Jesus is still Alive
 
It's good ukiwa unaweka aya kusaidia wasomaji kuliko ujuaji Peter 2:24
Huna la Kucheka Muslim Dhambi zenu zinabebwa na vingi sana kama Hujui Uislam i told usumbufu wako mimi natoa faida tu sababu sipendi uongo uongo ulidhani kutaka kuni block utafaidika nukufahamishe ni hasara ungepata.

Kuna vichekesho vingi sana katika uislam ambavyo mnatucheka huku kwenu vimejaa kuhusu intercession Quran yenyewe Siku ya kiama itakuwa kama Mtu, Jiwe la Kaaba litawekewa macho na na mdomo litatoa ushahidi kwa walioligusa na kuwatetea kisha unasepeshwa hadi firdaus.

Wajua Mtume wenu aliwaambia kuwa Siku ya kiama Allah wenu atachukua Dhambi zenu na kuwabebesha Wakristo au wayahudi kisha ewe musilm unakuwa huna dhambi unaingia Firdaus hahahaha So sisi ni Mwokozi kwenu yaani sisi ndio Yesu kwenu tutabeba dhambi zenu woyiii

Sahih Muslim 2767d
Abu Burda reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Watakuja watu miongoni mwa Waislamu Siku ya Kiyama wakiwa na madhambi makubwa kama mlima, na Mwenyezi Mungu atawasamehe na atawaweka Mayahudi na Wakristo badala yao. (Ninavyofikiri), Abu Raub akasema: Sijui ni nani mwenye shaka. Abu Burda akasema: Nilimsimulia Umar b. Abd al-Aziz akasema: Je, ni baba yako aliyekusimulia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Nikasema: Ndiyo.

Sahih Muslim 2767d
Abu Burda reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians. (As far as I think), Abu Raub said: I do not know as to who is in doubt. Abu Burda said: I narrated it to 'Umar b. 'Abd al-'Aziz, whereupon he said: Was it your father who narrated it to you from Allah's Apostle (ﷺ)? I said: Yes.

Tuna amini Alikufa and alifufuka ndio imani yetu, there is any problem hapo maana kama Biblia ilithibitishwa na Quran yenu means tupo na imani ya ukweli even Allah kusema hakufa yeye but mashahidi walioona ni mwili wa Yesu msalabani na kifo chake na kufufuka kwake hii yenu after miaka 600 Allah kusema hakuwa Yesu ndio tunasema Allah ni mdanganyifu magirini Muongo la laghai, na ulaghai wake akabadilisha majina ya mitume akiwaambieni nyinyi.

Kwa logic ya Allah hata Qutham kumuita Mohammad jina ambalo linamfiti Allah yaani Wakuabudiwa kama mnaamini Mungu ni Mmoja Mohammad ni wa kuabudiwa.

Kafiri ni mpingaji na wewe ni kafiri na nilipokukamata ni pale Jua kuzama kwenye tope la chemchem ulimpinga ukafiri wako huo.

Dua Gani wakati unaambiwa Dajjal ana nguvu kama za Yesu sasa dua gani hizo ujiepushe nae wakati Dua za Waarabu wa Gaza hazifanyi kazi ndio Dua zimzuie Dajjal hahahaha Dajjal hadi Yesu aje na atayayuka kama chumvi inavyoyayuka kwenye maji

Sasa una ligi ya ajabu base kwenye imani ya ukristo kuliko kujionesha u mjinga

Weka source maana Mtume wenu kasema ana khofu mtachanganyikiwa na Dajjal ila mtambue Mungu wenu hana chongo kama Dajjal ila anafanana kila kitu ndio kumtofautisha na Allah sasa Dua zipi hizo hahahaha

Dajjal hashikiki kwa Dua za mtumwa wa Allah

Ndio ukristo tuna muamnini Yesu wewe pinga uwe kafiri

Una pingana na Quran mbona. Kasome vizuri aya, kama Allah anasema atacouse Kifo chake kisha atamtakasa na kumnyenyua nilikuuliza unaweza ukaitakasa Maiti? and firdaus kuna maiti kule? kama hamna Jesus is still Alive
Kwa Mujibu wa Uislamu Isa bin Maryamu hajawahi kufa mpaka sasa ila yupo mbinguni na atarudi karibu na kiama kisha ndo atakufa
 
Ndio maana 96% ya watu wanaletaga mada za hakuna Mungu, hakuna habari za dini na navitu kama hivyo huwa ni watu wenye asili ya kikristo sababu ya utombo kama huu.

Yani umeandika makala kusema siku ya kiama jiwe la al'qaaba litatoa ushahidi au Qur'an itakuwa kama mtu.
Katika namna ambayo huamini kama inawezekana.

Yani wenye hoja za hamna Mungu wakikuta upuuzi wako watakasirika saana kugunduwa kuna wapuuzi kama nyie afu hamkubaliani na hoja zao

Labda nikwambie kitu wewe Mr MUNGU(sijui ni mungu wavitu gani ila kuna mahala ulinijibu na wewe ni mungu kutokana na mafundisho yenu).

Ulitakiwa umjibu kwa hoja zinazojengwa na Aya katika Qur'an mfano ulivyotoa hadith kutoka kwa Abu Burda, Japo ni hadithi ambayo wanazuoni wameieleza tofaut na ulivyoielewa na jambo hilo kipind cha Uhai wa Rasurullah, Allah alishusha aya wazi wazi "Surah Al-An'am 6:164" ikieleza kila mtu na dhambi zake.

Au ulivyotoa hoja zako niliona somewhere ukisema umenukuu mahali kwamba "Allah anaomba" ulikuwa na aya aya umezinukuu nukuu MashaAllah mpaka raha nivile tu umekosa akili ya darasa la pili kuzielewa zile Aya maana ziko wazi na haziitaji Imani kuelewa

Ungefanya hivyo kupinga uliyoyasema kwamba Qur'an itawa mtu au jiwe litawa shahid kwa kutafuta maandiko mengine yanayopingana na hilo.

Nasio uattack katika muktadha ambao unaendelea kumpa nguvu anae amini hakuna Mungu
 
Hivi hizi Injili ambazo zinatokana na kipindi cha awali cha Ukristo kabla na wakati wa kuimarika kwa imani ya Utatu mbona hamzitumii “Injili apokrifa” au "Injili zilizofichwa" na baadhi yao zilitumika na Wakristo wa awali waliokuwa hawakubaliani na mafundisho ya baadaye ya Utatu au uungu wa Yesu.

Injili hizi
1. "Injili ya Tomaso" (Gospel of Thomas)

2. "Injili ya Barnaba"

3. "Injili ya Ebionites"

4. "Injili ya Wamisri" (Egyptians Gospel)

Baada ya hapo makanisa ya serikali yalipokea tu maandiko yaliyoendana na imani hiyo.
Injili zisizoendana zilikataliwa, kufichwa au kuharamishwa.

Hivyo, Injili nyingi zisizotambuliwa rasmi leo zinatoka kipindi cha kabla ya kukubalika rasmi kwa imani ya Utatu. Watafiti wa kisasa kama "Bart Ehrman". "Elaine Pagels" na "James D. Tabor" wamelifanyia kazi jambo hili kwa kina.

5. "Injili ya Filipo" (Gospel of Philip)
Nimekuuliza wewe na uislam wako unaamini Injil ipi?

i need to know maana Allah ali confirm Injili ni ipi kati ya hizo? maana unatakiwa kufahamu ukristo unafuata nini na Uislam unafuata Injili ipi?
 
U need to know nini mr Mungu wewe nenda kalale
 
Kwa Mujibu wa Uislamu Isa bin Maryamu hajawahi kufa mpaka sasa ila yupo mbinguni na atarudi karibu na kiama kisha ndo atakufa
Wewe katika uelewa wa Uislam upo dhaifu. Sema uki deal na mimi uta learn something new ambavyo hujawahi visikia nyie Waislam ni victims mmedanganywa sana but unaweza ukatumia trick ukafanikiwa kuujua uislam then utaachana nao. Islam bila uongo haundani.

Most of Muslims ambao hawajui Kiarabu cha kuandikwa na kusikia wapo kwenye janga kuu. Me najaribu sana kuwasaidia japo ni kazi kubwa sana naambulia Matusi na kashfa.

Maislam kwenye elimu ya juu juu wamepumbazwa kuwa Yesu hakufa kabla ya kunyenyuliwa Mbinguni hai na Quran wametafsiliwa kwa lugha za uongo- Kama unaupenda uislam stop yaani acha kabisa kufuata tafsiri ulizozizoea zimeficha uongo na aibu ya Allah kuwa si lolote si chochote na hana uwezo wa aina yeote na kiufupi Mungu wenu ni mtu aliyeitwa Qutham kisha akajiita Wakuabudiwa AKA Mohammad.

Nakupa Aya inayosema Allah ali couse death for Issa kisha yesu akafufuka and akamnyenyua juu mbinguni tafsir hizo zilizofichwa zimehadaa Waislam miaka mingi zimesababisha chuki na maugomvi so uongo ni nguzo katika uislam = alafu kwa hili Allah anakubali kuwa alidanganya na kujisifia kuwa yeye ni bingwa wa uongo - Best of deceiver Quran 3:54

Quran 3:55

Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
إِذۡ قَالَ ٱللَّهُ يَٰعِيسَىٰٓ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَجَاعِلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوكَ فَوۡقَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرۡجِعُكُمۡ فَأَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ فِيمَا كُنتُمۡ فِيهِ تَخۡتَلِفُونَ

So Allah alisababisha kifo cha Yesu then yesu alifufuka na alimtakasa kisha akamnyenyua juu

Kwa Aya hii Ukristo upo sawa kwani Yesu alikufa msalabani na alifufuka na kupaa zake.
So Allah ameshindwa kuweka ushahidi kufufka kwa Yesu na Yesu alisema yeye aliamua kufa na kufufuka . So Allah kwa kujiapiza yeye ni muongo imani ya Kikristo inasimama wima bila upingamizi maana ina ilikuwa na Mashahidi wengi Wayahudi,Waroma na Wagiriki Almenian na Assriya. Kwa Allah hakuna shahidi hata punje tena madai kayatoa after miaka 600
 
watu weupe kichwani vilaza hamtakiwi kuongea chochote wewe soma tu upate elimu.
Nyinyi wafia dini ndio vilaza mmekamata kwenye huu upupu wa hekaya za kale kwa sababu formal education ilikupita kushoto,
 
Ndio maana 96% ya watu wanaletaga mada za hakuna Mungu, hakuna habari za dini na navitu kama hivyo huwa ni watu wenye asili ya kikristo sababu ya utombo kama huu.
mtu anakuwaje na Asili ya Ukrito kwa mfano? dini za uislam na ukristo zimetochangiwa zaidi na Dini ya Uyahudi na Wakristo wa Kwanza ni Wayahudi so non of jews huwezi sema wana asili ya Ukristo.
Kuamini uwepo wa Mungu ni imani and watu hawako sure Mungu yupi ni wa Kweli and wanapima maandiko yana logic au lah kisha wanaamua wenyewe. atheist wanatoka kwenye dini yeyote.
Yani umeandika makala kusema siku ya kiama jiwe la al'qaaba litatoa ushahidi au Qur'an itakuwa kama mtu.
Katika namna ambayo huamini kama inawezekana.
Katika uislam mmeaminishwa hivyo sababu hayo maneno aliyasema mtume wenu kipindi ameugua ukichaa, alikuwa akisema Mawe, miti yanamuambia Asalam Aleykum akawa akisema amesex na wake zake wote kwa usiku mmoja hadi Aisha mkewe alishangaa akasema hajasex nae ndipo wakajua ukichaa umempanda. sasa Kusema Jiwe la Kahaba litawekewa macho na mdomo kutoa ushahidi kwa walioligusa mimi kwangu naona crazy thing.
Yani wenye hoja za hamna Mungu wakikuta upuuzi wako watakasirika saana kugunduwa kuna wapuuzi kama nyie afu hamkubaliani na hoja zao.
Sina uwezo wa kuzuia mtu kukasirika ila kusema Allah hayupo nakubaliana kwa hoja ambazo zipo ni fictions maana uiislam wote ni same fictions, Mohammad kutokewa na Jibril no shahidi, Mohammad hajamuona Allah, Mohammad anasema Allah hana Spirit iila ana body parts so ni statue kama vinyago vingine au sanamu maana sanamu bila roho imagine liwe Mungu!
Labda nikwambie kitu wewe Mr MUNGU(sijui ni mungu wavitu gani ila kuna mahala ulinijibu na wewe ni mungu kutokana na mafundisho yenu).
Mwanzo 3:22 Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

Ukisoma hiyo Aya utaona kuhahamu kwetu kule kulitufanya tuwe kama sasa hivi tulivyo na akili mimi najua kuna siri ndefu upungufu wa maelezo na siri kuu alikuwa nayo Yesu wayahudi walisumbua Yesu akasema nina mambo mengi ya kuwaambieni ila mtakufa katika dhambi na Baba yenu alikuwwa ni muuaji kaua watu wengi sana, unajua why Katika uislam mnaamini Adam aliumbwa Firdaus japo story yake inavichekesho according to mtume wenu? sisi tunaamini Bustanini as laboratory yake sometime inashangaza Quran imeconfirm nini kwetu tunaona imejichomekea tu sifa ila haijui lolote.

Ndio imeandikwa hivyo we have to accept and kama wewe ni Muslim Quran imeithibitisha Torat na Injil (Bible)kuwa kashusha Allah. Kitab so Uyahudi na Ukristo kauanzisha Allah. lakini muslim mnaupiga vita haswa hamjui mnampinga Allah. accoding to Quran Tutakutana firdaus najua utataka Aya
Ulitakiwa umjibu kwa hoja zinazojengwa na Aya katika Qur'an mfano ulivyotoa hadith kutoka kwa Abu Burda, Japo ni hadithi ambayo wanazuoni wameieleza tofaut na ulivyoielewa na jambo hilo kipind cha Uhai wa Rasurullah, Allah alishusha aya wazi wazi "Surah Al-An'am 6:164" ikieleza kila mtu na dhambi zake.
Hiyo aya inapingana na uislam kwani Allah anasema yeye ndie anaongoza dhambi zenu kwani ameshapanga na ameandika kwenye book lake mustakabali wa maisha yenu yote so dhambi zoe ni za Allah amekupangia uta sex mara kadhaa katika maisha yako yote,utaiba,utadanganya kwenda motoni au kwenda firdaus si ule msemo unawakumbusheni kila siku uitwao Inshallah si ndio Hadith ya Musa na Adam kwenye debate yao unaijua? Musa alimlaumu Adam kwa makosa yake amaesababisha sisi tufukuzwe firdaus Adama akasema usinilaumu mimi Allah ndie alipanga ifanye dhambi miaka 40 kabla hajaniumba Adam akashinda Debate adam akashinda Debate Adam akashinda Debate yaani mtume wenu alikuwa anarudia mara tatu kumpa ushindi Adam sasa labda Musa alikuwa myahudi hahaha
Au ulivyotoa hoja zako niliona somewhere ukisema umenukuu mahali kwamba "Allah anaomba" ulikuwa na aya aya umezinukuu nukuu MashaAllah mpaka raha nivile tu umekosa akili ya darasa la pili kuzielewa zile Aya maana ziko wazi na haziitaji Imani kuelewa
Quran 33:56
Zinaeleweka mbona Tafsiri zenu ndio mnadanganya sana siku hizi ukita neno la kiarabu ndani ya google unapata jibu japo sio accurate sana ila yana nafuu kuliko hizo za english na kiswahili. Hiyo Aya wewe kila utakavyo itafsiri unaharibu sehemu kwa Allah amuombee mtume baraka kwa nani wakati yeye ndie Allah na Quran msemaji ni Allah pekee angesema tu nimekubariki mtume wangu kuliko kuandika Allah anakuombea alafu hapo hapo na Malaika nao wanamuombea baraka Mwahammad for what wakati Allah yupo hapo hapo amalize hii ina make sense? ukitaka kucheka kasome tafsiri mbali mbali duniani wakijitahidi kuficha hii aibu.. ni uthibitisho kuwa Allah sio Mungu ni Mohammad mtengeneza Quran alikuwa akijipamba sema kaharibu sana sababu alikuwa ana talk too much hadi ana haribu. kuna wanaosema Allah pray for na wengine wanasema Pray to M Hijab alisema Allah ana pray to alipingwwa na waislam sijui kama alikiri kukosea wakiwa kwa watu wanatamka tu

Ungefanya hivyo kupinga uliyoyasema kwamba Qur'an itawa mtu au jiwe litawa shahid kwa kutafuta maandiko mengine yanayopingana na hilo.

Nasio uattack katika muktadha ambao unaendelea kumpa nguvu anae amini hakuna Mungu
uislam ni easy sana kwani unapingana wenyewe kwa wenyewe, Quran kwa Quran Hadith kwa Hadith. omba chochote nitakupa data nadhani nimejibu ulipoona sijaweka sawa. kuwa Uislam dhambi zenu zitabebeshwa Wayahudi na Wakristo hata kama ni nyingi kama mlima vipimo vyenu vinachekesha dhambi kama mlima? as if dhambi ni physical thing
 
Back
Top Bottom