Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Sijasema mimi yeye ndie amesema hawezi kuwa na mtoto
Quran 39:4
Al-Barwani
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba. Subhanahu, Ametakasika na hayo! Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda atakalo

Quran 6:101
Muumba wa mbingu na ardhi. Angewezaje kuwa na mwana na hali Yeye hana mchumba na ndiye aliyeumba kila kitu? Naye ni Mjuzi wa kila kitu.

Badee’us samaawaati wal ardi annnaa yakoonu lahoo waladunw wa lam takul lahoo saahibatunw wa khalaqa kulla shain’inw wa Huwa bikulli shai’in ‘Aleem
Ulitakiwa ujibu Yes or No mbona nyie vijana wa Mr Brian Deacon(Yesu) mko nasiasa sana
 
Sio Mimi huo ni uislam na Quraish, waarabu before uislam Allah aliabudiwa na Quraish na Hao ni mabinti zake aliwakana sababu mkewe kila akizaa ni wakike tu na hao mabinti waliabudiwa na Arabs na Mtume wenu pia kabka ya uislam na baada ya uislam. Unataka Aya ba Hadithi?
Lete andiko kuwa Allah ana watoto
 
I

Inaelekea akili yako haiko sawa.
kwajibu hilo niwazi Yesu anaweza fanya mapenzi coz
"Yesu ni Male" = nakusema Yesu ana jinsia.

Hakuna namna awe na mdomo uongee, pua inuse, ulimi uhonje, macho yaone, mikono ishike afu akose boo na isit...e?

Na ukisema aweza change shape kuwa female it means atakuwa na uke.
Na utafanya kazi km viongo vingine(UTALIWA).
Lengo lako ni sex? Jesus according to revelation atakuja kuwa bwana Harus. Naona umepaniki kusikia Allah sio Almighty ndio maandiko menu yalivyo. Madai yote 100% ni ya uongo yapo mdomoni ila ukisoma maandishi ni zero
 
Kigezo chako ni nini kusema Allah sio Almighty
 
Hayo maneno alisema baba yake yesu au yesu mwenyewe?
Wote ni mmoja, Yesu alisema yupo ndani ya baba take na baba yupo ndani mwake

Quran yenu pia inasema Yesu ni Word of Allah hujui? Usiwe kama malaika wa kiislam walihoji uumbwaji wa Adam.
 
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
YESU alikuja Kwa ajili ya watu wote, tena wenye mizigo.
 
Kuwa neno la Allah hakufanyi awe Mungu
Unakuwa Mungu unaweza kila kitu,kuumba,kuponya,kufanya miujiza n.k

wewe ukimsababishia mwanamke mimba mtoto akizaliwa baba snakuwa sio wako? Na sio binadamu?

Allah goddess kasababisha mimba kwakupuliza kwenye farjah ya Maryam mimba ikatungwa mtoto ni wa Allah na anakuwa kind being yake goddess. Allah ataitwa mtoto wa Allah, nimegundua Allah ndie alianzisha tabia za kukataa Watoto wake Issa ni wanne. Wale mabinti wote waliabudiwa goddess
 
Halafu uwe unatoa vitu kwenye maaandiko na sio kejeli kwa nini umuite goddess
 
wewe ukimsababishia mwanamke mimba mtoto akizaliwa baba snakuwa sio wako? Na sio binadamu?

Allah goddess kasababisha mimba kwakupuliza kwenye farjah ya Maryam mimba ikatungwa mtoto ni wa Allah na anakuwa kind being yake goddess. Allah ataitwa mtoto wa Allah, nimegundua Allah ndie alianzisha tabia za kukataa Watoto wake Issa ni wanne. Wale mabinti wote waliabudiwa goddess
Vipi Adam na yeye ni Mungu au?
 
Kigezo chako ni nini kusema Allah sio Almighty
Hana ushahidi wowote wa kuumba,kufufua,kuponya,kufundisha ukweli,busara,
Tunachoshuhudia amehijack kila kitu cha wayahudi na christian na Quraish ,huku akikosea kila kitu, uumbaji kaelezea uongo,uzaliwaji wa Yesu tofauti,wazazi wa mama yake yesu kadanganya,majina ya yesu kaiba,hajui hesabu,anajidsi yeye ni mdanganyifu,alisema atakusanya Quran hadi Leo hajaweza Uthman ndie alusanya,Quran hana muujiza wowote, hana Roho, anajiita Plural Makati ni single person 100%Hana ushahidi na nyie mnasema Shahada bill kuona ni ushahidi wa uongo. Ni mengi hayaishi saa hii.

Ni devil temptations tu hamna kitu c h a kufeel upendo wa Mungu

Kila Aya ni uongo hata sky anasema ameumba kwa mikono yake hahaha
 
Vipi Adam na yeye ni Mungu au?
Allah aliwaambia Malaika wamsujudie Adam au? Ni Shirki? Allah ndie mtenda dhambi kuu wa kwanza

Iblis alikuwa ni jinn akapewa kesi isio yake Allah mdhambi iblis hakumsujudia Adam sababu walioambiwa walikuwa ni Malaika pekee, iblis akakubaliaba na Allah kuwapotosha binadam Allah akakubali ila kwa watu waovu tu, akiwepo mtume wenu aliingiliwa na iblis
 
Back
Top Bottom