Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

uongo,uzaliwaji wa Yesu tofauti,wazazi wa mama yake yesu kadanganya,majina ya yesu kaiba
Yeye kazungumzia masuala ya Isa bin Maryamu na je mimi nikisema biblia imedanganya kuhusu Isa vipi?
 
Quran 6:143-4

Hesabu eight pair za wanyama ucheke hessbu zs Allah.

Kondoo jozi nane, wawili, na mbuzi wawili. Sema: Je! Ameharimisha madume wawili, au majike wawili, au waliomo matumboni mwa majike wawili? Nijulisheni kwa ilimu ikiwa nyinyi ni wakweli.

43 Samaaniyata azwaajim minad da’nisnaini wa minal ma’zis nain; qul ‘aaazzaka raini harrama amil unsaiyayni ammash tamalat ‘alaihi arhaamul unsayayni nabbi ‘oonee bi’ilmin in kuntum saadiqeen

ثَمَٰنِيَةَ أَزۡوَٰجٖۖ مِّنَ ٱلضَّأۡنِ ٱثۡنَيۡنِ وَمِنَ ٱلۡمَعۡزِ ٱثۡنَيۡنِۗ قُلۡ ءَآلذَّكَرَيۡنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلۡأُنثَيَيۡنِ أَمَّا ٱشۡتَمَلَتۡ عَلَيۡهِ أَرۡحَامُ ٱلۡأُنثَيَيۡنِۖ نَبِّـُٔونِي بِعِلۡمٍ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Na katika ngamia wawili, na katika wanyama wawili. Sema: Je! Ameharimisha madume wawili, au majike wawili? Au matumboni mwa majike wawili yana nini? Au mlikuwa mashahidi Mwenyezi Mungu alipowausieni haya? Basi ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu? Kupotosha watu bila maarifa. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu.

44 Wa minal ibilis naini wa minal baqaris nain; qul ‘aaazzakaraini harrama amil unsayaini ammash tamalat ‘alaihi arhaamul unsayaini am kuntum shuhadaaa’a iz wassaakumul laahu bihaazaa; faman azlamu mimmanif taraa ‘alal laahi kazibal liyuddillan naasa bighairi ‘ilm; innal laaha laa yahdil qawmaz zaalimeen


وَمِنَ ٱلۡإِبِلِ ٱثۡنَيۡنِ وَمِنَ ٱلۡبَقَرِ ٱثۡنَيۡنِۗ قُلۡ ءَآلذَّكَرَيۡنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلۡأُنثَيَيۡنِ أَمَّا ٱشۡتَمَلَتۡ عَلَيۡهِ أَرۡحَامُ ٱلۡأُنثَيَيۡنِۖ أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ وَصَّىٰكُمُ ٱللَّهُ بِهَٰذَاۚ فَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبٗا لِّيُضِلَّ ٱلنَّاسَ بِغَيۡرِ عِلۡمٍۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهۡدِي ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ
 
Yeye kazungumzia masuala ya Isa bin Maryamu na je mimi nikisema biblia imedanganya kuhusu Isa vipi?
Weka ushahidi maana katika ukristo hatuna kiumbe kiitwacho Isa ndio maana nasema mudy alihayjack dini mbalimbali kibra ilikuwa Jerusalem mwanzo, alipoona hakubaliki wakimcheka kuwa wanajua hizo story sake ndio akaanza kuchange maneno majina ili asistukiwe, ndio zile aya kuwa Quran ni maneno ya mtume, akaambiwa afanye miujiza akaweka aya eti mitume walishushiwa miujiza watu hawakuamini, ni uongo miujiza yote iliaminika kwa walioiona alibase kwenye uongo zaidi.
 
Yesu ana ushahidi gani kwani?
Yesu anaushahidi kwa thousands of peoples maadui na wasio maadui wagiriki,wayahudi,roman empire,Armenian,Aramaic tribes Assyrian, historian Ethiopian Egyptians n.k

Unaambiwa miujiza iliyoandikwa ni michache, maiti za siku nne zilizoanza kunuka zilirejeshewa uhai,
Islam unasema hadi motto wa nuhu alimfufua mtoto akasema nilijua siku ya watu wote imefika akaambiwa bado rudi kifoni.
 
Quran 6:143-4

Hesabu eight pair za wanyama ucheke hessbu zs Allah.

Kondoo jozi nane, wawili, na mbuzi wawili. Sema: Je! Ameharimisha madume wawili, au majike wawili, au waliomo matumboni mwa majike wawili? Nijulisheni kwa ilimu ikiwa nyinyi ni wakweli.

43 Samaaniyata azwaajim minad da’nisnaini wa minal ma’zis nain; qul ‘aaazzaka raini harrama amil unsaiyayni ammash tamalat ‘alaihi arhaamul unsayayni nabbi ‘oonee bi’ilmin in kuntum saadiqeen

ثَمَٰنِيَةَ أَزۡوَٰجٖۖ مِّنَ ٱلضَّأۡنِ ٱثۡنَيۡنِ وَمِنَ ٱلۡمَعۡزِ ٱثۡنَيۡنِۗ قُلۡ ءَآلذَّكَرَيۡنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلۡأُنثَيَيۡنِ أَمَّا ٱشۡتَمَلَتۡ عَلَيۡهِ أَرۡحَامُ ٱلۡأُنثَيَيۡنِۖ نَبِّـُٔونِي بِعِلۡمٍ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Na katika ngamia wawili, na katika wanyama wawili. Sema: Je! Ameharimisha madume wawili, au majike wawili? Au matumboni mwa majike wawili yana nini? Au mlikuwa mashahidi Mwenyezi Mungu alipowausieni haya? Basi ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu? Kupotosha watu bila maarifa. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu.

44 Wa minal ibilis naini wa minal baqaris nain; qul ‘aaazzakaraini harrama amil unsayaini ammash tamalat ‘alaihi arhaamul unsayaini am kuntum shuhadaaa’a iz wassaakumul laahu bihaazaa; faman azlamu mimmanif taraa ‘alal laahi kazibal liyuddillan naasa bighairi ‘ilm; innal laaha laa yahdil qawmaz zaalimeen


وَمِنَ ٱلۡإِبِلِ ٱثۡنَيۡنِ وَمِنَ ٱلۡبَقَرِ ٱثۡنَيۡنِۗ قُلۡ ءَآلذَّكَرَيۡنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلۡأُنثَيَيۡنِ أَمَّا ٱشۡتَمَلَتۡ عَلَيۡهِ أَرۡحَامُ ٱلۡأُنثَيَيۡنِۖ أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ وَصَّىٰكُمُ ٱللَّهُ بِهَٰذَاۚ فَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبٗا لِّيُضِلَّ ٱلنَّاسَ بِغَيۡرِ عِلۡمٍۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهۡدِي ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ
Najua neno azwaj ndo limekuchanganya 😃 hilo neno lina maana ya mwenza kwa maana ya Me au ke so hapo kwa ujumla wenza au spouses wapo 8
 
Islam unasema hadi motto wa nuhu alimfufua mtoto akasema nilijua siku ya watu wote imefika akaambiwa bado rudi kifoni.
Kwani si tumekubaliana nyie hamna kiumbe anayeitwa Isa au 😃
 
Basi kama hivyo pia huitaji kujisumbua maana katika Uislamu hatuna kiumbe kinaitwa yesu 😃
For the sake of argument, I will go with you, kwa kuwa mtume wenu aliiba na kumchange jina Yesu I know sababu ya Tafsiri haiendani na Allah kuwa yesu mwokozi Mungu pamoja nasi. Ila Allah aliwaambia huwezi mbishia aliyekuwepo kabla yako, wewe ndio unavunja hiyo Aya,

Jina la essa Allah amelikoteza kwa wagiriki na injil pia. Allah anapingana na Aya zake kuwa mitume amewapa vitabu kwa lugha za watu wa hiyo mtume, sssa Issa myahudi kitabu cha kigiriki
 
For the sake of argument, I will go with you, kwa kuwa mtume wenu aliiba na kumchange jina Yesu I know sababu ya Tafsiri haiendani na Allah kuwa yesu mwokozi Mungu pamoja nasi. Ila Allah aliwaambia huwezi mbishia aliyekuwepo kabla yako, wewe ndio unavunja hiyo Aya,

Jina la essa Allah amelikoteza kwa wagiriki na injil pia. Allah anapingana na Aya zake kuwa mitume amewapa vitabu kwa lugha za watu wa hiyo mtume, sssa Issa myahudi kitabu cha kihiriki
Mkuu hapo kazungumzwa Isa sio yesu kwani si umesema hamumtambui Isa au. 😃
 
Yeye kazungumzia masuala ya Isa bin Maryamu na je mimi nikisema biblia imedanganya kuhusu Isa vipi?
Yesu kazaliwa zizini na Issa kazaliwa chini ya mtende, mariam wa Quran alifungiwa ndani akishushiwa msosi kutoka mbinguni na Allah
 
Yesu kazaliwa zizini na Issa kazaliwa chini ya mtende, mariam wa Quran alifungiwa ndani akishushiwa msosi kutoka mbinguni na Allah
Sasa kumbe unajua sasa kwa nini unasema Uislamu unatoa ushahidi wa uungu wa yesu wakati hayupo humo
 
hajui hesabu
Ona sasa,
Kwa mujibu wa Ezra 1:9–11, jumla ya vyombo vilivyorejeshwa kutoka Babeli ni 5,400. Lakini ukijumlisha vyote vilivyotajwa moja moja, unapata 2,499 tu. Je, vitu vilivyobaki 2,901 viko wapi? Na kwa nini havikutajwa hata kwa jina wala idadi?
 
Wewe kiumbe wa Mr Brian Deacon(Yesu), Qur'an haipingi aya zake.

Kasome Suratul An-Najm aya za mwanzo tu utaona Allah anavyoeleza Kuwa Mtume Muhammad ﷺ hasemi kwa matamanio yake binafsi bali yale anayosema ni wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Unachekesha wahyi unakuja kichwani haswa ndoto, mtume wenu mzushi yeye mara zote alisema jibril ndio anashusha Aya kama wale watu wa kudelivery pizza hahaha ukiikubali hiyo Aya basi mudy muongo kuhusu jibril. Nikikuambia uislam unapingana kwa kila neno page to page cover to cover.

Mudy alisema aliongea na Allah akaona Allah kavaa hijabu.

Tusome Wahyi kutoka ukristoni.

(25)Chapter: The signs of Prophethood in Islam
(25)
باب عَلاَمَاتِ النُّبُوَّةِ فِي الإِسْلاَمِ

Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him." Then Allah caused him to die, and the people buried him, but in the morning they saw that the earth had thrown his body out. They said, "This is the act of Muhammad and his companions. They dug the grave of our companion and took his body out of it because he had run away from them." They again dug the grave deeply for him, but in the morning they again saw that the earth had thrown his body out. They said, "This is an act of Muhammad and his companions. They dug the grave of our companion and threw his body outside it, for he had run away from them." They dug the grave for him as deep as they could, but in the morning they again saw that the earth had thrown his body out. So they believed that what had befallen him was not done by human beings and had to leave him thrown (on the ground).

حَدَّثَنَا أَبُو مَعْمَرٍ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الْوَارِثِ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الْعَزِيزِ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ كَانَ رَجُلٌ نَصْرَانِيًّا فَأَسْلَمَ وَقَرَأَ الْبَقَرَةَ وَآلَ عِمْرَانَ، فَكَانَ يَكْتُبُ لِلنَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم، فَعَادَ نَصْرَانِيًّا فَكَانَ يَقُولُ مَا يَدْرِي مُحَمَّدٌ إِلاَّ مَا كَتَبْتُ لَهُ، فَأَمَاتَهُ اللَّهُ فَدَفَنُوهُ، فَأَصْبَحَ وَقَدْ لَفَظَتْهُ الأَرْضُ فَقَالُوا هَذَا فِعْلُ مُحَمَّدٍ وَأَصْحَابِهِ، لَمَّا هَرَبَ مِنْهُمْ نَبَشُوا عَنْ صَاحِبِنَا‏.‏ فَأَلْقُوهُ فَحَفَرُوا لَهُ فَأَعْمَقُوا، فَأَصْبَحَ وَقَدْ لَفَظَتْهُ الأَرْضُ، فَقَالُوا هَذَا فِعْلُ مُحَمَّدٍ وَأَصْحَابِهِ نَبَشُوا عَنْ صَاحِبِنَا لَمَّا هَرَبَ مِنْهُمْ‏.‏ فَأَلْقَوْهُ فَحَفَرُوا لَهُ، وَأَعْمَقُوا لَهُ فِي الأَرْضِ مَا اسْتَطَاعُوا، فَأَصْبَحَ قَدْ لَفَظَتْهُ الأَرْضُ، فَعَلِمُوا أَنَّهُ لَيْسَ مِنَ النَّاسِ فَأَلْقَوْهُ‏.‏

Reference: Sahih al-Bukhari 3617
In-book reference: Book 61, Hadith 124
 
Back
Top Bottom