Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwa sasa Allah hana haja ya kutoa amri tena yeye kashamaliza
Kamaliza vipi na Quran bado hajaikusanya na kuipanga!
Quran 75:15-19
١٦ لَا تُحَرِّكْ بِهِ لِسَانَكَ لِتَعْجَلَ بِهِ
16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
١٧ إِنَّ عَلَيْنَا جَمْعَهُ وَقُرْآنَهُ
17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
١٨ فَإِذَا قَرَأْنَاهُ فَاتَّبِعْ قُرْآنَهُ
18 Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
١٩ ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ
19 Kisha ni juu yetu kuubainisha.

Quran ya uthuman ipo bila mpangilio surat zimebadilishwa locations uthman ndio Allah?
 
Ona sasa,
Kwa mujibu wa Ezra 1:9–11, jumla ya vyombo vilivyorejeshwa kutoka Babeli ni 5,400. Lakini ukijumlisha vyote vilivyotajwa moja moja, unapata 2,499 tu. Je, vitu vilivyobaki 2,901 viko wapi? Na kwa nini havikutajwa hata kwa jina wala idadi?
Ushasema ezra not God bible ni maneno ya mungu akiongea mwenyewe na watu wengine, tofauti na Quran ni Allah mwenyewe anaongea pupu hahaha
 
IQ ndogo sana:
Kwani kingereza kina neutral personal pronoun(sio she or he) ? Au unataka waseme "It" kwa Allah ?
Kama hupendi he weka She, period
Wapi kauli ya mtume kumfananisha Allah na Dajjal ?
4b)Chapter: The Signs before the Last Hour, and an account of the Dajjal - Section 2
(3)
باب العلامات بين يدي الساعة وذكر الدجال - الفصل الثاني

`Ubada b. as-Samit reported God's messenger as saying, "I have told you so much about the dajjal that I am afraid you may not understand. The antichrist is short, hen-toed[*], woolly-haired, one-eyed, an eye sightless and neither protruding nor deep-seated. If you are confused about him, know that your Lord is not one-eyed."*It may also mean 'bandy-legged.Abu Dawud transmitted it.

وَعَنْ عُبَادَةَ بْنِ الصَّامِتِ عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «إِنِّي حَدَّثْتُكُمْ عَنِ الدَّجَّالِ حَتَّى خَشِيتُ أَنْ لَا تَعْقِلُوا. إِنَّ الْمَسِيحَ الدَّجَّالَ قَصِيرٌ أَفْحَجُ جَعْدٌ أَعْوَرُ مَطْمُوسُ الْعَيْنِ لَيْسَتْ بِنَاتِئَةٍ وَلَا حَجْرَاءَ فَإِنْ أُلْبِسَ عَلَيْكُمْ فَاعْلَمُوا أَنَّ رَبَّكُمْ لَيْسَ بِأَعْوَرَ» رَوَاهُ أَبُو دَاوُد

Reference: Mishkat al-Masabih 5485
In-book reference: Book 27, Hadith 106
Tafuta maarifa sahihi umjue Allah cz mtandaoni kuna noise nyingi.
Hahaha Kuna muislam kweli ukimuuliza unamjua Allah? Akujibu eeh na ukijibiwa utaangua kicheko wengi wanaanza kutaja kazi zake,

Mneyedhania ni mungu anaitwa Lah yaani Moon Goddes wa Nyota ya Sirus Quran 52:49
UNposema Bismillah = kwajina la LAH

Miungu ya Middle east ya kipagani 50%Mohammad aliiunganisha ikawa Tawheed
Samad,
Akbar
Wahad,
AL lat
Manta,
AL uzza
N.k
ndio maana mnasema Allah ni one of goddess , qul hu allah hu ahad

52:49 And that it is He who is the Lord of Sirius
Yusuf Ali
That He is the Lord of Sirius (the Mighty Star);
Muhsin Khan
And that He (Allah) is the Lord of Sirius (the star which the pagan Arabs used to worship);
Dr. Ghali
And that He, Ever He, is The Lord of Sirius; (Ash-Shicra, a star that was worshiped before Islam).
Ala-Maududi
(53:49) that He is the Lord of Sirius,[44]

44. Shiera is the brightest star in the heavens, which is also known by the names of Mirzam al-Jawza, al-Kalb al-Akbar, al-Kalb al-Jabbar, Ash-Shira al-Abur, etc. In English it is called Sirius, Dog Star and Canis Majoris. It is 23 times as luminous as the Sun, but as it shines over eight light-years away from the earth, it appears to be smaller and less luminous than the Sun. The Egyptians worshiped it, for it made its appearance at about the time of the season when the annual floods were beginning in the Nile; the Egyptians believed that Sirius caused the Nile floods. The pagan Arabs also held the belief that this star influenced human destinies. That is why they worshiped it as a deity, and the Bani Khuzaah, the neighboring tribe of the Quraish, were particularly well-known for being its devotees. What Allah says means: Your destinies are not made and controlled by Shiera but by the Lord of Shiera.

na hadithi za uislam zina utaratibu wake so kila hadith ni katika mafunzo ya uislam unatapeliwa AMKA.
Nishaamka kitambo najua ni ushetani sababu ya uongo, tumefundishwa baba la uongo ni shetani.
Usilete tamaduni za kikristo kujibu hoja za uislam
Quran inaruhusu kumjibu aliyekukuta kwani ni mwalimu wako na pia Quran imesema ukipatwa na shaka uniulize mimi Mlaleo na Aya ipo ukitaka
Al uzza, Al lat, na Manat ni Miungu maarufu makkah kabla ya uislam hata Rasurullah aliikuta. Waliiman kindaki ndaki waliita mabint wa Allah na ndio chanzo cha kushushwa aya katika Suratul Iqhras.
Allah akisema "Hakuzaa na wala hakuzaliwa"
Hujui kitu hao mtume wenu aliruhusu waabudiwe Jibril alipokuja akamind sana mtume wenu akasema iblis alijigeuza kama Jibril akampa aya za shetan kuwa daughters of Allah intersession is must, na Mudy alisujudia hao mabinti na quraishi walifurahi Sana wakamsifia mudy kuwa kawatamka vizuri miungu yao, Allah akasema ataziondoa aya zote za shetan lakini hadi Leo hakuna Aya iliyoondolewa ukiacha zile mbili zilizoliwa na mbuzi siku ya msiba wa mudy
 
Kamaliza vipi na Quran hajaikusanya na kuipanga!
Quran 75:15-19
١٦ لَا تُحَرِّكْ بِهِ لِسَانَكَ لِتَعْجَلَ بِهِ
16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
١٧ إِنَّ عَلَيْنَا جَمْعَهُ وَقُرْآنَهُ
17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
١٨ فَإِذَا قَرَأْنَاهُ فَاتَّبِعْ قُرْآنَهُ
18 Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
١٩ ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ
19 Kisha ni juu yetu kuubainisha.

Quran ya uthuman ipo bila mpangilio surat zimebadilishwa locations uthman ndio Allah?
Elewa kwanza kabla ya kuandika mimi nimezungumzia amri 😃
 
Quran inaruhusu kumjibu aliyekukuta kwani ni mwalimu wako na pia Quran imesema ukipatwa na shaka uniulize mimi Mlaleo na Aya ipo ukitaka
Qur’an imesema waulizwe waliosoma Injil na Taurat ya Allah na sio wewe msoma biblia yenye maneno ya wanadamu wenzio 😃
 
Kwani mpaka leo Qur’an inashushwa?
Mada ilikuwa je mimi naweza kumsujudia binadamu nikakwambia kama tu Allah angeniamuru kufanya hivyo
Muslims maana wameandika thousands of book kuirekebisha Quran ilijaa vituko makosa ya kiuandishi kuficha ukatiri na chuki, wamekwama kuipanga itililike kama kitabu kamili kuna book kinaitwa asbab N kimejaribu kupanga aya ziendane maana aya kwa aya za Quran hazina connections story and hazina maana, kuna aya moja inasema Allah ni Fundi Rangi, hahahaha Quran 2:138

Al-Barwani
Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye tu.
 
Sio mpaka rangi 😃 ni rangi au kupaka rangi kwa hiyo hapo ni rangi ya Allah au kupaka rangi kwa Allah na imeitwa Swibghah (rangi) kwa sababu athari ya Dini inaonekana wazi kwa mwenye kushikamana na Dini kama vile athari ya rangi inavyodhihirika kwenye nguo

Halaf mbona unahamisha sana mada 😃
 
Jikite kwenye mada ulikuwa unazungumzia iwapo mimi naweza kumsujudia binadamu
 
Sio mpaka rangi 😃 ni rangi au kupaka rangi kwa hiyo hapo ni rangi ya Allah au kupaka rangi kwa Allah na imeitwa Swibghah (rangi) kwa sababu athari ya Dini inaonekana wazi kwa mwenye kushikamana na Dini kama vile athari ya rangi inavyodhihirika kwenye nguo

Halaf mbona unahamisha sana mada 😃
Wacha ujinga wa kujidanganya ujinga wa Mohammad alikuwa muumini wa Dini ya Sabian ilipofika issue ya zoezi la ubatizo wa maji mengi ndio akaona enh atafanana na ukristo so akakwepa maana Sabian walibatiza popote na hadi sasa wanabatiza ndio akaja na issue ya rangi kasome interpretation sababu za hizo aya me nawaenjoy kwasababu hamujui uislam. am sure umepata shock na umejiuliza sana rangi tena hahahahaha

Uislam karibu 50% umetoka kwenye Sabian waumini Nyota na Malaika even Jibril ni from them Salat tano ni Sabian ,Wudu kutawaza three time n.k ni Sabian Quran Sabian inaitwa Kanza Rabba,
 
Biblia ndio ina makosa
Haha Quran 92:3 inasema Amekuumba mwanamume na Mwanamke - Nikuulize wewe una viungo vyote vya kika na kiume? au ni Mtume wenu pekee ndio alikuwa anaambiwa? Dume Jike ndio maana lilikuwa linapaka wanja eye liner mara tatu kwa siku, na Kila akivaa Nguo za Aisha Jibril anamtokea na kumpa aya, Kunyonya tupu za wanaume, kuliwa usiku mzima na kundi la watu weusi

وَمَا خَلَقَ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ = Na akamuumba mwanamume na mwanamke
 
Aya za shetani ni zipi?
Tuwaulize nyie ila according to aya 22:52 tunaamini Quran yote ni Aya za Shetani maana hazina sifa za umungu. na Allah alisema ataziondoa Aya zote za Iblis mtume wenu aliingiliwa namajini akawa anatirirlika tu haha ndio hadi Mabinti wa Allah akasema muwaabudu,Kaaba mzunguke,Marwa na Safa mzifanyie ibada n.k

وَمَا أَرْسَلْنَا مِنْ قَبْلِكَ مِنْ رَسُولٍ وَلَا نَبِيٍّ إِلَّا إِذَا تَمَنَّىٰ أَلْقَى الشَّيْطَانُ فِي أُمْنِيَّتِهِ فَيَنْسَخُ اللَّهُ مَا يُلْقِي الشَّيْطَانُ ثُمَّ يُحْكِمُ اللَّهُ آيَاتِهِ ۗ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ
Al-Barwani
Na hatukumtuma kabla yako Mtume wala Nabii ila anapo soma, Shet'ani hutumbukiza katika masomo yake. Lakini Mwenyezi Mungu huyaondoa anayo yatia Shet'ani; kisha Mwenyezi Mungu huzithibitisha Aya zake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima.

Wa maaa arsalnaa min qablika mir Rasoolinnw wa laa Nabiyyin illaaa izaaa tamannaaa alqash Shaitaanu feee umniy yatihee fa yansakhul laahu maa yulqish Shaitaanu summa yuhkimul laahu aayaatih; wallaahu ‘Aleemun Hakeem

Hakuna Aya Allah alizosema Ataziondoa Verse za Iblis so zipo hadi leo
 
Qur’an imesema waulizwe waliosoma Injil na Taurat ya Allah na sio wewe msoma biblia yenye maneno ya wanadamu wenzio 😃
But Biblia Allah alithibitisha ndio hii hii tunayoitumia, Maneno ya binadamu ni Sawa tena bora kuliko Quran ina maneno ya Wadudu Ants Wanaongea and Suleiman akapendezwa na speech ya wadudu, possibliy Allah nae ni Mdudu

Sababu kila neno kwenye Quran Allah ndie anasema so tunapokuta Wadudu wakiongea ni Allah huyo.
Quran 27:18
Sahih International:Until, when they came upon the valley of the ants, an ant said, “O ants, enter your dwellings that you not be crushed by Solomon and his soldiers while they perceive not.”

Hata walipofika kwenye Bonde la Chungu akasema: “Enyi chungu! Ingieni majumbani mwenu, asije Sulaiman na askari wake wakuangamizeni na wao hawatambui.

Quran 27:19
So [Solomon] smiled, amused at her speech, and said, “My Lord, enable me to be grateful for Your favor which You have bestowed upon me and upon my parents and to do righteousness of which You approve. And admit me by Your mercy into [the ranks of] Your righteous servants.”

Wahiduddin Khan
and when they came to the Valley of the Ants, one ant said, "Ants! Go into your dwellings, in case Solomon and his hosts inadvertently crush you."

Tafsiri za waislam wanadanganya sana Mdudu mmoja akasema so kwenye Mdudu wamechange neno Mungu wangu. wanadharau Mungu wakidhani wanamtetea Allah kuwa Hamna anayeweza kuanzisha Quran kumbe hadi wadudu wameandika Quran
 
Back
Top Bottom