Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

So wewe kama wewe unaikataa biblia ila unaikubali Torat na injil. Maswali niliyokuuliza yote thread za mwanzo hujajibu ndio nimeona nadeal na mental case. Na utoto. Keep your ignorance. Am just a normal Man who help and person who hate lies. Mjinga huwa akifundishwa anaelewa bali mpumbavu ni kupoteza muda na nguvu.

Qura 8:22 inakuhusu wewe. Nakuonesha ushetani wa Allah

8:22 Hakika vinyama viovu mbele ya Mwenyezi Mungu ni vile viziwi na bubu visio tumia akili zao.

8:22 Indeed, the worst of living creatures in the sight of Allah are the deaf and dumb who do not use knowledge.​

Naona umeamua kunishambulia baada ya kushindwa kwa hoja 😃
 
Kwa nini niyakubali maneno ya kina mathayo na petro?
Biblia kwangu sio kitabu cha Mungu na wala usije ukaniambia eti ndo Injil ya Allah wakati mwenyewe unafahamu kuwa ni maneno ya watu.
I know idiot hawezi amini bible so ndio maana nawaspank kwa kutumia islamic source ipi mumkane Allah na Mohammad kuthibitisha uongo wenu na wenye akila watakimbia uislam na kumpokea Yesu kama mwokozi, uislam ni wa iblis na unatangaza sex pimp, conquests ,ujinga na uongo ambazo ndio kazi za shetan,
Devil Temptations.
 
Kwa nini niyakubali maneno ya kina mathayo na petro?
Biblia kwangu sio kitabu cha Mungu na wala usije ukaniambia eti ndo Injil ya Allah wakati mwenyewe unafahamu kuwa ni maneno ya watu.
Story za Yesu nyie muslims mmezijulia kwa nani? Mudy? 600 years after? Hahaha

Kama Allah na mtume wenu walithibitisha wewe ni Nani unapingana na Aya ! ni kafir wewe.

Nikikuambia kuna babu alikufa nyumbani sebuleni akiwa ameshika fimbo ameigemea kwa muda wa mwaka mzima mchwa wakala fimbo ndipo babu akaanguka familia ndio ikajua eh babu kumbe Kafa na babu ndie alikuwa kiongozi wa familia hiyo story unaiamini lakini Bible huiamini punda wewe. Fake muslims.
 
Story za Yesu nyie muslims mmezijulia kwa nani? Mudy? 600 years after? Hahaha

Kama Allah na mtume wenu walithibitisha wewe ni Nani unapingana na Aya ! ni kafir wewe.
Wapi wamethibitisha?
 
Hayo ni maoni yako maana hata mimi naona hiyo aya inakuhusu wewe
Nenda kasome!!!
Nenda ukamdhamini Mtume wako uende firdaus

Amesimulia Sahl bin Sa'd:

Mtume amesema: “Yeyote anayenidhamini (usafi wa) kilicho baina ya miguu yake (yaani sehemu zake za siri), na kilichoko baina ya taya zake (yaani ulimi wake), basi mimi namdhaminia Jannatul Firdaus

Narrated Sahl bin Sa`d:
The Prophet (ﷺ) said, "Whoever guarantees me (the chastity of) what is between his legs (i.e. his private parts), and what is between his jaws (i.e., his tongue), I guarantee him Paradise."

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ أَبِي بَكْرٍ، حَدَّثَنَا عُمَرُ بْنُ عَلِيٍّ‏.‏ وَحَدَّثَنِي خَلِيفَةُ، حَدَّثَنَا عُمَرُ بْنُ عَلِيٍّ، حَدَّثَنَا أَبُو حَازِمٍ، عَنْ سَهْلِ بْنِ سَعْدٍ السَّاعِدِيِّ، قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ مَنْ تَوَكَّلَ لِي مَا بَيْنَ رِجْلَيْهِ وَمَا بَيْنَ لَحْيَيْهِ، تَوَكَّلْتُ لَهُ بِالْجَنَّةِ ‏"‏‏.‏

Reference: Sahih al-Bukhari 6807
In-book reference: Book 86, Hadith 36
USC-MSA web (English) reference: Vol. 8, Book 82, Hadith 799
 
Sawa nitahakikisha natunza vyema sehemu zangu za siri nisizini na pia ulimi wangu nisiongee maovu ili niipate hiyo pepo
 
Kazi ipo...
Lakin huwez mpangia mtu cha kuota maana huwez jua yeye amepanda nini.
 
Hivi mpaka lini mtaendelea kujidhalilisha??

Wakristo wanaoishi arabuni wakiwa wanaswali unadhan Yesu wanamtamka kwa jina gani??
Wanamtamka kwa jina la Issa....
Wakristo wanaoishi Israel Yesu wanamtamka kwa jina la Yeshua....
Wakristo wanaoishi Ulaya wanamtamka kama... Jesus

Wabongo mnamuita ... Yesu

Yani kuwaheshimu wakristo inabidi usiwasikilize... sababu ukifanya hvyo kidogo tu, lazima uwadharau maana huwa wanaongea ujinga bila kuwaza kabisa
Acha uongo, waarabu wakristo hawamuiti Yesu kuwa ni Issa

Hivi ukiwa muislamu ni lazima uwe na degree ya UONGO?
 
Jamaa alikuwa tapeli sana
Waislamu walikimbia maswali kuhusu utume wa muhammad......hoja inayo dhihirisha muhammad siyo mtume na alikuwa ajui mtume na utume ni nini ni hii inaye sema 👉WAISLAMU NDIYO UMMA BORA KULIKO NYUMA ZOTE ZA WACHAMUNGU 👈 hii ni tungo tata na kakuna muislamu anaye weza kuitetea ...ni sawa na SHULE AJE MWALIMU WA HESABU NA KUWAAMBIA WANAFUNZI KUWA YEYE NI MWALIMU BORA SANA WA HESABU HIVYO TOKEA SASA KWENYE HIYO SHULE HAKUNA TENA KUPATA DIVISION 1 WALA 2 WAL 3 ...SASA WANAFUNZI WOTE WATAPATA DIVISION 4 NA ZERO😁😁
 
Mbona inawahusu waislam wenyewe unajua Mpangilio wa Quran? aya ya kwanza hadi ya Mwisho? aya ya kwanza ilitakiwa iwe ile ya kwanza kule pangoni, msaafu wote haupo kwenye order kama mnavyodai kshushwa wajua kuwa mtume wenu chapta ya 5 akadai uislam umekamilika sasa zilizofuta zilikuwa za nini? kama nakumbuka ni pale Arafa akapiga marufuku ulaji Nguruwe bila sababu hahaha so muslim rekebisheni Quran mmeongeza maneno kila aya ya Bismillah rahman rahim kasoro sura At-Taubah nikupe story yake? ujue islam ni flaud and fake religion. Quran yenyewe aya haziendani chache sana zinafuatana kisha zinapoteana kama amezungumzia Musa aya moja inafuata ya Yesu then inaruka kwa mwingine n.k

Hii kasome tafsir utaelewa , And mtume wenu alikuwa akiandika mashairi watu wakamuambia eeh unatuambia hadith za watu wa kale tunazifahamu zote alafu unasema ni za Allah na umeshushiwa na jibril ?mohammad akaona kastukiwa akasema Quran ni maneno ya mtume Quran sio Allah 69:40

Yanabadilishwaje wakati Mtume wenu alisema Allah alimuandikia Mussa Torat kwenye tablet za mawe ana akasema Neno la Allah haliwezi badilishwa unaona jinsi Quran inapingana yenyewe kwa yenyewe Quran 6:115
Al-Barwani
Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Quran 18:27
Al-Barwani
Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.

Ndio hizo Aya ambazo zinasema maandishi ya Allah hakuna awezaye kuyabadilisha so mkiipinga Biblia mnampinga Allah so mnakuwa makafiri Quran 6:115 and Quran 18:27

Okay je nikikuambia Allah ndie anapotosha unaweza kukubali? Quran 16:93 Allah ana guide watu wapotee
16:93
Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka angeli kufanyeni umma mmoja, lakini humpoteza amtakaye na humwongoa amtakaye. Na bila ya shaka mtaulizwa mliyo kuwa mkiyatenda.
Wa law shaaa'al laahu laja'alakum ummmatanw waahidatanw wa laakiny yudillu many-yashaaa'u wa yahdee many-yashaaa'; wa latus'alunna 'ammaa kuntum ta'maloon
Wewe jamaa waislamu wakikutumia vizuri watafaidika sana ,
 
Waislamu walikimbia maswali kuhusu utume wa muhammad......hoja inayo dhihirisha muhammad siyo mtume na alikuwa ajui mtume na utume ni nini ni hii inaye sema 👉WAISLAMU NDIYO UMMA BORA KULIKO NYUMA ZOTE ZA WACHAMUNGU 👈 hii ni tungo tata na kakuna muislamu anaye weza kuitetea ...ni sawa na SHULE AJE MWALIMU WA HESABU NA KUWAAMBIA WANAFUNZI KUWA YEYE NI MWALIMU BORA SANA WA HESABU HIVYO TOKEA SASA KWENYE HIYO SHULE HAKUNA TENA KUPATA DIVISION 1 WALA 2 WAL 3 ...SASA WANAFUNZI WOTE WATAPATA DIVISION 4 NA ZERO😁😁
Jamaa wameibeba dini bila kuhoji mambo mengi ,

Ukipata muda uwe unatoa elimu kuhusu hii dini ,inatakiwa wapewe ukweli uliofichwa ,
 
Jamaa wameibeba dini bila kuhoji mambo mengi ,

Ukipata muda uwe unatoa elimu kuhusu hii dini ,inatakiwa wapewe ukweli uliofichwa ,
Hapo muhammad anawaambia waislamu kuwa baada yake hakuna tena daraja ya utume wala unabii yaani hakuna tena ndani ya Uislamu hatakaye fikia hizo daraja kisha anawaambia wao ni umma bora ? ! Mtume na Nabii ni daraja za juu za uchamungu ..muhammad anasema akuwezekani tena kufikiwa daraja hizo ndani ya uislamu hata umche mungu kiasi gani ...sasa tumia akili huyo huyo mtume anasema 👉aliye mbora mbinguni ni yule mchamungu zaidi ....tena huyo huyo mtume muhammad anasema mbinguni ...daraja ya juu ni mitume kisha manabii ....sasa kilogic kama uislamu ndiyo umma ulio bora zaidi mbinguni ilipaswa watu wenye madaraja ya juu ya uchamungu wapatikane ndani yake kwa wingi zaidi yaani mitume na manabii.... ukisoma torati ..kuna tukio la Yoshua alienda kwa Musa na mashitaka kuwa watu wamejaa roho wanatoa hukumu na kunena ...Musa akamkemea Yoshua na kumwambia 👉mimi Musa natamani Mungu angewafanyeni nyinyi nyote kuwa kama mimi yani Mitume....hii ilikuwa tamaa ya Musa na ingetimia, Musa angefurahi maana umma wake ungekuwa bora sana maana wote wamefikia daraja la mitume ...ila muhammad anawaambia waislamu wafurahi kwa kuwa kakuna tena mtume wala nabii baada ya yeye muhammad! Je ilo ni jambo la kufurahia au kulia? The Icebreaker Covax FaizaFoxy Jagina Mufti kuku The Infinity
 
if your truthful Sadiq uongo wapi tumeweka, najua umepata shocks kuona ya kuwa Quran inauongo ambao hujawahi sikia, i know Kila mtu humtokea hiyo Hali. But Quran ni full of lies musaaf kwa musaaf mean page to page. Uliza chochoe au Aya yeyote nitakuonesha uongo au kupinga aya nyingine. Hamna dini katika uislam
NARUDIA waislamu wakikutumia vizuri basi watafaidika sana na kuachana na hii dini ya Uislamu iliyojaa uongo mwingi
 
Sasa hujaelewa nini hapo? Ni Kua Quran ndio ipo sawa huna haja ya hadithi anymore Kea Aya hii.
Ila uislam bila hadithi hauendi.
45:6
Al-Barwani
Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?

Hadith ni sahihi unasema ya uongo? Thibitisha uongo wa hadithi Imeandikwa na muislam wa kale ni waislam wanaikubali ila wewe tu hongera. Uongo umetamalaki katika uislam na waislam.
Wenzio walimsikia mudy wakaandika,wakahifadhi,wakaeneza uislam kwa hizo hadithi then unaita za uongo bila uthibitisho wowote Quran no hadithi pia so unajua!

The Book of Zuhd and Softening of Hearts

(16)Chapter: Verification Of Hadith And The Ruling On Writing Down Knowledge

باب التَّثَبُّتِ فِي الْحَدِيثِ وَحُكْمِ كِتَابَةِ الْعِلْمِ

Abu Sa'id Khudri reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:
Do not take down anything from me, and he who took down anything from me except the Qur'an, he should efface that and narrate from me, for there is no harm in it and he who attributed any falsehood to me-and Hammam said: I think he also said:" deliberately" -he should in fact find his abode in the Hell-Fire.

حَدَّثَنَا هَدَّابُ بْنُ خَالِدٍ الأَزْدِيُّ، حَدَّثَنَا هَمَّامٌ، عَنْ زَيْدِ بْنِ أَسْلَمَ، عَنْ عَطَاءِ بْنِ يَسَارٍ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَكْتُبُوا عَنِّي وَمَنْ كَتَبَ عَنِّي غَيْرَ الْقُرْآنِ فَلْيَمْحُهُ وَحَدِّثُوا عَنِّي وَلاَ حَرَجَ وَمَنْ كَذَبَ عَلَىَّ - قَالَ هَمَّامٌ أَحْسِبُهُ قَالَ - مُتَعَمِّدًا فَلْيَتَبَوَّأْ مَقْعَدَهُ مِنَ النَّارِ ‏"‏ ‏.‏

Reference: Sahih Muslim 3004
In-book reference: Book 55, Hadith 9
Hawa jamaa unawapiga sana pini

Unatema nondo NZITO sana

YESU akupe maisha marefu
 
Muslims maana wameandika thousands of book kuirekebisha Quran ilijaa vituko makosa ya kiuandishi kuficha ukatiri na chuki, wamekwama kuipanga itililike kama kitabu kamili kuna book kinaitwa asbab N kimejaribu kupanga aya ziendane maana aya kwa aya za Quran hazina connections story and hazina maana, kuna aya moja inasema Allah ni Fundi Rangi, hahahaha Quran 2:138

Al-Barwani
Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye tu.
Oya utawaua Hawa wavaa kobazi,

Unawapiga nondo haswa
 
Back
Top Bottom